3 days shared group budget safari in Tanzania | 3 Days / 2 Nights | Shared Group Safari | Budget Safari
Join our 3 Days Tanzania Shared Group Budget Safari and explore Tarangire, Ngorongoro Crater and Lake Manyara. Enjoy affordable wildlife game drives, budget accommodation, meals and...
Kundi la waandamanaji wanaodai kuunga mkono Serikali ya Rais William Ruto lilifika katika Makao Makuu ya Standard Group pembeni mwa barabara ya Mombasa Rd Jijini Nairobi likilalamikia kile walichokitaja kama utangazaji wa upendeleo dhidi ya utawala wa Ruto.
Waandamanaji hao walifika wakiwa na...
Ila mimi naye nimeshapitia mengi jamani😭
Wakati nipo chuo, sitasahau siku nilipomtaarifu dada yangu kwamba nina ujauzito. Wiki mbili baadaye tukagombana. Kama njia ya kunikomesha, akachukua zile chats kwenye group la familia ambako mama na baba wote wamo. Nilifuta WhatsApp hapo hapo.
Sikuwai...
4 days Tanzania group joining safari package 2026/2027
Tarangire • Serengeti • Ngorongoro Crater
Join our 4 Days Tanzania Group Joining Safari and explore Tarangire, Serengeti and Ngorongoro Crater at an affordable price. Share a 4x4 safari vehicle with fellow travelers, enjoy professional...
Mimi pia nilikuwa mfanyakazi wa Jambo Group of Companies, hivyo haya ninayoyaeleza siyo taarifa ambazo nimezisikia tu kutoka kwa watu wengine, bali ni mambo ambayo nimeyaona, nimeyapitia na nimefanya kazi katika mazingira hayo mwenyewe. Hadi sasa mimi mwenyewe ni mdaiwa wa kampuni kutokana na...
Anonymous (694e)
Thread
changamoto
group
hela
jambo
kujikimu
mpwapwa
mpya
mwezi
shinyanga
unyonyaji
wafanyakazi
walimu
wilaya
Mhariri Msaidizi wa Chombo cha habari cha Standard Group cha nchini Kenya, Alex Kiprotich ametekwa usiku wa kuamkia leo na watu wenye silaha wasiojulikana.Taarifa iliyochapishwa na ukurasa wa chombo hicho cha nchini Kenya imesema kuwa Mhariri huyo ametekwa akiwa kwenye gari lake katika barabara...
Naona kwenye groups za whatsapp na whatsapp statuses wazanzibari wamefurahi mno huyo ndejembi kupendekezwa kuchukua nafasi ya nchimbi.
Wanashangilia sana isiyo kifani na kumsifu samia na kwa kuwaletea ndejembi.
Huyu Ndejembi hata muonekano tu anaonekana atakuwa mtiifu kwa Samia tena ni hivi...
Hii ni taarifa ambayo imekuwepo kwa muda kupitia Asasi zisizo za kiserikali. Ukiwa na elimu unashindwa kuamini haraka kwamba kweli tunaongozwa na watu wadhaifu kichwani kiasi hiki? Yaani huu ndo mwisho wa kufikiri wa wana CCM na serikali wanayaosema ni yao?
Soma hapa...
Habari wakuu.
Huu ni upuuzi umezidi yaani tuna miaka 7 plus hatujawahi hata kuwasiliana ,then mtu anakuunga kwa group la whatsup la harusi yake ,
Nini hiki ,alafu akuuliza unaahidi shilingi ngapi kila baada ya siku simu kibao ,so mkiwa na shida ndo mnakumbuka watu huu ni ujinga tena ujinga...
Wafanyakazi wa Kampuni ya Namera Group of Industries (T) LTD kilichopo Gongolamboto, Dar es Salaam wamefanya mgomo na kukusanyika nje ya kiwanda hicho wakilalamikia hatua ya mwajiri wao kubadilisha jina la kampuni hiyo bila kuwalipa stahiki zao na kuvunja mikataba yao ya awali.
Wafanyakazi hao...
Wasanii wanaojishughulisha na kazi za sanaa kupitia kikundi cha Twendeni Art Group jijini Mwanza wameonyesha kusikitishwa kwao na kitendo cha mabanda yao ya kufanyia kazi kubomolewa ghafla bila kupewa muda wa kutosha au taarifa za kuridhisha.
Kauli ya Kiongozi wa Kikundi (Isaac Ibrahimu...
Embark on an unforgettable adventure to the Roof of Africa with our 7-day Kilimanjaro group join tour via the Machame Route. Perfect for solo travelers, friends, and small groups who want to experience the thrill of conquering Kilimanjaro in a supportive, sociable atmosphere—without the cost of...
Teknolojia haiwezi kuchukua nafasi ya walimu, lakini inaweza kuwa nyenzo muhimu ya kuongeza usawa wa fursa za kujifunza kwa kila mwanafunzi.
Leo hii, AI imekuwa kama mwalimu binafsi anayepatikana muda wowote, hata ukiwa chumbani kwako japo kwa tahadhari kwasababu haipatii kila kitu.
Wanafunzi...
The 2-day Tanzania sharing group joining safari by Widerange African Safaris is a budget-friendly way to explore the Northern Circuit. Priced at roughly $400 to $850 per person, the package usually departs from Moshi or Arusha and includes shared 4x4 transport, park fees, daily meals, and lodge...
Kuna account humu JF zimefunguliwa na watawala kwa ajili ya kutumiwa na group la watu wanaolipwa kwa ajili ya kujibu, kukosoa, kukejeli nk thread ambazo zinatolewa ambazo zinaanika uobu wa serikali na viongozi wake.
Kwa mfano, unakuta Tlaatlaa au Mwanshambwa sio mtu mmoja. Ni account ambazo...
Comrades and well wishers of our great and beloved country, I am persuaded to join a call that the self positioned into power the so called chama cha mapinduzi now has met all tenets required to be named as a terrorist gang and needs to face necessary consequences that other similar groups such...
Uganda’s Chief of Defence Forces Gen. Muhoozi Kainerugaba met Nation Media Group leaders in Entebbe to discuss the shutdown of NTV Uganda, Daily Monitor, Spark TV, and KFM, with the post including a group photo from the meeting.
The meeting at the Special Forces Command headquarters in Entebbe...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Mfanyabiashara kutoka nchini Nigeria ambaye pia ni Mwanzilishi na Mmiliki wa Dangote Group, Alhaji Aliko Dangote, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 28 Juni, 2026.
Nafanya hii kazi kwa kujitoleaa kabisa!!Maana hela za kuipa jamii sina basi nitawapa maarifa!
Nimeona nianze kufanya Philanthropy kama sehemu ya kuisaidia jamiii kimaarifa na kufungua Bongo!!….
Ni mm rum28
Email:enatmedics@gmail.com
Maoni yako plz
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda amefafanua hoja iliyotolewa na Mdau wa JamiiForums aliyelezea kuwa Mkandarasi raia wa China anayejenga soko hilo hawasilishi michango ya Wafanyakazi wake katika Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF).
Mtaka amesema “Ukweli ni kuwa kampuni hii tangu kusajiliwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.