Hili agizo la Serikali kugharamia misiba na maziko ya viongozi wa CCM ni dhuluma kwa kodi zetu

Hismastersvoice

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
18,675
22,264
Leo asubuhi nimesikia kwenye redio kipindi cha kusomewa magazeti kuwa rais ameagiza serikali isimamie na kugharamia maziko ya makada wa CCM huko Njombe waliofariki kwa ajali wakiwa kwenye shughuri za chama chao, kitendo hiki hakitoi haki kwa watamzania wote ambao si wafuasi wa CCM ambao hawakupewa msaada kama huu baada ya kufikwa na janga kama hili.

KATIBA MPYA ITAKUWA SULUHISHO KWENYE MATUMIZI HARAMU YA PESA ZA UMMA.

Pia soma
- Makete: Ajali ya gari yaua viongozi 6 wa CCM
 
Utaambiwa Una roho mbaya.
 
Igiza kufa utazikwa na pesa za Serikali wakikataa nyanyuka pigs chafya uone maccm yanavyotoka nduki.
 
Leo asubuhi nimesikia kwenye redio kipindi cha kusomewa magazeti kuwa rais ameagiza serikali isimamie na kugharamia maziko ya makada wa CCM huko Njombe waliofariki kwa ajali wakiwa kwenye shughuri za chama chao, kitendo hiki hakitoi haki kwa watamzania wote ambao si wafuasi wa CCM ambao hawakupewa msaada kama huu baada ya kufikwa na janga kama hili.

KATIBA MPYA ITAKUWA SULUHISHO KWENYE MATUMIZI HARAMU YA PESA ZA UMMA.

Pia soma
- Makete: Ajali ya gari yaua viongozi 6 wa CCM
hata wale watumishi hewa wa magufuli 60% walikuwa makada wa ccm. kada yupo same mshahara unasoma NACHINGWEA. chama cha ajabu sana kile
 
Kwani maajabu ya chama hiki mnayasahau?
Chama hiki kuanzia mwenyekiti hadi katibu wa kijiji hawajui tofauti ya chama chao na serikali. Wao wanaona ccm ndio hiyohiyo serikali.
Hamuoni hata hivi viwanja vya michezo walivyo pora toka kwa wananchi? Eti kabisa inaletwa budget kupitishwa na bunge wakati wamejimilikisha wao na wanakusanya wao mapato na kama chama kingine kikihitaji matumizi wanaishia kuchekwa eti hii mali yenu?
 
State party fusion
Leo asubuhi nimesikia kwenye redio kipindi cha kusomewa magazeti kuwa rais ameagiza serikali isimamie na kugharamia maziko ya makada wa CCM huko Njombe waliofariki kwa ajali wakiwa kwenye shughuri za chama chao, kitendo hiki hakitoi haki kwa watamzania wote ambao si wafuasi wa CCM ambao hawakupewa msaada kama huu baada ya kufikwa na janga kama hili.

KATIBA MPYA ITAKUWA SULUHISHO KWENYE MATUMIZI HARAMU YA PESA ZA UMMA.

Pia soma
- Makete: Ajali ya gari yaua viongozi 6 wa CCM
 
Yaani watu wanakuja here wenzao wakizikwa na serikali?
Wabongo tuna ntimanyongo sana
 
Leo asubuhi nimesikia kwenye redio kipindi cha kusomewa magazeti kuwa rais ameagiza serikali isimamie na kugharamia maziko ya makada wa CCM huko Njombe waliofariki kwa ajali wakiwa kwenye shughuri za chama chao, kitendo hiki hakitoi haki kwa watamzania wote ambao si wafuasi wa CCM ambao hawakupewa msaada kama huu baada ya kufikwa na janga kama hili.

KATIBA MPYA ITAKUWA SULUHISHO KWENYE MATUMIZI HARAMU YA PESA ZA UMMA.

Pia soma
- Makete: Ajali ya gari yaua viongozi 6 wa CCM
Ok sawa
 
Back
Top Bottom