liverpool

 1. Prof young bernie

  Liverpool kuchukua ubingwa EPL, pongezi zangu nazielekeza kwa Kloop

  Wanajamvi, msimu huu team ya Liverpool imechukua ubingwa wa Ligi Kuu Uingereza baada ya miaka 30 na ni mara ya kwanza tangia ligi hiyo ianzishe kwa namna tofauti kidogo na ilivyokuwa mwanzo. Nimejaribu kutafakari ni yupi anastahili sifa katika hili nimeona si mwingine ni mwanaume wa Kijerumani...
 2. Titicomb

  Kanali Lubangu: Usiposhangilia Liverpool FC kuchukua ubingwa wa EPL 2019-2020 unaweza kushitakiwa kwa utovu wa nidhamu

  Kanali mstaafu wa jeshi la mashabiki wa soka duniani anasema mashabiki wote wa mpira wa miguu duniani wasiposhangilia pamoja na shabiki wa Liverpool FC kwa kushinda taji la ubingwa wa Ligi kuu nchini Uingereza la msimu wa 2019/2020 unaweza kushitakiwa na kuhukumiwa adhabu ya kutoshangilia timu...
 3. Mzukulu

  Usiku huu Liverpool FC inanianzishia Furaha yangu, ila Siku ya Jumapili Simba SC itanikamilishia Burudani ya Mfululizo wa Ubingwa

  Asanteni sana Chelsea FC kwa Kuturahisishia Kazi baada ya Miaka 30, ila Prisons FC Jumapili mtatusamehe mno Simba Sports Club kwa Kichapo.
 4. RAKI BIG

  Wachezaji wa Liverpool waunga mkono mapambano ya kupigania haki ya watu weusi nchini Marekani

  Wachezaji wa Liverpool, wameunga mkono mapambano ya kupigania haki ya watu weusi nchini Marekani, baada ya hivi karibuni Mmarekani mweusi, George Floyd, kuuawa kikatili na Askari Polisi weupe wa nchi hiyo kwa kumkandamiza na goti sehemu ya shingo yake. Wachezaji wa Liverpool, akiwemo James...
 5. RAKI BIG

  Liverpool FC - You'll Never Walk Alone; Tukutane hapa utuambie hii comeback Ulikuwa wap?

  Hii game bana me nilikata tamaa kabisa kwenda kuingalia nikaenda zangu kulala aise.sasa nipo kitandan usinginzi ushaanza kunichukua jamaa yangu akanipigia simu kwa shangwe.nikamuuliza vip mzee.akaniambia huku liver kapindua meza barcelona walituandalia ugali dagaa lakin sasa hali imebadilika...
 6. Mbu

  Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

  Full name: Liverpool Football Club Nickname(s): The Reds Founded: 3 June 1892 League: Premier League Website: LiverpoolFC.com Ground: Anfield, (Capacity: 54,074) - Pitch 101m x 68m Principal Owner: John W. Henry Chairman: Tom Werner Manager: Jürgen Norbert Klopp Liverpool...
 7. lembu

  Liverpool inaweza Ikakosa ubingwa endapo coronavirus vikiingia Uingereza

  Liverpool ambayo imebakiza pointi 12 tu kubeba ubingwa wa Ligi ya Uingereza inaweza ikaukosa endapo Coronavirus au Virusi vya Corona vitaingia Uingereza na kulazimisha ligi kufupishwa. Hakuna sheria inayoruhusu bingwa kutawazwa kabla hajamaliza mechi zote 38. Kwa mukadha huu, mashabiki wa...
 8. Jon Stephano

  Huenda Liverpool ikakosa kutwaa ubingwa wa EPL msimu huu kwa Mafuriko yanayoendelea huko Uingereza

  Mzuqa wanajamvi, Mvua kubwa na kali inayoendelea kunyesha nchini Uingereza inaiweka Timu ya Liverpool pabaya na njia panda kutokutwaa ubingwa wa EPL ambayo wameisubiri miaka 30. Mvua iyo kubwa inayoambatana na radi inanyesha kila siku nchini uingereza na kusababisha maafa na uharibifu wa...
 9. Titicomb

  Klopp alitabiri mshindani wa Liverpool FC itakuwa Liverpool FC yenyewe. kifupi haitakuwa na mshindani!

  Ni jambo la kushangaza kidogo, unaweza kujiuliza alitoa wapi ujasiri na maono hayo? Kabla ya kuanza msimu wa Ligi Kuu Uingereza wa 2019/2020 meneja au kocha mkuu wa Liverpool FC akiwa katika ziara ya maandalizi msimu mpya (pre-season preparation tour) nchini Marekani katika jiji la New York...
 10. Jon Stephano

  Liverpool huenda ikakosa kutwaa ubingwa EPL kutokana na mafua ya China

  Mzuqa wanajamvi! Kuna wasiwasi wa Liver kutokutwaa ubingwa wa EPL kutokana na homa ya mafua Coronavirus kuingia Uingereza na kuthibitika leo watu wanne wanayo huko Scotland baada ya kutoka nayo China. Huu ungonjwa unasambaa kwa kasi ya ajabu na kwa muda wa miezi miwili tu itaambukiza mamilioni...
 11. technically

  Kubebwa kwa Liverpool

  Jumapili wenzie wote waliocheza Manchester United, Burnley, Leicester City wanacheza kesho ila yeye kapumzishwa mpaka keshokutwa wakati bado ana mechi nyingi ajacheza kama wenzie.
 12. Nguseroh

  Habari mbaya kutoka NASA Liverpool kutochukua ubingwa

  Shirika la Anga za juu la Marekani NASA limeweza kuona na kubaini jiwe kubwa asteroid lenye ukubwa kama nch yetu linakuja kwa kasi kuelekea sayari yetu. Kuna uwezekano likagonga dunia yetu na kuleta mtetemeko wa hatarii na kuingilia na kuaribu mipangilio ya kila siku ya maisha ya mwanadamu...
 13. THE BREED

  Gubu linavowatafuna wapinzani wa Liverpool

  Ndani ya misimu minne ntashinda taji moja. Ndivyo Klopp alivowaambia waandishi wa habari misimu mitatu na nusu iliyopita. Jamier Ghalagher alimuonya Klopp kuwa siyo rahisi kihivyo na ni kosa kubwa sana kuahidi taji ndani ya misimu minne. Alianza na mfumo wake wa gegen pressing kwa wachezaji...
 14. K

  Eti liverpool ndio bingwa wa EPL 2019/20? (msijidanganye)

  Habari wakuu. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, ni makosa makubwa sana kudhani kuwa eti liverpool tayari ameshakuwa bingwa mpya wa epl msimu huu.. Kwa navyomuona PEP na man city yake naona kama ndio aenda kuimarika zaidi kuliko msimu ulipokuwa unaanza. kinachonipa wasiwasi kuona...
 15. Last Seen

  Mashabiki wa Arsenal tufarijiane hapa

  Habari wana jamvi, Msimu huu Arsenal tuna hali mbaya kuliko Misimu yote iliyopita, Emery alietegemewa kufanya makubwa na kikosi cha Arsenal akakibomoa kikosi kwa migogoro na wachezaji. Alianza kwa mbwembwe za kufika fainali ya Europa hatimaye akala kipigo kitakatifu kutoka kwa timu iliyokuwa...
 16. Titicomb

  Wale wazee wa Livarpool inabebwa ichukue ubingwa wapo kimya week hii!

  Baada ya Sadio Mane kuporwa goli lake na VAR, eti paja sijui kwapa lake limezidi last defense line humu jukwaani na JF na mitandao mingine imekuwa kimya kabisa. Mara ya pili hii VAR inasema mchezaji wa Liverpool FC amezidi mstari (ameotea). Timu yao pendwa imetoka sare na kitimu kidogo. Jamaa...
 17. THE BREED

  Klopp na Liverpool ni moto wa mabua, utazimika hivi karibuni

  Kama tunavojua kwa misimu yote ya nyuma, LFC hawana pumzi ya mbio za marathon, wataishia njiani! Majeruhi kwa Mo Salah, Mane na Firmino ubingwa kwaheri!
 18. Titicomb

  Shabiki wa Liverpool wampa jina jipya mchezaji Kun Aguero

  Habari wadau wa michezo? Mashabiki wa damu wa Liverpool wana hasira sana na Aguero sababu ya unyama anao watendea mara kwa mara wakati timu yao LFC inapokutana uwanjani na Manchester City FC. Sasa katika kupoza machungu na kushangilia hasimu wao kupoteza pointi 2 jana tarehe 17/08/2019 Man City...
 19. AKILI TATU

  Liverpool Vs Barcelona link for live streaming

  wadau wote tusiokuwa na DSTV link hii hapo tujoin pamoja aisee hiyo hapo chini Liverpool Vs Barcelona Live Streaming Link
 20. Masamila07

  EPL title ya mwaka huu inaikataa Manchester city 'The Cityzens'; Kelvin DeBruyne, Fernandinho na Aymeric Laporte ni majeruhi hivi sasa

  Ubingwa wa EPL 2018/2019 unawakataa Manchester city 'The Cityzens' Hivi sasa tunapoongea wachezaji wanne muhimu ikiwamo na mabeki wa kati muhimu wote wapo majeruhi na viungo wawili muhimu mno pia majeruhi Kelvin De Bruyne, Fernandinho, Aymeric Laporte na John Stones ni majeruhi hivi...
Top Bottom