Ushahidi waanza Kutolewa kuhusu madai ya kuwepo Kwa Alliens na UFO

doup

JF-Expert Member
Feb 26, 2009
2,347
2,151
Kwa muda Sasa kumekuwa na mijadara hisia mingi kuhusu kuwepo Kwa viumbe wa ajabu kutoka sayari za mbali "Aliens", pamoja na technolojia yao ya usafiri almaarufu kama UFO(unidentified flying object).

Dhana hii imekuwepo sana uko Marekani Kwa muda na wakeleketwa wa hii hoja wamekwenda mbali Hata kufadhili na kutengeza program mbalimbali katika jitihada za kuthibitiaha dhana hii, japo Kwa muda wote serikali imekuwa ikikanusha upo wa hao viumbe wa ajabu.

Sasa, hivi Karibuni Huko Mexico bunge la seneti limesikiliza na kuoneshwa live mabaki ya viumbe hivyo yaliyo gunduliwa huko Peru kwenye Migodi, mabaki hayo yanahisiwa kuwa na umri usiopungua miaka 1000+

Katika sakata hili wajumbe wakichangia, wanaamini serikali Yao inaweza chukua ujiko Kwa kuwa ya kwanza duani kukubari jambo hili na kutengeza Kanuni na miongozo mbalimbali kuhusiana na viumbe hao

Hii Habari ni Kwa mujibu wa The Guardian.com

Alleged "non human" remains

Hizi story nazo ni kama tetesi tu za usajili, kwa sababu people wana create different stories kila siku na prove za kugushi, so we take it in minority
 
Hivyo vinyago sio vya leo, vilionekana tangu 2020 na watu wameshathibitsha sio aliens. Ni mifupa ya binadamu iliyoungwa ungwa bila mpangilio kuna Youtube Video wameonesha kwa kupiga X rays na kufanya utafiti wa kina.

Ni vinyago tu kama vya wamasai.
 
Hizi story nazo ni kama tetesi tu za usajili, kwa sababu people wana create different stories kila siku na prove za kugushi, so we take it in minority
Umeonae Mkuu. Eti allien aokotwe Peru aende kutolewa ushuuda kwenye Bunge la Seneti la Mexico! Mbona sipati connection?
 
Back
Top Bottom