kifungu cha 326 (1) cha Kanuni ya Adhabu [Sura ya 16 R.E 2023]. Chini ya kifungu hiki upande wa Mashtaka au tuseme mlalamikaji anatakiwa kuthibitisha yafuatayo;
i. Kwamba mtuhumiwa alikuwa ameharibu au kuharibu mali.
ii. Mali hiyo iliyoharibiwa au kuharibiwa ni mali ya mtu mwingine.
iii...
Baada ya kubaini ukubwa wa tatizo la ukataji wa miti ovyo na kuchambua sababu zake pamoja na wajibu wa wahusika, swali linalobaki ni moja: Je, Tanganyika ina uwezo wa kuokoa misitu yake au itaendelea kushuhudia uharibifu hadi rasilimali hii itakapopotea kabisa?
Uchunguzi unaonyesha kuwa pamoja...
Uharibifu wa mazingira kupitia ukataji miti hovyo umeendelea kuwa tishio kubwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya.
Makala hii inaangazia sababu kuu zinazochochea kasi ya upotevu wa misitu katika wilaya hiyo.
Kilimo cha Tumbaku na Nishati ya Kuni
Sehemu kubwa ya misitu ya...
Picha za satellite zilizotolewa na Sentinel 2 satellite imeonyesha uharibifu mkubwa kwenye kambi 4 za kijeshi nchini Israel.Picha hizo zimeonyesha kambi za Ramat David,Nevatim,Unit 8200base na camp shimshom zikipata hasara na uharibifu dhidi ya mashambulizi ya Iran..Huku camp shimshom ikionyesha...
Tume ya Uchunguzi ilibaini kuwa ghasia zilizotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 zilisababisha hasara kubwa ya kiuchumi. Uharibifu wa mali, biashara na miundombinu ulisababisha kupungua kwa shughuli za kiuchumi na kuchelewesha maendeleo ya taifa kwa miaka kadhaa. Ripoti...
Uchumi wa maeneo mengi ulidorora pakubwa. Biashara zilifungwa, mapato yalipungua na ajira nyingi zilipotea. Tume ilibaini kuwa uharibifu wa miundombinu ulisababisha hasara kubwa ya kiuchumi kwa taifa kwa ujumla. #AmaniNaUwajibikaji
#TumeYaUchunguziReport
Sauti Ya Wananchi
Habari,
Mimi ni mkazi wa Sinza Madukani kuna mradi wa majitaka unaendelea tokea mwanzoni mwaka 2025 ..Lakini huu mm Mradi umekua kero na Usumbufu kwa wakazi wa Sinza Madukani pamoja na eneo ya hapa.
Mradi wamefanya uharibu wa miundo mbinu ya barabara pamoja na maji wamechimba barabara...
Kuna shughuli hatarishi zinaendelea katika maeneo ya Kishiri na Fumagila kutokana na uchimbaji holela wa mchanga. Hali hii inaleta madhara makubwa kwa mazingira na usalama wa jamii.
Ni wakati wa kuchukua hatua za haraka. Tukemee uovu huu na kulinda mazingira yetu.
Mamlaka husika zichukue...
Wakuu
Akizungumza Jaji Chande leo wakati anakabidhi anakabidhi Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025, tarehe 23 Aprili, 2026, Dar es Salaam
Wameteka, wamepoteza, wamejeruhi wameua na hawataki kukiri makosa yao waliyoyafanya kwa uwazi na mchana kweupe kwa kuwa walishatuona sisi sote ni kama mbuzi wao wa kafara..
Na sasa eti wanataka kulazimisha waongoze maridhiano ili tuongezeke na watengeneze mazingira ya kuja kuua wengine...
Sina mengi ila nina mfano tu mdogo,
Mtu anakuambia "mpige huyo mtoto mchanga"
Kwa kawaida utashi uliozaliwa utakuambia hii sio vyema kabisa, tafakuri yako itasaidia usute nafsi yako thus utaacha kabisa kumpiga huyo mwana.
Lakini kuna huyu "great thinker" nafsi itamsuta lakini ataanza kwa...
Akizungumza na wazee wa mkoa wa Dar es Salaam Dec 2, 2025 Rais Samia ameeleza kuwa watu walioingia barabarana walikuwa na lengo la kuiondoa dola madarakani na tukio hilo lilikuwa ni la kutengeezwa.
Anasisitiza vijana walifanywa makasukua na kuimbishwa kuwa wafanye ili yatokee yaliyotokea Madagascar
Leo Waziri Mkuu “Pata Potea” anazurura Arusha kutembelea kinachoitwa uharibifu wa mali.
Tunaomba akumbushwe kufika pia mochwari ya mount Meru Hospital ajionee maiti za vijana waliowaua na ajue kuna maiti zimezuiliwa pale bado; familia zipewe miili ya wapendwa wao wakazike.
Pili, tumwone pia...
Uharibifu wa Mali na Miundombinu ndio chanzo cha kusababisha mauwaji
G Z tafadhali sana Harakati sio Uharibifu kama ni Siasa wajikite humo waachane na maswala ya mali za Wananchi
Swala la mali litawapa adhabu na kesi ya Wizi kwani Wananchi wanaishi maisha yakutawaliwa na hasira kali...
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania haihofii maandamano bali inahofia uharibifu wa Uhai pamoja na mali za Wananchi wake, uharibifu ambao unafanywa na Wananchi wenye asili ya uhalifu ndani yao
Kauli za kwamba Serikali inaogopa maandamano kwasababu itashindwa sio za kweli
Bali...
Wakuu nimekutana na andiko hili...
Ni nani aliwapa ujasiri wa kuchoma mali za watu wasio na hatia?Ni nani aliwapa moyo mgumu kiasi cha kufunga barabara ambazo hata mgonjwa aliyehangaika na pumzi yake ya mwisho alipitia? 🚑
Mamilioni ya jasho ya mtu mmoja yaligeuzwa majivu ndani ya dakika...
Kuna mpuuzi mmoja nimekutana nae anasema eti waandamanaji walianza kupigwa risasi sababu ya wizi. Kama ni hivyo basi majizi yote yalioko serikalini nayo yapigwe risasi hadi nyumbani kwao tena mbele ya familia zao.
Ukitumia logic hio yaani kama mtu kuharibu mwendokasi kumefanya apigwe risasi je...
Siku zote mapambano ya ukombozi huanza usiku wa manane. Na ndiyo maana madikteta yote yakiona mambo yanawaendea vibaya, hatua ya kwanza huwa ni kuwazuia watu kutembea usiku.
Uhuru wa Tanganyika ulitangazwa usiku wa tarehe 8 kuamkia tarehe 9 December 1961. Mapinduzi ya Zanzibar yalikamilika...
Danieli 9:27
Naye atafanya agano thabiti na watu wengi kwa muda wa juma moja; na kwa nusu ya juma hiyo ataikomesha sadaka na dhabihu; na mahali pake litasimama chukizo la uharibifu; na hivyo, hata ukomo, na ghadhabu iliyokusudiwa imemwagwa juu yake mwenye kuharibu.
Yesu pia alisema kuhusu hilo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.