ONYO kwa akina dada wote kuhusu huduma ya kukuza makalio itakayoanza kutolewa Mloganzila

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
21,563
50,415
Mloganzila wanajitangaza kwamba wanataka kuanza kukuza makalio. Lakini najiuliza, kwa utaalamu upi? Kwa umakini upi? Wa watu wapi? Hawa hawa wanaosahau mikasi tumboni mwa wagonjwa? Hawa hawa wanapasua kichwa badala ya mguu?

Hawa hawa wanaomdunga ganzi nyingi kupitia kiasi (overdose) mama anayejifungua kwa operesheni na kusababisha miguu na mikono kuoza?

Hawa hawa walioshindwa kuwaokoa majeruhi wa ajali ya moto ya Msamvu mpaka wakafa wote? Hawa hawa wanaopasua utumbo mpana wakati mgonjwa anaumwa appendicitis??

Mloganzila wataleta maafa makubwa kwa akina dada ktk huduma yao hii mpya ya kukuza makalio. Mpaka leo kule Uingereza huduma hii Ina 67% ya kufanyika vizuri (operesheni 33% za huduma hii huleta madhara huko Uingereza).

Chonde chonde akina dada mtaoza makalio.
 
Uzi Tayari 😂😂

Uzi wako wa ujumla wake una kejeli taaluma ya udaktari na madaktari wa Tanzania.

Mapungufu unayosema yanaonesha jinsi gani una chuki binafsi.

Ajali ya moto

Mtu akisha ungua 80% ya mwili, hata India au Marekani huko uwezekano wa kupona ni mdogo, lakini pia kwenye hiyo ajali wapo walio pona kwa matibabu ya madaktari hao hao.

Kupasua kichwa badala ya goti.

Issue ilisha kuwa solved kitambo, tena jwa tume iliyoundwa na serikali. Halikuwa kosa la daktari. Ndiyo maana hao madaktari wapo kazini hadi hivi leo, wanaendelea na upasuaji kama kawa.

Mbona husemi kuhusu kupona kwa Prof. J na wagonjwa wengine mahututi ambao wameponea mikononi mwa madaktari hao hao?

Mbona husemi kupona kwa yule jamaa alipata ajali ya mwendokasi? Hata watu maarufu kama Mufti na Askofu Ruwa 'ichi walipata changamoto na wakatibiwa hapa hapa.

Kila leo operations za moyo zina fanyika Muhimbili, na wagonjwa wana pona.

Licha ya mazingira magumu, na posho kiduchu, na kufanya kazi under pressure za kisiasa (mfano issue ya kusema watoto na wazee bure, issue ya bima kwa watoto, issue ya kusema consultation fee ni hela ya kumuona daktari), madaktari wa Tanzania wana jitahidi sana. Ukiangalia ranks za mishahara na nchi zingine za Afrika Mashariki, utagundua take-home za madokta Bongo ni dhaifu sana. Ndiyo maana mna wachukulia poa.

Facts.

Hata Kenya kuna baadhi ya vitu wanakuja kujifunza Tanzania, mfano Emergency medicine hawana kule kwao. Ila kuna Mtanzania wewe una negative attitude na vya kwenu.

Jiulize kwa nini Wasudan wameamua kuja Tanzania na siyo nchi nyingine? Kujifunza kwa hao hao madaktari unaosema vilaza?!

Malawi Zambia hawana kabisa vyuo vya madaktari wa meno. Wana kuja Bongo ku take notes.

Hospitali ya kanda ya Mbeya imepewa tuzo maalumu ukanda huu wa SADEC kwa kufanya vizuri kwenye Kaizen Five S. Mataifa mbalimbali wana kuja kujifunza. Wana jifunza kwa hao hao unao waita vilaza?!

Kuhusu hizo operation

-Kwanza kwa kuanzia watakuwa na madaktari kutoka India.

Hii ni kawaida kufanya na wazoefu.
Ukiona wameamua kufanya hivyo, basi ujue kuna jopo lilisha tumwa kabla na wamejiridhisha na utaalamu wanaweza.
Bilashaka "watu wa system" wameridhia hii kitu. Wameona faida na madhara.

-Hakuna daktari anayefurahia kufanya kitu kika mdhuru mgonjwa.

Ni rahis kubwabwaja hapa. Ila siku yakifika utapelekwa kwa hao hao madaktari unao wakashfu. Na utakuwa unawasikiliza kwa kila kitu.
 
Mloganzila wanajitangaza kwamba wanataka kuanza kukuza makalio. Lakini najiuliza, kwa utaalamu upi? Kwa umakini upi? Wa watu wapi? Hawa hawa wanaosahau mikasi tumboni mwa wagonjwa? Hawa hawa wanapasua kichwa badala ya mguu?

Hawa hawa walioshindwa kuwaokoa majeruhi wa ajali ya moto ya Msamvu mpaka wakafa wote? Hawa hawa wanaopasua utumbo mpana wakati mgonjwa anaumwa appendicitis??

Mloganzila wataleta maafa makubwa kwa akina dada ktk huduma yao hii mpya ya kukuza makalio. Mpaka leo kule Uingereza huduma hii Ina 67% ya kufanyika vizuri (operesheni 33% za huduma hii huleta madhara huko Uingereza).

Chonde chonde akina dada mtaoza makalio.
Mtuache sasa, mlikuwa mnatuta FLAT SCREEN, sasa tunawaletea mkitakacho.
 
Mloganzila wanajitangaza kwamba wanataka kuanza kukuza makalio. Lakini najiuliza, kwa utaalamu upi? Kwa umakini upi? Wa watu wapi? Hawa hawa wanaosahau mikasi tumboni mwa wagonjwa? Hawa hawa wanapasua kichwa badala ya mguu?

Hawa hawa walioshindwa kuwaokoa majeruhi wa ajali ya moto ya Msamvu mpaka wakafa wote? Hawa hawa wanaopasua utumbo mpana wakati mgonjwa anaumwa appendicitis??

Mloganzila wataleta maafa makubwa kwa akina dada ktk huduma yao hii mpya ya kukuza makalio. Mpaka leo kule Uingereza huduma hii Ina 67% ya kufanyika vizuri (operesheni 33% za huduma hii huleta madhara huko Uingereza).

Chonde chonde akina dada mtaoza makalio.
Mimi hizi taarifa za kuongeza makalio kwangu najikuta nasoma between the lines kwamba; sasa matumizi ya matako ni rasmi nchini na serikali imeamua ku facilitate huduma hiyo kwa kila atakaye na mwenye uwezo.
Kwa waoaji na walio kwenye mahusiano wazingatie, kuna gharama imeongezeka zaidi ya ile ya saloon. Gharama inayoenda kuongezeka ni ya kutengeneza umbo. Mkija kuombwa hela za clinic msije mkadhani ni wajawazito bali wanaenda kurekebisha matako.
 
Unajua wanawake baadhi wasio pitwa na fasheni hili kwao litakuwa kipaumbele maana hawajui wanaishi ili nini, yaani wapo wapo tu.

Wale wasio pitwa na fasheni tutawaona wengi sana.
Jinga shenzi kabisa wengu wao ni miaka 18 mpaka 30 watakaa hapa kwenye hii fasheni.
 
Mloganzila wanajitangaza kwamba wanataka kuanza kukuza makalio. Lakini najiuliza, kwa utaalamu upi? Kwa umakini upi? Wa watu wapi? Hawa hawa wanaosahau mikasi tumboni mwa wagonjwa? Hawa hawa wanapasua kichwa badala ya mguu?

Hawa hawa walioshindwa kuwaokoa majeruhi wa ajali ya moto ya Msamvu mpaka wakafa wote? Hawa hawa wanaopasua utumbo mpana wakati mgonjwa anaumwa appendicitis??

Mloganzila wataleta maafa makubwa kwa akina dada ktk huduma yao hii mpya ya kukuza makalio. Mpaka leo kule Uingereza huduma hii Ina 67% ya kufanyika vizuri (operesheni 33% za huduma hii huleta madhara huko Uingereza).

Chonde chonde akina dada mtaoza makalio.
Wewe ni mhujumu uchumi.
 
uzi tayari
uzi wako wa ujumla wake una kejeli taaluma ya udaktari na madaktari wa Tanzania..

mapungufu unayosema yanaonesha jinsi gani una chuki binafsi.

Ajali ya Moto .. Mtu akisha ungua 80% ya mwili , hata india huko uwezekano wa kupona ni mdogo.. lakini pia kwenye hiyo ajali wapo walio pona.

Kupasua kichwa badala ya goti. issue ilisha kuwa solved kitambo.. siyo kosa la daktari.. ndiyo maana hao madaktari wapo kazini hadi hivi leo.

Mbona husemi kuhusu kupona kwa prof J, na wagonjwa wengine mahututi,
Mbona husemi kupona kwa yule jamaa alipata ajali ya mwendokasi..

licha ya mazingira magumu, na posho kiduchu na kufanya kazi under pressure ya kisiasa Madaktari wa Tanzania wana jitahidi sana..

Kuhusu hizo operation -
-Kwanza kwa kuanzia watakuwa na madaktari kutoka India
- Ukiona wame amua kufanya hivo, basi ujue wameji ridhisha , na wataalamu wanaweza.
hakuna daktari anayefurahia kufanya kitu kika mdhuru mgonjwa

ni rahis kubwabwaja hapa.. ila siku yaki kufika utapelekwa kwa hao hao madaktari unao wakashfu.. na utakuwa unawasikiliza kwa kila kitu.
Madaktari wengi wa Tanzania kama walivyo wataalam wa sekta karibu zote ni vilaza. Ndiyo maana wenye fedha wanaenda nje. Kupelekwa kutibiwa nao siyo hoja na hata akiwasifu haiwafanyi wawe wazuri.
 
Back
Top Bottom