wagombea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiCheck

    Wakati wa Uchaguzi watu hutengeneza Akaunti feki zenye majina ya Wagombea

    Wakati wa Uchaguzi baadhi ya Watu huibuka na kutengeneza akaunti 'feki' na kuzipa majina ya Wagombea au kubadili jina la akaunti zao na kutumia jina la mgombea fulani. Akaunti hizo hutumika kutengeneza taarifa au maudhui mbalimbali yanayomuhusu Mgombea wa Uchaguzi, hutumika kupotosha taarifa...
  2. Erythrocyte

    Mkoa wa Iringa hapatoshi, Mchuano wa Wagombea wa Uongozi wa CHADEMA unatisha

    Myovela ndiye ameanza kuchukua fomu, Japo kuna tetesi kwamba wagombea kadhaa wenye ushawishi washatia nia Hebu ngoja Tusubiri hadi mwisho
  3. The Sheriff

    Je, huwa unasikiliza sera za wagombea na vyama usivyoviunga mkono?

    Inaeleweka kuwa kuna baadhi ya wafuasi wa vyama au wagombea fulani hawana utayari wa kusikiliza wagombea au sera za vyama wasioviunga mkono. Hii ni kwakuwa, kwa namna fulani, ‘wamefunga ndoa’ na sera zile wanazozijua tu na hawajawaza umuhimu wa kufungua akili na kuruhusu mitazamo mipya kutoka...
  4. R

    Wananchi wa Majimbo haya mmeshaandaa wagombea?

    Majimbo yafuatayo hakuna wabunge hadi ila tume ya uchaguzi haiwezi kufanya chochote hadi 2025. 1. Mbeya Mjini 2. Moshi Mjini 3. Kibamba 4. Kawe 5. Nyamagana 6. Ilemela 7. Shinyanga town 8. Kaliua 9. Urambo 10. Sikonge 11. Tabora mjini 12. Majimbo yote ya Mtwara 14. Majimbo yote ya Singida 15...
  5. JF Toons

    Unafuatilia Sera zinazotolewa na wagombea wa kisiasa?

    Unafatilia Sera zinazotolewa na wagombea wa kisiasa? Au wewe unachoangalia ni ushindi wa chama chako bila kujali kama kina Sera njema kwa maendeleo ya Taifa?
  6. Heparin

    Freeman Mbowe: Naagiza ngazi zote za chama ziandae wagombea wa kushinda Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025

    Akihutubia kwenye mkutano wa BAWACHA, Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe emetoa agizo kwa Katibu Mkuu wa chama hicho John Mnyika kuhakikisha ngazi zote za chama nchi zima zinaandaa viongozi wa kugombea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2024 na uchaguzi mkuu mwaka 2025. Viongozi hawa wawe na...
  7. Papaa Mobimba

    Kuelekea Uchaguzi 2024 na 2025: Umesikia kauli gani kutoka kwa viongozi ukaona zinahatarisha Ustawi wa Demokrasia?

    Wakati wa chaguzi mbalimbali duniani huwa viongozi na wanasiasa wanatoa kauli mbalimbali katika kunadi sera zao na vyama vyao kwa ujumla. Kauli zinazotolewa huweza kuwa nzuri za kujenga au zikawa kauli za chuki zenye lengo la kugawa na kubagua kundi fulani. Hayati Mwalimu Nyerere aliwahi kusema...
  8. W

    Wagombea Urais katika Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2015 ambao wameshafariki

    Wafahamu Wagombea Urais katika Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2015 ambao wameshafariki Maalim Seif Sharif Hamad ambaye alikuwa Mgombea Urais kupitia Chama cha Civic United Front (CUF) alifariki Februari 17, 2021 akiwa na umri wa Miaka 77 baada ya kupata Maambukizi ya Ugonjwa wa Corona. Dkt. John...
  9. Roving Journalist

    Mdahalo wa Wagombea Uenyekiti Vijana ACT - Wazalendo

    Mdahalo wa Wagombea wa Uenyekiti wa Ngome ya Vijana Taifa kwa Chama cha ACT Wazalendo kwenye Ukumbi wa Hakainde Hichilema, leo Februari 27, 2024. https://www.youtube.com/watch?v=32rMuLtDJG0
  10. Jaji Mfawidhi

    Historia Ngumu: Wagombea Urais 5, Rais mmoja, wamefariki ndani ya miaka 8 Tanzania

    Candidate Running mate Party Anna Elisha Mghwira[42] Hamad Mussa Yussuf Alliance for Change and Transparency (ACT) Edward Lowassa[42] Juma Duni Haji Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Fahmi Nassoro Dovutwa[42] Hamadi Mohammed Ibrahimu United People's Democratic Party (UPDP)...
  11. MamaSamia2025

    CHADEMA ina cha kujifunza kwa CCM kwenye demokrasia ya kuwapata wagombea ubunge

    Ninashangazwa sana na kauli za makada waandamizi wa hiki chama cha Mbowe.. ni kauli zinazoashiria ndani ya CHADEMA hakuna demokrasia inayotajwa kuwepo. Zaidi ya mara moja makada wa CHADEMA hasa Lema na Sugu wamekuwa wakijinadi kuwa watagombea ubunge kwenye majimbo ya Arusha na Mbeya kana kwamba...
  12. mwanamwana

    Vyama vya Siasa vya upinzani vijikite kuwaandaa wagombea mapema kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

    Tunapoelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025 ni vyema vyama vyote vya upinzani vitakavyoshiriki vikaanza maandalizi mapema kabla giza halijazama. Wote tunakumbuka uchafuzi uliofanyika katika uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 ambapo vyama vya upinzani vilipata pigo moja...
  13. Stephano Mgendanyi

    Chatanda ataka 20% ya Wagombea nchini wawe Wanawake

    Chatanda Ataka 20% ya Wagombea Nchini Wawe Wanawake Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), Mary Chatanda, amesema kutokana na hali ilivyo wanataka asilimia 20 ya wagombea wa majimbo, udiwani na serikali za mitaa wawe wanawake hasa katika uchaguzi ujao. Chatanda amebainisha hayo wakati...
  14. E

    Katibu Mkuu Mteule CCM ndie ataratibu mchakato wa kupata wagombea 2025 - busara itumike kumpata

    1. Katibu Mkuu (Afisa Mtendaji Mkuu/CEO) ndie atakayeratibu zoezi la kupata wagombea nchi nzima. 2. Apatikane Kiongozi Makin, mtulivu, Msomi na mwenye uzoefu katika Siasa na uongozi. NB: Akitokea Zanzibar (sehemu ya Muungano) sio dhambi.
  15. Alwaz

    Hii haikubaliki tena,wapalestina Gaza wagombea chakula kujiokoa kufa kwa njaa

    Umoja wa falme za kiarabu UAE umeitisha kikao cha dharura cha umoja wa mataifa kutaka lipitishwa azimio la kusitishwa vita haraka na bila masharti yoyote. Wajumbe wote wanatarajiwa kuunga mkono azimio hilo na hofu imebaki kwa Marekani tu kama naye atapiga kura kuunga mkono. Azimio la kusitisha...
  16. JanguKamaJangu

    Uchaguzi Mkuu DRC: Wapinzani Waungana Nyuma ya Moise Katumbi Ili Kumng'oa Rais Felix Tshisekedi

    Wagombea Wanne wa nafasi ya Urais Nchini DR Congo wameamua kujitoa na kueleza kuwa wanaelekeza nguvu zao katika kumuunga mkono Gavana wa zamani, Moise Katumbi ambaye ni mgombea mkuu wa upinzani katika uchaguzi huo. Hatua hiyo inafanya wagombe waliosalia kuwa 21 mbapo wote wanawania nafasi...
  17. kagoshima

    Ukiondoa kupita bila kupingwa unakua umeaondoa ununuzi na utekaji wa wagombea kwenye chaguzi. Ushauri, rekebisha Sheria kwa maslahi ya demokrasia

    Mazee mpo? Naenda kwenye hoja. Kiukweli moja ya uchafuzi mkubwa wa Democrasia ya vyama vingi ni ununuzi na utekaji wa wagombea wakati wa uchaguzi. Tumeamua multiparty democracy,ni vyema tukawa serious kidogo. Haiwezekani Tanzania Kila jambo linafanywa kisanii sanii. Democracy ni kuruhusu raia...
  18. Father of All

    Ikiwa hawa watakuwa Wagombea Urais wa Tanzania utamchagua nani?

    Katika kuwaza kwangu, nilijiwa na wazo la kuwapambanisha wapendwa wafuatao ambao kimsingi ni viongozi wetu mashuhuri na wastahika. Nashauri chama cha maulaji kiwapambanishe wafuatao kwenye kinyang'anyiro cha Urais kwa sababu kubwa kuu; mbali na kuwa vijana, wasomi, viongozi wenye sifa zote...
  19. M

    Ushauri kwa CCM: Mruhusu ushindani kwa Wagombea Urais ndani ya CCM

    Ni muda muafaka sasa umefika CCM iruhusu ushindani kwa wagombea Urais ndani ya Chama. Vile vile, kofia ya Urais na ya MwenyeKiti wa CCM Taifa itanganishwe ili iwe rahisi kwa Chama kuisimamia Serikali. Nawasilisha.
  20. BARD AI

    Unazikumbuka ahadi za Wagombea wakati wa Uchaguzi wa 2020? Lete iliyokuchosha

    Hadi sasa sidhani kama kuna Mgombea aliyewahi kuvunja rekodi ya Ahadi za Dkt. Josephat Gwajima kwenyr mikutano ya Uchaguzi Mkuu
Back
Top Bottom