taulo za kike

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Santiel Kirumba agawa taulo za Kike, Mashuka na sukari zahanati ya Bulige katika Maadhimisho ya Wanawake Duniani

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Santiel Kirumba ameongoza wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Msalala katika Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani huku akigawa taulo za kike na madaftari kwa watoto wanaotoka katika mazingira magumu, kugawa sabuni na sukari kwa wanawake wajane...
  2. HIMARS

    Maswali kuhusu Taulo za Kike zinazotolewa bure

    Je, wanaogawa Pedi za Kike lengo lao huwa ni lipi? Je, huwarudia waliowapa na kuwapa tena? Je, ni kweli wazazi wanashindwa nunua pedi za 1500-3000 mara moja kwa mwezi? Je, serikali ina mpango gani katika kuhusishwa kwenye huo ugawaji? Je, wahusika sio kwamba wanataka watumia wasichana kupata...
  3. BigTall

    Askari Wanawake Mbeya watoa zawadi ya taulo za kike, sabuni na vifaa vingine kwa Wanafunzi wa Shule za Sekondari na Msingi

    Mwenyekiti wa Mtandao wa Askari Polisi Wanawake Mkoa wa Mbeya ambaye pia ni Afisa Mnadhimu namba moja Mkoa wa Mbeya ACP Christina Musyani, Machi 06, 2023 amewaongoza Askari Polisi Wanawake Mkoa wa Mbeya kuwatembelea na kutoa zawadi kwa Wanafunzi wa Shule za Sekondari na Msingi zilizopo katika...
  4. Stephano Mgendanyi

    Janeth Mahawanga agawa taulo za kike kwa wanafunzi wa kike 700

    MH. JANETH MAHAWANGA AGAWA TAULO ZA KIKE KWA WANAFUNZI WA KIKE 700. Mbunge wa viti Maalum Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Janeth Elias Mahawanga ambaye pia ni Mkurugenzi wa Taasisi ya Tisha Mama Foundataion Kwa kushirikiana na Taasisi ya T-MARC Tanzania amekabidhi taulo za Kike kwa wanafunzi 700...
  5. BARD AI

    Rais wa Sri Lanka afuta kodi zote kwenye Taulo za Kike

    Uamuzi huo umefanywa kwa lengo la kuwasaidia wanawake na wasichana wasioweza kumudu gharama hizo kutokana na mzozo wa kiuchumi unaolikumba taifa hilo. Ofisi ya Rais Ranil Wickremesinghe imeagiza kufutwa mara moja kwa Ushuru wa Forodha, Ushuru unaolipwa kwenye Viwanja vya Ndege na Kodi nyingine...
  6. Andrew Ikingura

    SoC02 Sintofahamu juu ya hedhi na mahudhurio ya wasichana mashuleni

    Takwimu kutoka Shirika la Mfuko wa Watoto la Umoja wa Mataifa (UNICEF) zinaonyesha kuwa, kila mwezi, takribani wanawake bilioni 1.8 ulimwenguni kote hupata hedhi. Mwanzo wa hedhi kibaiolojia inamaanisha kuwa kuna awamu mpya katika uwezekano wa ongezeko la mwanadamu duniani, yaani upatikanaji wa...
  7. J

    Hakuna mwanasiasa anazungumzia tatizo la ajira Tanzania, wengi wamejikita kutoa misaada ya matundu ya vyoo na taulo za kike

    Siyo CCM wala Upinzani hakuna mwanasiasa anayezungumzia tatizo kubwa la ajira linaloikabili nchi yetu. Wanasiasa wengi wamejikita kwenye kutoa misaada myepesi kwa wananchi kama vile kujenga matundu ya vyoo na kugawia watoto wa kike taulo. Tatizo la ajira ni bomu linalosubiri kulipuka, serikali...
  8. Shujaa Mwendazake

    Wanawake wa CHADEMA walio Mahabusu wanyanyaswa, wanyimwa taulo za kike za kujistiri

    Hadi muda huu uongozi wote wa Baraza la Wanawake Chadema BAWACHA Taifa uko mahabusu. Rais Samia hawa ni wanawake wenzake na kwa asili yeye ametokea katika NGOs za harakati hadi kuingia katika siasa. Samia Ni Mwanamke pekee uliyefika katika Mkutano wa Beijing kutetea wanawake. Hili la kunyimwa...
  9. J

    Wabunge wa CCM kuna wakati wanachekesha sana, Hamis Taletale atoa msaada wa taulo za kike kwa wanafunzi

    Kuna wakati huwa najiuliza kama hawa wabunge waliopita bila kupingwa wana tija yoyote kwa Chama na jamii kwa ujumla. Mbunge wa Morogoro kusini mashariki mh Hamis Taletale aka Babu Tale ametoa msaada wa taulo za kike kwa wanafunzi wa shule moja ya msingi jimboni kwake. Babu Tale amesema msaada...
  10. E

    Wajuzi wa biashara hii ya taulo za kike na pampas za watoto

    Nina wazo ambalo nadhani nahitaji msaada zaidi wa kuongeza ufahamu nina kibanda tayari na kuna biashara kadhaa naendelea nazo kama mpesa ila kibanda kiko wazi nimepata wazo niweke shelf kisha nianze kuuza hizi pedi za kike na pampasi hizi za watoto na vingine vinavyo endana na hivyo. Eneo...
Back
Top Bottom