uamuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kutokujua Kingereza kumeongeza ujinga na uduni wa fikra kwa Watanzania

    Lazima tukubali ukweli kwamba Waswahili na Wabantu hatuna historia kubwa kuu ya kale kihivyo na kwa hiyo hatuna mengi ya kujifunza, kuchangamsha na kuimarisha misuli ya bongo zetu kutoka kwenye historia yetu na tamaduni zetu wenyewe na kati yetu. Kwa hiyo kwa kiasi kikubwa tunahitaji...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Lissu inabidi aukatie rufaa uamuzi mdogo ili mashahidi muhimu anaowataka waje mahakamani

    Lissu aliomba miongoni mwa nashahidi wa kwenda mahskamaani ni rais Salia, Waziri mkuu mstaafu Majaliwa na makamu wa rais mstaafu. Jaji akisoma hukumu ameeleza kwa nini rais hawezi kwenda, ila hajaeleza kwa nini waziri mkuu na makamu wa rais hawawezi kwenda mahakamani. Kwa ninavyoona, Waziri...
  3. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Huu ndio Uamuzi wa mahakama wa aidha Rais Samia, Philip Mpango (VP mstaafu) na Kassimu Majaliwa (PM mstaafu) waitwe kumtetea Lissu au la..

    HUU👇👇 NDIO UAMUZI ULIOSOMWA NA KIONGOZI WA JOPO LA MAJAJI WATATU WANAOSIKILIZA SHAURI HILI, MH. DANSTUN NDUNGURU ".....Mtakumbuka kuwa tarehe 21/08/2025 baada ya Mahakama kutoa uamuzi kuwa mshtakiwa ana kesi ya kujibu, mshtakiwa aliwataja mashahidi 11 na shahidi wa kwanza ni Samia Suluhu...
  4. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Barua ya VP ni Taarifa ya Uamuzi wa Kujiuzulu Sio Ombi!. Taarifa ya Ikulu ni Ombi Limekubaliwa!. Ilipaswa Iwe Rais Amepokea Taarifa Ameridhia!

    Wanabodi Tangu jana nilipoiona ile Taarifa kwa umma ya VP kujiuzulu, nilipata shock sikuiamini nikiamini ni fake news, mpaka leo nilipoiona Taarifa ya Ikulu, ndio nimeamini!. Nilipata shock kwasababu niliamini he is the best that we have for 2030. Hata hivyo, licha ya kujiuzulu, kwasababu...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wana Muharakisha Mtuhumiwa Kumaliza Ushahidi Bila kutoa Uamuzi wa Mashahidi Muhimu

    Baada ya mtuhumiwa kuanza kutoa ushahidi , wake inaonekana Waendesha Mashtaka na Meza Kuu Wana tashwishwi ya Mtuhumiwa Kumaliza Ushahidi wake , mapema kadiri inavyo wezekana bila kuzungumzia Ushahidi muhimu ya Baraza la Ulinzi na Usalama wa Njia, kama Aliyekuwa Makamu wa Raisi na wengineo
  6. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa Sio Automatic 50/50: Mahakama Yatoa Uamuzi Kuhusu Mali ya Wanandoa

    Umeishi kwenye ndoa, mkajenga mali pamoja, halafu ndoa ikavunjika - je, kila mmoja anaondoka na 50%? Mahakama ya Rufaa imesema: si lazima. Mahakama ya Rufaa nchini Kenya imeamua kuwa kuwa kwenye ndoa pekee hakumpi mwenza haki ya moja kwa moja ya kupata nusu ya mali ya ndoa. Badala yake, mgao...
  7. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Senate yakata rufaa dhidi ya uamuzi wa Mahakama kuu kuhusu Gachagua

    Seneti ya Kenya pamoja na Spika wa Seneti wamekata rufaa dhidi ya uamuzi wa Mahakama Kuu uliobaini kuwa haki ya aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua ya kusikilizwa kwa haki ilikiukwa wakati wa mchakato wa kumng’atua mamlakani. Uamuzi huo ulitolewa Juni 8, 2026, na majaji E.O. Ogola, Dkt. F...
  8. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Japo kwa Jinsia ni Mwanamke, Lakini kwa Mawazo, Maneno na Matendo, ni Mwanamume! Uamuzi Huu ni wa Kiume! Big Up Sana kwa Uamuzi Huu wa Kiume

    Wanabodi, Naomba kulianza bandiko hili kwa kutoa elimu kwa umma,kuhusu gender differences betwen ME na KE, sio vile viungo vya uzazi, ni uwezo wa kufikiri, thinking ability, na namna ya kufikia maamuzi, men thinks, women feels!. Kuna wanawake, japo ni wanawake kimaumbile, but they think like...
  9. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Uamuzi kuifungia CHADEMA kufanya siasa kutolewa Agosti 28

    Mahakama Kuu masjala ndogo ya Dar es Salaam inatarajia kutoa uamuzi wa maombi madogo ya zuio la kufanya shughuli za kisiasa kwa CHADEMA Agosti 28, 2026 saa tisa alasiri. Maombi hayo yaliyowasilishwa mahakamani hapo na Said Issa Mohammed na Ahmed Rashid baada ya kesi waliyokuwa wameifungua...
  10. Matunzo 02

    JamiiForums Tanzania Mwisho wa matatizo yote ni kifo kwanin ujachukua uamuzi wa kujiua?

    Jambo lenye uhakika siku moja utakufa matatizo, changamoto zote zitapotea ukifa maan hakuna mtu atayerithi matatizo yako unapokufa na zenyewe zinakufa. Chakushagaza watu kila siku wanalalamika mambo ni magumu wengine wanakata tamaa wanaachana na maisha lakni watu wanajua mwisho wa siku utakufa...
  11. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Tufanye unaamini Mungu, huamini Mungu au bado hujafanya uamuzi, unahisi nini hutokea dakika ya kwanza baada ya kufa?

    Wakuu hii ni mada ya kutafakari najua ishajadiliwa sana humu ndani ya forum na huko makwenu..sasa tuweke hitimisho japo najua sio rahisi je tuseme moyo umesimama kabisa na umethibitishwa umefariki.Wewe unahisi nini hasa hutokea dakika ya kwanza baada ya hapo?Unadhani ndiyo mwisho wa kila kitu...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Misri yawasilisha malalamiko rasmi FIFA kupinga uamuzi wa waamuzi dhidi ya Argentina

    Shirikisho la Soka la Misri limewasilisha rasmi malalamiko likitaka kufanyika kwa uchunguzi kuhusu maamuzi ya waamuzi katika mchezo wao wa Kombe la Dunia dhidi ya Argentina uliomalizika kwa kipigo kwa Misri. Rais wa Shirikisho hilo, Hany Abo Rida, ameamua kupinga uamuzi wa mwamuzi wa Ufaransa...
  13. bless on

    JamiiForums Tanzania Uamuzi wa Bibi: Kazi au Familia Kwanza?

    Kuna siku nilikaa na bibi yangu tukizungumza kuhusu maisha yake ya zamani. Nilimuuliza swali ambalo lilinifanya nisikie simulizi ambayo hata baadhi ya wajukuu zake hawakuwa wamewahi kuisikia. Niligundua kuwa zamani alikuwa amesomea na kufanya kazi ya uuguzi, lakini baadaye akaja kuwa mwalimu...
  14. ProcrastinatorInChief

    JamiiForums Tanzania Uamuzi wa kumfukuza Said Issa Mohamed ulikuwa sahihi kwa mujibu wa katiba yao CHADEMA

    JMT! Hivi karibuni kumetokea Sintofahamu baada ya mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo machachari sheikh Said issa mohamedi kufukuzwa uanachama na chama chake kwa madai mbali mbali.. hatahivyo baada ya kufukuzwa ameibuka na kudai kuwa ana uhalali wa kuendelea kuwa mwanachama kwa kuwa...
  15. Pakome

    JamiiForums Tanzania Hakuna laana mbaya kama kutesa watu au kuwanyanyasa kwa namna yeyote ile, huwa mwisho wake unakuwa mbaya sana

    Hakuna uamuzi mbaya kama kutesa watu au kuwanyanyasa kwa namna yeyote ile, huwa mwisho wake unakuwa mbaya sana Njia ya haraka sana ya kulaaniwa ni kutesa watu na kuwanyanyasa Laana haiji kwa njia moja inakuja kwa namna tofauti sio lazima njia iliyomlaani fulani ndiyo itakayomlaani na yule...
  16. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Je, Wajua Kanuni za Bunge Zina Makosa?. Spika wa Bunge ni Bonge la Dikiteta! Uamuzi Wake ni wa Mwisho, Final and Conclusive, Hata Kama Sio wa Haki

    Wanabodi, Huu ni uzi wa kuelimishana, Uzalendo wa kweli wa nchi yako, ni pale unapobaini kuna makosa mahali, unakosoa, na kutoa ushauri namna ya kurekebishasha makosa hayo. Kwa muda mrefu, sisi humu tumekuwa tukilalamikia hoja mbalimbali kuhusu uendeshaji wa Bunge letu, ukiwemo udikiteta wa ma...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Senegal imeapa kukata rufaa ya uamuzi wa CAF kuwapoka ubingwa wa AFCON 2025

    Shirikisho la Soka la Senegal (FSF) limethibitisha kupokea uamuzi uliotolewa na Kamati ya Rufaa ya CAF kuhusu kupokwa ubingwa wa Kombe la Mataifa la Afrika 2025 FSF imepinga rasmi uamuzi huo ambao wanaona hauna msingi wa kisheria, upo kiholela na hauna uwiano. FSF inaamini kuna Ukiukaji...
  18. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Uamuzi wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu kwa Serikali ya Tanzania

    Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu iliyopo jijini Arusha imetoa uamuzi muhimu unaoitaka Tanzania kufanya marekebisho ya baadhi ya vifungu vya Katiba vinavyohusiana na masuala ya uchaguzi na haki za kidemokrasia. Uamuzi huo umetolewa Machi 6, 2026 katika kikao cha 80 cha mahakama...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Uamuzi wa Rais kwa watumishi wa umma

    Je, Mwajiri anaweza kuomba Mapitio (review) ya uamuzi wa Mh. Rais kwa Mh. Rais huyo huyo kwa kutaka kuongeza vielelezo ambavyo hakuviwasilisha kabla ya uamuzi, ambapo iliamriwa na Mh. Rais kwamba mtumishi arejeshwe kazini na kulipwa stahili zake zote?
  20. Damaso

    JamiiForums Tanzania Uamuzi wa TFF kutafuta kampuni moja ya Betting kwa ajili ya Derby ya Kariakoo ni Uamuzi wa Ovyo sana

    Ligi kubwa duniani kama English Premier League (EPL) na LaLiga hazijawahi kuogopa sekta ya betting wala kuweka wazi kuwa Shirikisho la soka la FA litatafuta kampuni moja pekee kwa ajili ya michezo ya Manchester United dhidi ya Manchester City au Arsenal dhidi ya Tottenham Hotspur. Badala yake...
Back
Top Bottom