Najisikia vibaya sana jinsi Marais wetu huitwa kwa hawa ndugu zetu weupe kama vile unaita vitoto vyako vya kuvizaa.
Natamani siku ifike na sie Africa kama si Tanzania tuwaite eu au Amerika waje hapa bongo alafu tukae nao mbele ya meza ya duara tujadili kwa usawa kabisa fursa za kibiashara baina...
Katika miaka mingi iliyopita, Afrika ambayo mara nyingi ilionekana kama bara lisilo na tumaini, ilishindwa kabisa kuvutia washirika wake wa jadi ikiwemo Marekani na nchi za Ulaya. Kupitia changamoto hii, China iliibuka na kuishika mkono Afrika ambapo baadaye ikawa mshirika wake mkubwa wa...
Biashara ya nje ya China imeendelea kukua licha ya vitendo vya nchi za Magharibi vya kujilinda kibiashara, hususan vita ya kibiashara ya China iliyoanzishwa na Marekani. Kuna mambo kadhaa ambayo yamechangia kwa kiasi kikubwa kukua kwa biashara hiyo. Chini ya shinikizo la Marekani na baadhi ya...
Mifumo ya kibiashara ya Kiislamu ina faida nyingi kwa nchi, hasa katika maendeleo ya kiuchumi. Hapa kuna baadhi ya faida kuu za kiuchumi zinazoweza kupatikana kwa kutumia mifumo hii:
1. Kukuza Ustawi wa Kijamii
Usawa wa Kijamii: Mifumo ya kibiashara ya Kiislamu inahimiza usawa na haki, kwani...
Wizara ya Biashara ya China hivi karibuni imelaani vikali uchunguzi unaofanywa na Tume ya Umoja wa Ulaya kuhusu uchunguzi wa kampuni zinazotengeneza magari ya umeme, ambapo Umoja wa Ulaya unataka kiasi kikubwa cha taarifa zinazohusiana na siri za kibiashara za viwanda hivyo. Wizara hiyo imerejea...
HUsika na kichwa cha habari hapo juu, Taifa la Tanzania ni miongoni mwa mataifa yanayokuwa kwa kasi sana africa na africa mashariki
Lakin mbali na ukuaji wake bado kuna maeneo hasa miji iliyopo kandokando ya bahari yanahitaji kuwekewa nguvu ili ibadilike na kuwa majiji (Cities) HII Itasaidia...
Habari wadau, nikiwa Kama kijana naepambana katika kizazi hiki Cha teknolojia, Mimi ni mdau mkubwa Sana wa mitandao ya kijamii, na ni miongoni mwa watumiaji wazuri wa mitandao ya kijamii kujipatia kipato.
Moja ya vitu nilivyo vi observe na nikaona vinatugharimu Sana hasa kwenye mtandao wa...
Wakuu,
Uzi huu ni kwa ajili ya kutaja miji midogomidogo ndani ya nchi yetu ambayo ina vibe kubwa kama miji mikubwa na ina fursa za kibiashara lakini haivumi wala kujulikana sana na watu.
Mimi naanza kama ifuatavyo:
1. MLOWO
Huu ni miongoni mwa miji midogomidogo inayokuwa kwa Kasi, ni Mji...
Nimesikia ukitaka kufuga samaki kibiashara watakiwa uwe na kibali maalum kinacho kuruhusu uweze kufanya huo ufugaji 1,je ni kweli au? . 2,kama ni hivyo je nitahasisi gani ina husika ? Nimekuja huku nahisi kwa urahisi na weza kupata watu wenye uzoefu na ufugaji wa samaki kwa...
Mwaka 2023, thamani ya mauzo ya bidhaa kwenda katika Soko la Ulaya iliongezeka hadi kufikia shilingi trilioni 3.836 kutoka shilingi trilioni 2.446 mwaka 2022, sawa na ongezeko la asilimia 56.8. Ongezeko hilo limechangiwa na kuongezeka kwa mauzo ya bidhaa za kilimo na viwandani kwenda katika nchi...
Ukimuona mtu anaichukulia poa Facebook basi huyo sio mfanyabiashara wala mjasiriamali.
Hajui chochote kuhusu business.
For your information Facebook is more better in business than instagram.
Ina watu wengi sana ambao wapo active na wanafikika kwa kirahisi sana kuliko Instagram.
# Facebook...
Huduma zifuatazo njoo nikuongoze
1. Tin application
2. Line za wakala na za lipa
3. Usajili wa jina la biashara
4. Utengenezaji wa logo, poster, stika, busines cards na kuziprint
5. Uandishi cv, miradi na andalio la biashara
6. Ufuanguaji wa blog, website nk
7. Kudesign vitambulisho na...
TIMU ZA MPIRA WA MIGUU ZIWE HURU KIBIASHARA.
Kipindi cha wakoloni mataifa ya Afrika yalitawaliwa na nchi zilizoendelea hadi zenyewe zilishidwa kuendela, ukiangalia kwa macho ya kawaida utasema wakoloni walileta maendeleo kwa sababu walijenga barabara, Treni, Shule hadi baadhi ya wapigania uhuru...
Habari Wana JF,
Mimi ni kijana wa miaka 23 ni mwanachuo final year, nilipost nyuzi mbalimbali kuomba msaada juu ya ushauri wa kibiashara bila mafanikio wengine waliahid kunipa support lkn ulikuwa ni maneno tu.
Nilikuwa na wazo la kuagiza bidhaa china kuja TZ mfano handbags ndogo, naombeni...
Kundi la waendesha pikipiki huko jimbo la Arizona Marekani liitwalo 'Bikers Against Child Abuse' ambalo huwaweka salama wahathiliwa wa unyanyasaji hasa watoto, ikiwa ni pamoja na kulinda nyumba zao usiku ikiwa mnyanyasaji hayupo gerezani.
Pia hawa jamaa huhudhuria mahakamani kushuhudia na...
Wazoefu naombeni ushauri wenu kwenye hili.. nahitaji nchi ya kwenda kuuza bidhaa zangu, nauza socks kariakoo, katika kutaka kujitanua na kutafuta wateja ni Wapi katika hawa jirani zetu panaweza kufaa?
Kati ya Congo, Malawi, Zambia au Msumbiji?
Hii imekuwa kero kubwa sana ,hasa kwa wapambanaji ambao akipoteza saa Moja tu au masaa manne amelala njaa!
Wengine weajiriwa anatakiwa kufika kwa wakati kazini kwake akichelewa hana kazi na hawezi kumwambia boss nilikuwa nasubili rais apite!
Serikali itusaidie kuondoa hii kero ni mbaya sana...
JUMUIYA YA MKUTANO WA KAMATI YA NANE YA PAMOJA YA BIASHARA (JTC) KATI YA JAMHURI YA KENYA NA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KUSHUGHULIKIA MASUALA YANAYOATHIRI BIASHARA TAREHE 18 - 22 MACHI 2024, KISUMU, KENYA.
1. Mheshimiwa Dkt William Samoei Ruto, Rais wa Jamhuri ya Kenya na Mheshimiwa Dkt...
https://www.youtube.com/watch?v=Z7KgsABYcRc
Mkurugenzi wa Bandari ya Dar, Mrisho Mrisho akizungumzia madai ya kuwa wateja wamekuwa wakiikimbia Bandari hiyo na kwenda Nchi jirani, amesema hizo ni propaganda za Kibiashara.
Chanzo: Dar 24
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.