kugharamia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stephano Mgendanyi

    Bilioni 2.6 Zimetengwa Kwaajili ya Kugharamia Taulo za Kike

    NAIBU Waziri Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mhe Zainab Katimba amesema katika mwaka wa fedha 2023/24 Serikali ilitenga Sh Bilioni 2.64 kwa ajili ya kugharamia taulo za kike ambapo kati ya fedha hizo Sh bilioni 1.06 ni za ruzuku ya uendeshaji na Sh bilioni 1.58 ni fedha kutoka mapato ya ndani ya...
  2. Grahams

    Ulitumia kiasi gani cha fedha ama umepanga kutumia kiasi gani cha fedha kugharamia harusi yako?

    Suala la Kuoa ama kuolewa bado litaendelea kuwa ni hitaji muhimu miongoni mwa Jamii ya watu wengi Ulimwenguni. Kwa Tanzania, tunazo Ndoa za aina mbalimbali ambazo zinatambulika kisheria ambazo ni Ndoa za Kidini, Kimila na Kiserikali. Mara baada ya kufunga Ndoa, maharusi wengi Kwa kushirikiana...
  3. Southern Giant

    Serikali imegharamia safari ya kwenda Afrika Kusini kwa mashabiki 48 wa Yanga SC

    Rais wa Yanga Sc Eng Hersi Said amesema kuwa serikali imekubali kugharamia mashabiki watakao safiri na Timu kwa njia ya basi kutoka Dar es Salaam Hadi Afrika Kusini kwenda kushangilia Timu ya Yanga Itakayo pambana na Masandawana katika hatua ya robo fainali ya mkondo wa pili itakayopigwa...
  4. BARD AI

    Serikali yasema haiwezi kugharamia Matibabu ya Kisukari na Tezi Dume kwasababu huduma nyingine zitasimama

    Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, ametoa kauli hiyo wakati akijibu swali la Mbunge wa Jimbo la Igalula, Venant Protas aliyependekeza Serikali ianze kugharamia Matibabu ya Wagonjwa wa Kisukari na Tezi Dume ambapo amesema gharama za kutibu Magonjwa hayo ni Tsh. Bilioni 346.42 kiasi...
  5. Wizara ya Afya Tanzania

    Rais Dkt. Samia ametoa fedha shilingi bilioni 1 kwa ajili ya kutibu watoto 20 wenye ugonjwa wa Selimundu

    NA: WAF, Dodoma Waziri wa Afya, Mhe. Ummy Mwalimu, amesema katika kuendelea kuboresha huduma za afya nchini Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa fedha zenye thamani ya shilingi bilioni 1 kwa ajili ya kutibu watoto 20 wenye ugonjwa wa Selimundu (Sickle Cell) mpaka kufikia Juni 2024. Waziri...
  6. benzemah

    Rais Samia afupisha ziara yake Dubai kurejea nchini haraka iwezekanavyo, Serikali kugharamia mazishi na matibabu ya majeruhi wa mafuriko ya Hanang

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemuelekeza Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa kuwa serikali igharamie mazishi ya wote waliopoteza maisha kutokana na mvua kubwa iliyotokea na mafuriko katika Halmashauri ya Wilaya ya Hanang. Rais Samia pia ametaka majeruhi wote...
  7. DR Mambo Jambo

    MSWAADA BIMA YA AFYA KWA WOTE,BETTING,SODA,VINYWAJI VIKALI,VIPODOZI VYAWA VYANZO VIKUU KUGHARAMIA WASIO NA UWEZO

    Akiongea Bungeni leo Hii, kipindi anasasilisha mswaada Huo Waziri wa Afya Ummy Mwalimu Amesema kwamba vyanzo hivyo vitatumika kugharamia Wasio na uwezo wa malipo ya Bima hiyo.. Sikiliza hapa chini..
  8. BARD AI

    Tozo za Miamala, Kodi za Vinywaji Vikali kugharamia Bima ya Afya kwa Wote

    Akiwasilisha Muswada wa Bima ya Afya kwa Wote Bungeni baada ya kukwama mara mbili, Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema baada ya Serikali kutakiwa kueleza chanzo cha Fedha zitakazoendesha Bima ya Afya kwa Wote, Wizara ya Fedha imeridhia kuhamisha baadhi ya Kodi na Tozo kwenda kwenye mfuko huo...
  9. Hismastersvoice

    Hili agizo la Serikali kugharamia misiba na maziko ya viongozi wa CCM ni dhuluma kwa kodi zetu

    Leo asubuhi nimesikia kwenye redio kipindi cha kusomewa magazeti kuwa rais ameagiza serikali isimamie na kugharamia maziko ya makada wa CCM huko Njombe waliofariki kwa ajali wakiwa kwenye shughuri za chama chao, kitendo hiki hakitoi haki kwa watamzania wote ambao si wafuasi wa CCM ambao...
  10. S

    Serikali Kugharamia Mashabiki 55 Kwenda Kutoa Hamasa Africa Kusini

    Serikali kupitia Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo katika juhudi za hamasa kuendelea kuunga mkono michezo nchini hususani katika mashindano ya kimataifa, imeamua kugharamia jumla ya mashabiki 55 watakaosafiri kuelekea nchini Afrika Kusini, kwenda kuishangilia klabu ya Yanga katika mchezo wa...
  11. The Burning Spear

    Serikali kugharamia ukarabati uharibifu wa kanisa Geita

    Hii issue nachukulia kama cheap politics, kujipendekeza na kutafuta huruma Kwa viongo wa dini, Serikali ifanye KAZI iliyopewa na wananchi. Sijaelewa mantiki yake. Mi nimuumini kindakindaki wa Catholic hatushindwi kukarabati kanisa hilo. Tukiamua Kila mbatizwa atoe tu sh 500 ukarabati...
  12. Lady Whistledown

    Kashfa kubwa Wizara ya Ardhi: Bilioni 375 zatumika kugharamia semina na uratibu

    BUNGENI: Mbunge Hawa Mwaifunga amesema Wizara ya Ardhi imekopa Zaidi ya Tsh. Bilioni 345, bila Kamati kuwa na Taarifa ya Mkopo huo na kuhoji Matumizi na vipaumbele vya Wizara. Mkopo huo umeidhinishwa kwa matumizi ya Upimaji wa Vijiji 250 kwa Miaka 5 kati ya zaidi ya Vijiji 9,000 vinavyopaswa...
  13. Barackobama

    Serikali itoe tamko kuhusu kugharamia Fedha za Elimu Bure shuleni

    Tangu 01/11/2022 hadi sasa (28/12/2022) takribani miezi miwili serikali imeshindwa kupeleka fedha mashuleni kwa ajili ya ruzuku, na hakuna tamko lolote kutoka katika mamlaka husika. Kushindwa kupeleka fedha hizo kwa wakati mashuleni kuna sababisha walimu kushindwa kupatiwa vifaa vya maandalizi...
  14. T

    Nchi ambayo Wafanyabishara wanaweza kugharamia safari za Rais za Kitaifa na Kimataifa haiwezi kujali maslahi ya wananchi wa kawaida

    Juzi tuliambiwa gharama za safari za rais za kitaifa na kimataifa zinagharamiwa na wafanyabishara ambao hawatajwi majina. Katika akili ya kawaida, kama wafanyabishara wanagharamia safari za mkuu wa nchi nje ya nchi na ndani ya nchi maana yake tayari rais ameshakuwa compromised na...
  15. Khadija Mtalame

    Waziri Ummy hukupaswa kugharamia matibabu ya Profesa J, acha kutufanya watanzania wajinga

    Ummy, Kwanza kabisa umefanya jambo la maana sana kughramikia matibabu ya Prof lakini labda tu nikwambie umeyasema hayo ktk wakati usio sahihi hata kidogo. Profesa hana shida kiuchumi hivyo acheni kabisa kuingiza siasa ktk masuala ya msingi. Kuna watu wengi hasa kule Ikungi, Lyankoma, Simiyu...
  16. Nyendo

    Ummy Mwalimu: Kuanzia sasa matibabu ya Joseph Haule(Prof. Jay) yatagharamiwa na Serikali

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema kuanzia sasa Serikali itagharamia matibabu ya aliyekuwa Mbunge wa Mikumi Joseph Haule Profesa J anayetibiwa Hospitali ya Taifa Muhimbili hadi hapo atakaporuhusiwa kurudi nyumbani. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu alipofika Muhimbili leo...
  17. Uzalendo wa Kitanzania

    Fedha za kugharamia bima ya afya kwa wote zikusanywe kupitia tozo mpya kupitia malipo ya bili za maji

    Ndugu Watanzania kwa mazingira ya sasa Bima ya Afya ni hitaji la msingi kwa kila Mtanzania. Hata hivyo changamoto iliyopo ni hali ngumu ya Kiuchumi kwa Watanzania walio wengi. Naishauri Serikali iwasilishe muswada Bungeni wa Bima ya Afya kwa wote kupitia Tozo zitakazokusanywa kupitia malipo...
  18. B

    Serikali iruhusu uwekezaji wa kibiashara katika Magereza ili wafungwa wanaoweza kugharamia walipie na kutumikia vifungo vyao

    Kwanza kabisa niwasalimu kwa salamu ya kitaifa, KATIBA MPYA WANA JF. Kimsingi nimekuwa nikijalibu kupata taarifa mbalimbali za huduma za magereza duniani. Unapozilinganisha na za magereza zetu unaona ni kwa jinsi gani hali ilivyo mbaya kwa magerza zetu. Na kwa kuwa lengo la kuwa na magereza...
Back
Top Bottom