magoli

  1. Freyzem

    Je wajua? Endapo kwenye Kombe la Dunia Wachezaji wawili au zaidi watakuwa na idadi ya juu sawa ya magoli, vigezo hivi vitatumika kumpata mfungaji Bora

    Endapo wachezaji wawili au zaidi watafunga idadi sawa ya mabao kwenye Kombe la Dunia, mshindi wa Golden Boot (Mfungaji Bora) hupatikana kwa vigezo vifuatavyo, kwa mpangilio huu: Aliyetoa pasi nyingi za mabao (assists) ndiye hushinda. Idadi ya assists huhesabiwa na kikosi cha uchambuzi cha FIFA...
  2. ShesRise_1

    Magoli Matatu Si Mchezo! ⚽😅

    Magoli kama yale ya Azam dhidi ya Yanga ya mda mfupi uliopita si rahisi kuyafunga, yalikuwa mengi sana 😅⚽️ Magoli matatu si mchezo! Wewe umecheza mechi gani ukafunga magoli kwa ufanisi kama Azam? 🤭 Ulikuwa unashindania kombe gani hasa? 😄 Mimi napenda mechi zenye magoli mengi, zinakuwa na...
  3. Pdidy

    Tupunguze makelele kwa refa tuongelee magoli waliyokosa wakisoma wajue wanarekebisha wapi

    NAONA MAKELELE.MTANDAON KILA.KONA WELL NASHAURI WAJUE PIA KUNA MAKOSA WALIFANYA YAMEWAGHARIMU WAKISOMA.WASIKIMBILIE WAMEONEWA NA REFA JE ZILE NAFASU 2 WANGETULIA SI WANGESHINDA MECHI ASSUME WANGEKOSA. MOJA MEANS DRW JE UDHAIFU ULIKUW WAPI NA UKO.WAPI NA NN KIFANYIKE TUBORESHE TIMU ZETU...
  4. McLaren

    Simon Msuva aifikia rekodi ya Mrisho Ngassa, afikisha Magoli 25 Taifa Stars

    Mshambuliaji wa Timu ya Tanzania “Taifa Stars”, Simon Happygod Msuva ameifikia rekodi ya Mrisho Ngassa ya kufunga Magoli 25 katika timu hiyo na hivyo kuwa wachezaji waliofunga Magoli mengi ngazi ya timu ya Taifa. Msuba amefikia rekodi hiyo kwa kufunga kwa njia ya penati katika mchezo...
  5. Chizi Maarifa

    Game imeisha. Simba watakachoweza ni kupunguza idadi ya Magoli

    Watake wanafungwa, wasitake wanafungwa. HAMNA NAMNA WATAEPUKA KIKOMBE HIKI. YANGA TUMEKWEPA MITEGO YAO YOTE.
  6. DuaZaMama

    Manchester City yachezea kichapo cha magoli 2 kwa 1 mbele ya Brighton

    Timu ya ManchesterCity imepoteza mechi ya pili mfululizo katika PremierLeague baada ya kukubali kichapo cha Magoli 2-1 kutoka kwa Brighton, leo Agosti 31, 2025. Mchezo uliopita City ilipoteza kwa 2-0 dhidi ya TottenhamHotspur, hivyo iimesaliwa na pointi 3 katika michezo mitatu ya EPL msimu huu...
  7. Stability

    Wakuu nifanye hatua zipi kufikisha magoli matano?

    Au najidanganya tu wakuu tu wakuu.
  8. Eli Cohen

    Tazama moja ya kati ya magoli bora kuwahi kufungwa na mchezaji bora wa muda wote (G.O.A.T).

    https://youtube.com/shorts/Nn26KMIKlQ8?si=9zurt8sqvi8j87R1
  9. B

    Tunacheka kwa magoli, tunalia kimya kwa maisha

    leoooo nipo na nyie mpaka mnyooke Wapendwa Watanzania... Leo tumeamka tena na habari za mpira. Leo tena tunagombana kuhusu nani bora – Simba au Yanga. Leo tena tunatukanana mitandaoni kwa sababu ya goli. Leo tena taifa linafurika uwanjani – sio kudai haki, sio kupinga ufisadi – bali...
  10. Komeo Lachuma

    Hii ndiyo Mbinu ya Simba kupunguza idadi ya magoli ya kufungwa leo

    Yaani wajitahidi wafungwe angalau 3 tu maana inaonekana kuna baos 5.na mbinu pekee ya kuwasaidia ni kukabia juu sana. Wakakabie katika goal la Berkane kabisa. Yaani Simba wakakabe hasa lango mwa Berkane mpira usiwe unavuka hata ile D Sababu ukivuka tu bao. Simba hawana kipa. Wana shati tu pale...
  11. Pdidy

    SIKU YA KESHO TUFUNGE KUIOMBEA SIMBA IFUNGWE MAGOLI MENGI MOROCO

    HABARINI ZA UZIMA WANA UBAYA UMWELA KESHO TUTAKUW NA MFUNGO MAALUM KUANZIA ASBH MIN MASAA SABA MAX 12 UNAWEZA LENGO KUU BERKANE ASHINDE KWA MAGOLI MENGI KULE.MOROCO TTUIMBEEEE MAGOLI YA BERKANE YAWE MENGI WAKIRUDI WAFUNGWE KWA MKAPA MAGOLI MENGI YA KUTOSHA BERKANE AWE BINGWAAA OMBI MAALUM...
  12. Pdidy

    Simba vs Berkane, Simba atafungwa magoli 3

    Naiona penalty ama redkadi ktk. Hii MECHII Pia upande WA PEMBEN WA shaballalh kutakuwa na mtengemano mkubwa kiasi cha kwamba anaweza mtu akahisi hayuko uwanjani KATIKATI Pia kutakuwa na changamoto KUBWA halijawahi kutokea ktk mechi zote walizocheza BAADA ya HAPO Berkane itakuja dar Sijui...
  13. DELETED ACCOUNT

    Siyo mwanasheria ila moja ya hoja zangu ndiyo zimeenda kuwashinda jopo la wanasheria wa Yanga huko CAS

    Toka day one ya sakata la derby na hatua ya Yanga kupeleka kesi CAS nilikuwa nahoji mara kwa mara inakuwaje unapeleka kesi ya rufaa wakati hauna nakala ya hukumu ya awali, nikajibiwa kwa jazba na mashabiki lia lia kuwa nisubiri nione. Nikaambiwa mimi ni nani nipewe nakala ya hukumu, wakiwa na...
  14. L

    Kwa wasiokubali magoli ya penati pelekeni mapendekezo FIFA ziondolewe

    Labda kama wewe sio mjuzi wa Sheria za soka. Peneti ni moja ya adhabu zinazotolewa kwa mchezaji akimchezea vibaya mchezaji mwenzie ndani ya penati boxi. Kuna njia moja TU ya kuzuia penati,nayo ni kucheza kwa nidhamu dhidi ya adui Yako ndani ya penati boxi,lakini ukicheza vibaya adhabu...
  15. DELETED ACCOUNT

    Exclusive Video ya 1974: Magoli ya Simba yaliyoipeleka Nusu Fainali ya Klabu Bingwa Africa

    Nimekutana na hii exclusive video ya mechi ya robo fainali kati ya Hearts of Oak vs Simba iliyofanyika mwaka 1974 ambapo Simba ilishinda kwa magoli 2-1 nikaona ni vyema kushea ili wengine wengi wapate kuiona. Baada ya hatua hiyo, Simba ilitinga hatua ya nusu fainali ya mashindano hayo ya...
  16. S

    Nimeoneshwa na Mungu kuwa simba itaifunga stellenbosch magoli mawili yote ya kichwa siku ya tarehe 20 april 25

    Kila kinachofanyika kwa mwili wa macho na nyama huwa ni kama display ya kitu kilichofanyika. Naandika haya leo ijumaa kuu siku mbili kabla ya mechi Ushindani wa mechi ya Simba na stellenbosch utaamuliwa kwa magoli ya kichwa! Naiona simba ikifunga magoli mawili yote ya kichwa kutokana mipira...
  17. M

    Mvua ndio uchawi wa simba, mwarabu atakuwa anateleza tu na kulala. Ili Simba avuke lazima apate magoli mapema

    Mvua inanyesha dar Simba wanafurahia
  18. DogoWaNjombe

    Liverpool yachapwa na Fulham Magoli 3-2 kwenye EPL

    Ligi Kuu ya England Premier League imeendelea leo Aprili 6, 2025, timu ya #Liverpool imepoteza mchezo wake wa pili msimu huu (2024/25) katika Ligi hiyo kwa kukubali kichapo cha Magoli 3-2 kutoka kwa #Fulham Michezo minchine, Brentford imeishika shati Chelsea katika matokeo ya 0-0 wakati...
  19. GENTAMYCINE

    Kwa uchezaji mbovu wa Beki Baka (japo wana Yanga SC wanamsifia) ataisababishia Taifa Stars kufungwa sana Magoli ya Penati

    Ibrahim Baka ana Uchezaji wa Kizamani / wa Kishamba sana ambao ukiwa ni Mtu tu wa Mpira kama Mimi utamshangaa. ANGALIZO Tafadhali ukijijua kuwa humpendi GENTAMYCINE wala THREADS zake acha KUSHOBOKA kumsoma, bali wapishe Wengine.
Back
Top Bottom