kike

The word kike () is an ethnic slur for a Jew.

View More On Wikipedia.org
  1. Hekima ni Mwalimu

    JamiiForums Tanzania Natafuta Marafiki wa kike

    Jamani uwezi amini sina rafiki wakike mwanamke yeyote anaye hitaji rafiki wa kiume nipo hapa karibu ,ni pm/DM me .
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Vijana wa kitanganyika wanajiwehusha kuhusu mahari kwa watoto wa kike

    Vijana wa kitanganyika wanajiwehusha kuhusu mahari kwa watoto wa kike. Hii tabia siyo bahati au wanafanya makusud ila ni ya kurithi. Kijana anaekuja na hoja yake kuhusu kupinga kuwatolea wanawake mahari, Ni kwasababu amerithi tabia kutoka kwenye familia /ukoo wake na jamii aliyokulia...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mwanzoni akiwa RC niliamini yuko smart ila baada ya kupandishwa cheo na kuanza kufunga wanawake waliomtongoza na sasa hili boko ! 🤯🤯

    Labda kweli cheo kikubwa hakibadilishi akili ya mtu, kinachofanya ni kumfichua anavyofikiri na kufanya maamuzi kwa uhuru. Mwanzoni nilikuwa nikimuona kama mtu smart sana alipokuwa RC Tabora. Hasa namna alivyoshughulikia kesi ya kumkamata tapeli aliyekuwa akiwadhulumu viongozi ilimpa credit...
  4. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Godfrey Tumaini hawataji mashoga wa kike (wasagaji) ?

    Tangu nimeanza kumsikia Godfrey Tumaini na kelele zake za ushoga hapa nchini sijawahi kumsikia akitaja au akipambana na shoga yeyote mwanamke. Sijui ni kwa bahati mbaya au kwa sababu anajua mashoga wa kike hawawezi kumpa kiki mjini au hakuna mashoga kike Tanzania? Kama amesahau ni vyema...
  5. figganigga

    JamiiForums Tanzania Kila moyo wa kike kuna nafasi ya Mwanaume. Hivyo hivyo kwa Wakike

    Kama Baba usipoijaza hiyo nafasi, mtoto ataitafuta mtaani. Kama Mama hajajaza roho ya mtoto wa kiume, ataitafuta nje. Tuishi na watoto kwa upendo. Mtoto akioa ndo Mama anajiondoa. Na Mtoto akiolewa Baba kaa pembeni. Msipojiondoa kwenye urafiki wa mtoto, ndoa za watoto hazitadumu. Kwa...
  6. Sweet16

    JamiiForums Tanzania Nandy the African princess mwanamuziki wa kike Tanzania anayeweza kuimba live akaeleweka

    nampa maua yake bila tone la wivu wala kijiba cha roho, huyu binti (mdada) kiukweli anaimba vizuri kiasi chake na ana nyimbo za kuimba kwenye events watu wakaburudika. Na shape kaichonga imeikala bien 😝 Kikubwa kaimba vizuri kwenye miss universe grand finale
  7. Equation x

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kuwa na marafiki wengi wa kike

    Wataalamu wanasema, kuwa na marafiki wengi wa kike ni sawa na kufuga kuku wengi bandani, pale unapohisi njaa unamkata kuku mmojawapo, unachinja na kumla. Ingawa changamoto yao, ya kuwa nao wengi, wanakula sana mapumba (hela) ila hawata taka kuathiri vyanzo vyako vya fedha; ila ni bora wao...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Danganya toto Kitambi anawataka wasanii wa kike wasikubali

    Huyu waziri malaya malaya ameanza kuita wasanii wa kike kila mtu anajua ni mtu wa kupenda kutishia ili kutoa nyegezi zake. Wasanii msikubali huu ujinga kisheria kama una kosa Polisi ndiyo wanatakiwa wakuite sio huyu waziri. Tunge nyamaza lakini sio lazima tuangalie wanawake kwenye jamii zetu...
  9. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Dar ina wanaume wengi zaidi wenye hulka za kike (feminine)?

    Kwa nini Dar ina kundi kubwa la wanaume wenye hulka/ mienendo/ tabia za kike (feminine characters) ?
  10. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Majirani wa kike sometimes hawasomeki.

    Unakuta jirani wa kike sio mzuri sana wa kawaida tu si unajua kuna siku za kuzidiwa unajaribu kumuapproach jiran anakuwa mkali anakujibu hovyo kibingwa unakubali yaishe tu maisha yaendelee. Siku umepata pisi yenyewe imekuja geto jirani anaanza kununa akisalimiwa anakaa kimya sasa jirani wa...
  11. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Gaidi la kike lauwawa huko Gaza!!!!

    GAZA: Vyanzo vya kimatibabu vinaripoti kwamba idadi ya vifo kutokana na shambulio la hivi karibuni la IDF katika Jiji la Gaza imeongezeka hadi 9, huku idadi hiyo ikiwa bado haijakamilika, huku watu 15 wakijeruhiwa. Miongoni mwa waliouawa ni Faten Sakhr, kamanda wa polisi wa wanawake wa Hamas...
  12. under500

    JamiiForums Tanzania Jaman natafuta urafiki wa kike aliyeko Dar

    Umri awe 18-21 awe anaish dar kama yupoh AJ dm tuyajenge
  13. M

    JamiiForums Tanzania Zuchu na Diamond wanatarajia kupata mtoto wa kike

    Leo ilikiwa baby shawer ya Zuchu baada ya jana kuachia picha akiwa mjamzito. Leo wameonesha kiwa tumboni kwa Zuchu kuna baby girl
  14. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Ukikuta Mwanao wa kike Darasa la 6 anaangalia Ngono, unapaswa kufanyaje kumsaidia?

    Mwili wa mtoto Vaileth Soka (13) aliyefariki dunia kwa kudaiwa kujinyonga umeagwa katika mji mdogo wa Mirerani wilayani Simanjiro mkoani Manyara kwa ajili ya kusafirishwa kwenda Kibosho Umbwe wilayani Moshi mkoani Kilimanjaro kwa maziko. Baba mzazi wa mtoto huyo, Innocent Soka, akizungumza na...
  15. realMamy

    JamiiForums Tanzania Hivi Mtoto wa kike ukiulizwa na Mwanaume anaekutaka hili swali "Niambie kuhusu wewe" huwa mnajibu nini?

    Kwangu mimi hili swali huwa linanitatanisha sana. Huwa nashindwa nianzie wapi kujibu hili swali. Kwa sababu inakuwaga kama tuko kwenye Interview ya Kazi. Au huwa wanamaanisha nini? Ni wanataka kujua kuhusu nini? Nashindwa kuelewa.
  16. Slim

    JamiiForums Tanzania Rafiki Wa kike anahitajika kuanzia miaka 35 kuendelea tuienjoy tu akiwa sio mwanasiasa itakuwa vizuri zaidi dm me

    urafiki ni upendo, mawazo na utulivu.
  17. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania ⚡ Gubu la Kike; Uhusiano Siyo Vita! ⚡

    Katika miondoko ya pwani, wazee wetu husema: "Mwanamke ni siri ya nyumba, siyo dhoruba ya bahari." Lakini unajua maana halisi ya gubu la kike? Ni ile tabia ya mwanamke kugeuza nyumba kuwa uwanja wa mapambano. Kila kidogo kelele, kila unachofanya hakifai, na maneno ya dhihaka yanatoka kama...
  18. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Suari za Kike zinachora “V” , Je wanaume huwaza nini?

    Wanawake tunapovaa Suruali, hapa mbele hujichora alama ya “V”. Je, wanaume huwaza kitu gani? Iwapo sisi tukiona zipu zao za suruali ni ndefu tunapata mawazo na msisimko je wao wakiona mchoro wacha tu zile pajama huwaza nini? Tuwaache na shida zao tusijali au turudi kuvaa sketi na undersketi...
  19. Masweeter

    JamiiForums Tanzania Kulea mtoto wa kiume ni ngumu kuliko wa kike,

    Tuwe makin sana Kwakuwa mmmm watoto wanaharibika sana hasa wa kiume wanaokulia pwani na dar
  20. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi Marekani ilivyogundua kuwa Imeingia cha kike kweny MoU na Iran na jinsi ilivyoanza kuivunja MoU yenyewe

    Kwa kweli vita hii ya Iran na Marekani imetuonyesha kuwa Marekani siyo nchi ya kuiamni hata kidogo hata mkiingia nayo Makubaliano. Hazikupita hata wiki mbili tangu Marekani na Iran wawekeane wafanye makubaliano lakini Marekani tayari keshaanza kutoheshimu makubaliano. Hebu kwanza tuone...
Back
Top Bottom