Baada ya Ratiba ya Maandamano ya awamu ya pili kutolewa Mbeya yalipuka kwa Shangwe

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,789
218,428
Hii ndio Taarifa mpya ya sasa kutoka mkoani humo, kwamba baada ya Ratiba ya Maandamano ya awamu ya pili, ya kupinga Ugumu wa maisha na miswada mibovu ya sheria za uchaguzi kutangazwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA , huko mkoani Mbeya baraka hii muhimu wamepangiwa tarehe 20/2/2024 , ambayo Wanazuoni wanasema ni namba ya bahati kwa vile inagawanyika kwa mbili ,Baada ya kusikia tu kauli hii ya Mnyika Wakazi wa Mkoa huo wamelipuka kwa shangwe.

Mkoa wa Mbeya ni miongoni mwa Mikoa ambayo wakazi wake wanahitaji mno mabadiliko, na kuna Ushahidi kwamba Karibu Wakazi wote wa Mkoa huo wanaunga mkono CHADEMA, ukiacha mamluki na Chawa wachache.

FB_IMG_1687975860493.jpg


Ujio wa Maandamano haya ni sawa na Ukombozi kamili kwa watu wa Mbeya, ambao mara kadhaa wamezuiliwa kuandamana kwa mtutu wa Bunduki, ikiwemo maandamano ya kupinga Bandari za Tanganyika kuuzwa kwa Waarabu wa DP WORLD, Wananchi wengi sasa wanaanza kuona mwanga wa kero zako kupelekwa popote kwa njia ya Maandamano ya Amani.

Masaa machache baada ya Tangazo hilo Tayari Wilaya ya Kyela imeanza Maandalizi kabambe kwa ajili ya Maandamano hayo, huku baadhi ya Mabango yakianza kuandikwa (nimeona), likiwemo moja ambalo linataka WALIOPORA SOKO LA HALMASHAURI KYELA NA KUJIMILIKISHA WAKAMATWE MARA MOJA.

JamiiForums753274111.jpeg
 
Hii ndio Taarifa mpya ya sasa kutoka mkoani humo , kwamba baada ya Ratiba ya Maandamano ya awamu ya pili , ya kupinga Ugumu wa maisha na miswada mibovu ya sheria za uchaguzi kutangazwa na Katibu Mkuu wa Chadema , HUKU MKOA WA MBEYA UKIBAHATIKA KUPATA BARAKA HII MUHIMU AMBAPO WAMEPANGIWA TAREHE 20/2/2024 , AMBAYO WANAZUONI WAMESEMA NI NAMBA YA BAHATI , Wakazi wa Mkoa huo wamelipuka kwa shangwe .

Mkoa wa Mbeya ni miongoni mwa Mikoa ambayo wakazi wake wanahitaji mno mabadiliko , na kuna Ushahidi kwamba Karibu Wakazi wote wa Mkoa huo wanaunga mkono CHADEMA , ukiacha mamluki na Chawa wachache .

View attachment 2890747

Ujio wa Maandamano haya ni sawa na Ukombozi kamili kwa watu wa Mbeya , ambao mara kadhaa wamezuiliwa kuandamana kwa mtutu wa Bunduki , ikiwemo maandamano ya kupinga Bandari za Tanganyika kuuzwa kwa Waarabu wa DP WORLD , Wananchi wengi sasa wanaanza kuona mwanga wa kero zako kupelekwa popote kwa njia ya maandamano ya Amani

Masaa machache baada ya Tangazo hilo Tayari Wilaya ya Kyela imeanza Maandalizi kabambe kwa ajili ya Maandamano hayo , huku baadhi ya Mabango yakianza kuandikwa (nimeona) , likiwemo moja ambalo linataka WALIOPORA SOKO LA HALMASHAURI KYELA NA KUJIMILIKISHA WAKAMATWE MARA MOJA .

View attachment 2890745
demonstrations with no end game are like jogging....

institution with no formal and proper communication strategies are nothing to do with changes...

politicking without winning formula is like flood in ocean
 
demonstrations with no end game are like jogging....

institution with no formal and proper communication strategies are nothing to do with changes...

politicking without winning formula is like flood in ocean
Kizungu cha ugoko !
 
Back
Top Bottom