Serikali itoe tamko kuhusu kugharamia Fedha za Elimu Bure shuleni

Barackobama

Member
May 20, 2021
20
20
Tangu 01/11/2022 hadi sasa (28/12/2022) takribani miezi miwili serikali imeshindwa kupeleka fedha mashuleni kwa ajili ya ruzuku, na hakuna tamko lolote kutoka katika mamlaka husika.

Kushindwa kupeleka fedha hizo kwa wakati mashuleni kuna sababisha walimu kushindwa kupatiwa vifaa vya maandalizi ya kufundishia na kujifunzia shuleni.

Aidha adha hii pia inasababisha shule nyingi kuwa na mrundikano wa madeni kwa wazabuni kwani baadhi ya shule hukopa vifaa na kushindwa kulipa kwa wakati kutokana na kutoingizwa fedha hizo kwa wakati!

Rai yangu ninaishauri serikali itoe tamko ili kuondoa sintofahamu iliyopo kwa sasa kwani kukaa kimya kunazua tafsiri hasi hususani kwa wadau was Elimu.
 
Muda tu uliopost mkuu..
 
Mwalimu mkuu umekosa pa kuchota pesa ya krismas eeh
 
Ukiwa ndani ya mitandao ya jamii ni muhimu kutambua kwamba unashiriki mijadala mbalimbali kwa kujenga hoja kwa namna tatu ama mbili yaani kuunga hoja,kupinga hoja na tatu kukaa kimya "yaani hujui,haikuhusu nk". Hoja inapoletwa na wewe kutoa mchango kwa kurusha vijembe hayo ni maisha ya " USWAHILINI" kwani mtoa hoja humjui na umeamua kuchangia hoja kwa kuruhusu akili yako itawaliwe na HISIA jambo ambalo ni fedheha kubwa sana katika jamii iliyostarabika!!
 
Mkuu we uonavyo hapa ni mahali sahihi pa kupeleka hii changamoto?
 
Tangu 01/11/2022 hadi sasa (28/12/2022) takribani miezi miwili serikali imeshindwa kupeleka fedha mashuleni kwa ajili ya ruzuku, na hakuna tamko lolote kutoka katika mamlaka husika.

Kushindwa kupeleka fedha hizo kwa wakati mashuleni kuna sababisha walimu kushindwa kupatiwa vifaa vya maandalizi ya kufundishia na kujifunzia shuleni.

Aidha adha hii pia inasababisha shule nyingi kuwa na mrundikano wa madeni kwa wazabuni kwani baadhi ya shule hukopa vifaa na kushindwa kulipa kwa wakati kutokana na kutoingizwa fedha hizo kwa wakati!

Rai yangu ninaishauri serikali itoe tamko ili kuondoa sintofahamu iliyopo kwa sasa kwani kukaa kimya kunazua tafsiri hasi hususani kwa wadau was Elimu.
Wewe utakuwa mkuu wa shule xxxxxx.
 
Ukiwa ndani ya mitandao ya jamii ni muhimu kutambua kwamba unashiriki mijadala mbalimbali kwa kujenga hoja kwa namna tatu ama mbili yaani kuunga hoja,kupinga hoja na tatu kukaa kimya "yaani hujui,haikuhusu nk". Hoja inapoletwa na wewe kutoa mchango kwa kurusha vijembe hayo ni maisha ya " USWAHILINI" kwani mtoa hoja humjui na umeamua kuchangia hoja kwa kuruhusu akili yako itawaliwe na HISIA jambo ambalo ni fedheha kubwa sana katika jamii iliyostarabika!!
Unajua nyie wakuu wa shule mnashida sana huku kwa akili zako unaona sehemu sahihi ya kulalamika kwa kukosa posho yako?

Unaweza pata msaada pia ila vyema tatizo hili ukalifikisha kwa watu husika. Huu ni uwoga na uwoga haujawahi leta mabadiliko au mapinduzi ya kiutendaji popote. Wafikie walengwa eleza namna gani linaathiri hilo swala kwako na kwa utendaji wako.

Naamini umeelewa mkuu wa shule xxxxxxx.
 
Ukiwa ndani ya mitandao ya jamii ni muhimu kutambua kwamba unashiriki mijadala mbalimbali kwa kujenga hoja kwa namna tatu ama mbili yaani kuunga hoja,kupinga hoja na tatu kukaa kimya "yaani hujui,haikuhusu nk". Hoja inapoletwa na wewe kutoa mchango kwa kurusha vijembe hayo ni maisha ya " USWAHILINI" kwani mtoa hoja humjui na umeamua kuchangia hoja kwa kuruhusu akili yako itawaliwe na HISIA jambo ambalo ni fedheha kubwa sana katika jamii iliyostarabika!!
Watoto wao wakifanya vibaya lawama zinarudi kwa walimu
 
Tangu 01/11/2022 hadi sasa (28/12/2022) takribani miezi miwili serikali imeshindwa kupeleka fedha mashuleni kwa ajili ya ruzuku, na hakuna tamko lolote kutoka katika mamlaka husika.

Kushindwa kupeleka fedha hizo kwa wakati mashuleni kuna sababisha walimu kushindwa kupatiwa vifaa vya maandalizi ya kufundishia na kujifunzia shuleni.

Aidha adha hii pia inasababisha shule nyingi kuwa na mrundikano wa madeni kwa wazabuni kwani baadhi ya shule hukopa vifaa na kushindwa kulipa kwa wakati kutokana na kutoingizwa fedha hizo kwa wakati!

Rai yangu ninaishauri serikali itoe tamko ili kuondoa sintofahamu iliyopo kwa sasa kwani kukaa kimya kunazua tafsiri hasi hususani kwa wadau was Elimu.
mliambiwa mtunze siri nyie mnazitoe tu .
 
Back
Top Bottom