wizara ya ardhi

  1. G

    JamiiForums Tanzania Barua kwa Waziri mkuu na wizara ya Ardhi, Upimaji Haramu wa Ardhi wilaya ya serengeti.

    Nikiwa kama mdau wa maendeo nchini napenda kujua kwa nini halmashauri ya wilaya ya serengeti mkoani Mara imeruhusu upimaji wa viwanja na Mashamba bila kutoa stakabadhi za EFD wananchi wanabaki na makaratasi ambayo serikali haiyatambui nani yuko nyuma ya hili zoezi gharama ziko juu wananchi...
  2. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Ardhi yajipanga kusogeza kliniki za ardhi katika michezo

    Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhandisi Anthony Sanga amesema Wizara yake inajipanga kuanzisha Kliniki ya Ardhi katika mashindano kama ya Shirikisho la Michezo ya Wizara, Idara na Taasisi za Serikali (SHIMIWI) ili kuzidi kusogeza huduma za ardhi kwa wananchi...
  3. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Ardhi yatwaa ubingwa wa Darts Shimiwi 2026

    KILIMANJARO Timu ya mchezo wa Darts ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeibuka mshindi wa kwanza katika mashindano ya SHIMIWI 2026 yanayoendelea mkoani Kilimanjaro, baada ya kuifunga timu ya Wizara ya Maji kwa jumla ya pointi 5–3 katika mchezo wa fainali. Mchezo huo wa fainali...
  4. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Huu mfumo wa e-ardhi ni changamoto, Wizara ya Ardhi tatueni hili

    Ni mara kadhaa nimekuwa nikitumia mfumo huu wa ardhi kufanya maombi mara kadhaa bila mafanikio, kuomba upimaji, kuomba hati miliki, n.k. Unaanza vizuri ila uwezi kumaliza mchakato wowote wa maombi ya aina yoyote bila kukutana na error au failure. Error codes zimejaa katika mfumo mzima, si Web...
  5. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Timu za wizara ya Ardhi zaanza kwa ushindi SHIMIWI 2026

    Timu za Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi zimeanza kwa kishindo katika Mashindano ya Shirikisho la Michezo ya Wizara na Idara za Serikali (SHIMIWI) kwa ushindi katika michezo mitatu kwenye mashindano hayo yanayoendelea mkoani Kilimanjaro. Mafanikio hayo yamekuja kufuatia ziara ya...
  6. W

    JamiiForums Tanzania KERO Hizi ni changamoto kubwa zinazohitaji uchunguzi katika Ofisi za Wizara ya Ardhi Mwanza

    Tunaomba mamlaka husika zifanye uchunguzi kuhusu changamoto zinazowakabili wananchi na watumishi katika Ofisi za Wizara ya Ardhi Mwanza, ili zipatiwe ufumbuzi wa kudumu. Changamoto ya vyoo vya matumizi ya pamoja Jengo hilo lina mlango mmoja wa kuingia kwenye eneo la vyoo, ambavyo vinahusisha...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wizara ya ardhi mtusaidie! Madalali wamegeuza bei za viwanja kuwa janga la kitaifa kwa bei zisizo halisi

    Mimi ni mmoja wa Watanzania wa kawaida ambao tunahangaika usiku na mchana, kwa juhudi na kipato chetu kidogo, ili angalau tuweze kumiliki kipande cha ardhi na kujenga makazi kwa ajili ya familia zetu. Hata hivyo, hali ilivyo sasa mtaani, kumiliki kiwanja kumeanza kuwa ndoto inayozidi kuwa ngumu...
  8. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Wanamichezo Ardhi sports watakiwa kuzingatia nidhamu, kuipigania Wizara SHIMIWI

    Wanamichezo wanaoshiriki Mashindano ya Shirikisho la Michezo ya Wizara, Idara na Taasisi za Serikali nchini (SHIMIWI) 2026 inayotarajiwa kufanyika Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro kuzingatia nidhamu, uwajibikaji na maadili ya Utumishi wa Umma kipindi chote cha mashindano. Hayo yamesemwa na...
  9. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa e-ardhi unavyofanya kazi kutoka wizara ya ardhi

    https://youtu.be/hOY_UYsoqiI?si=dlv7lgmJRF0hxHfw
  10. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Ardhi yashiriki Mafunzo ya Mifumo ya usimamizi upimaji wa Milki Nairobi

    NAIROBI, KENYA Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi inashiriki mafunzo ya wiki moja kuhusu mifumo ya usimamizi wa upimaji na milki za ardhi, yanayofanyika jijini Nairobi, Kenya. Mafunzo hayo yameanza tarehe 14 Septemba na yanatarajiwa kuhitimishwa tarehe 18 Septemba 2026...
  11. Abdul Nondo

    JamiiForums Tanzania Nimesikia hoja za Wizara ya Ardhi kuhusu kisiwa cha LUPITA

    Kwa tafsiri hii sasa ni wazi huyo @timdraper Tim Draper anayedai kuuza kisiwa chake LUPITA anajichekesha . Hata kama yeye ndiye alitoa fedha kujenga na kuwekeza huko LUPITA ,ila alitumia Kampuni ya Rafiki yake Tom Lithgow @lithgowtom kuwekeza inaiyoitwa Firelight Safaris Limited ya huko Arusha...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Ardhi yasema Wananchi wa Gezaulole (Bagamoyo) waliovunjiwa makazi yao walishindwa kesi Mahakamani

    Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kupitia vyombo mbalimbali vya Habari imepokea taarifa kuhusu uvunjwaji wa maendeleo ya wananchi takribani 110 wa Kijiji cha Gezaulole Kata ya Makurunge Wilaya ya Bagamoyo Mkoa wa Pwani. Taarifa zinaonesha zoezi hilo limetekelezwa na kampuni ya Nolic...
  13. McLaren

    JamiiForums Tanzania Responded Waziri wa Ardhi: Tunakamilisha taratibu kuanzisha Mamlaka ya kudhibiti madalali wa Viwanja na Nyumba (Real Estate)

    "Ninawasihi Watanzania wote, kabla ya kufanya uamuzi wa kununua ardhi, hakikisheni mnafika katika ofisi za ardhi kwa ajili ya kuhakiki uhalali wa eneo husika'. Serikali imejipanga kuhakikisha wananchi wanapata huduma bora na salama za ardhi, hivyo ni muhimu kufuata taratibu zilizowekwa ili...
  14. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Wizara ya ardhi yatoa hati zaidi ya 470; waziri Dkt. Akwilapo, ahimiza ufanisi, haki na weledi katika utoaji wa huduma

    Zaidi ya wananchi 470 wamepatiwa Hatimiliki katika banda la Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi wakati wa Maonesho ya 50 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (Sabasaba), yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. Akizungumza leo, Julai 5, 2026...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DAR: Wizara ya Ardhi yatoa Hati zaidi ya 470, Waziri Dkt Akwilapo ahimiza ufanisi, Haki na weledi katika utoaji wa huduma

    Zaidi ya wananchi 470 wamepatiwa Hatimiliki katika banda la Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi wakati wa Maonesho ya 50 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (Sabasaba), yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. Akizungumza leo, Julai 5, 2026...
  16. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Serikali yawahimiza Wanawake kumiliki Ardhi

    Serikali imewahimiza wanawake kujitokeza kumiliki ardhi na kutumia fursa zilizowekwa kwa kupitia Sera ya Taifa ya Ardhi ya Mwaka 1995, Toleo la Mwaka 2023 ili kuendelea kunufaika na fursa zinazopatikana kupitia sekta ya Ardhi nchini. Sera hiyo ambayo ilizinduliwa mwezi Machi 17, 2025 na Dkt...
  17. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Ardhi yaalika wananchi kufika wiki ya utumishi kupata huduma za ardhi

    Watumishi wa Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi wanaendelea kutoa huduma za sekta ya Ardhi katika banda la wizara hiyo katika Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea katika Viwanja vya Chinangali Park jijini Dodoma. Katika kufikisha ujumbe kwa jamii, wasanii kutoka...
  18. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Ardhi yatwaa Makombe CRDB Bank Grand Bonanza 2026

    Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kupitia Ardhi Sports Club, leo Juni 20, 2026, imeendelea kung'ara katika CRDB Bank Bunge Grand Bonanza 2026 kwa kutwaa makombe mawili katika michezo ya kuvuta kamba na karata, ikionesha umahiri, mshikamano na ushindani wa hali ya juu. Bonanza hilo...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Ardhi yaomba Bilioni 210 Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2026/2027

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt. Leonard Douglas Akwilapo, leo Mei 28, 2026, amewasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2026/2027, huku akiomba kuidhinishwa jumla ya Shilingi bilioni 210,259,515,000 Mchanganuo wa Bajeti Matumizi...
  20. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Mbezi Beach pamepangiliwa vizuri. Wizara ya Ardhi kwanini hamuwezi kusimamia maeneo mengine yakapangika hivi?

    Naangalia aerial view ya Mbezi Beach naona pamepangiliwa vizuri Kilichobaki ni Kuweka barabara za lami mitaani kote Kuweka taa za barabarani Kuweka closed drainage system Kila mtaa Tanzania ungepangika hivi ingependeza sana Aerial view:
Back
Top Bottom