ukarabati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    China yapendekeza ukarabati wa reli ya TAZARA wenye thamani ya dola za Marekani bilioni moja

    Katika hali ya kufurahisha na kufufua matumaini, hivi karibuni balozi wa China nchini Zambia Bw. Du Xiaohui alimwambia waziri wa uchukuzi wa Zambia Bw. Frank Tayali, kuwa serikali ya China inapanga kutumia dola bilioni 1 za kimarekani kuifanyia ukarabati reli ya TAZARA, inayounganisha eneo la...
  2. Stephano Mgendanyi

    Serikali Kutumia Bilioni 900 Kwaajili ya Ujenzi, Uboreshaji na Ukarabati wa Bandari za Maziwa Nchini.

    Serikali Kutumia Bilioni 900 Kwaajili ya Ujenzi, Uboreshaji na Ukarabati wa Miundombinu ya Usafiri na Usafirishaji kwenye Bandari za Maziwa Nchini. Serikali ya awamu ya sita ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoongozwa na Dkt Samia Suluhu Hassan kutumia zaidi ya shilingi bilioni 900 kwa...
  3. Stephano Mgendanyi

    Waziri Tabia Mwita: Ukarabati Uwanja wa Amani Una Lengo la Kuufanya Ukidhi Viwango vya Kimataifa

    Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo (SMZ) Mhe. Tabia Maulid Mwita amesema ukarabati unaoendelea kufanyika katika uwanja wa amani una lengo la kuimarisha na kuufanya kuwa wa kisasa na wenye kukidhi viwango vya kimataifa. Ameyasema hayo alipokuwa akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa...
  4. pombe kali

    Daladala za Gongo la Mboto zabadili vibali vya njia kukwepa ukarabati BRT

    Wanasema dhahabu hupitia moto ili kutengeneza Vito, hayo yanajidhihirisha kwa wakazi wa gongo la mboto ambapo kwa sasa wanapitia adha kubwa ya usafiri wakati ukarabati wa barabara ya mwendokasi ukiendelea. Kipande cha barabara ya Pugu almaarufu kama Nyerere road kuanzia maeneo ya gold star...
  5. Black Butterfly

    DOKEZO Barabara za Mitaa jimbo la Segerea ni mbovu, zinajaa maji na hazina mitaro

    Naenda moja kwa moja kwenye hoja yangu. Kuna vitu vinafanywa na Serikali vinakera sana. Mfano. TMA walitangaza zaidi ya miezi miwili nyuma kwamba kutakuwa na Mvua kubwa za e El Nino ambazo zitaendelea hadi mwezi wa 3 mwaka 2024 lakini Serikali ilitulia bila kufanya Marekebisho ya Barabara zake...
  6. R

    Ufafanuzi wa Serikali: Kuvuja maji Uwanja wa Mkapa ni sababu ya ukarabati mkubwa uwanjani hapo

    Serikali kupitia wizara ya utamaduni, sanaa na michezo imetoa tamko rasmi kutokana na video inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii ikionesha kuvuja kwa maji katika moja ya sehemu ya Uwanja wa Benjamini Mkapa.
  7. H

    Ushauri: TANESCO itumie kipindi hiki cha mgao kufanya ukarabati wa miundombinu yake

    Salamu na poleni ya wote. Hali ni tete na ngumu lakini ndio ivo hakuna namna.Kama mkubwa kakaa chini we mdogo utafanya nn. Pamoja na mgawo tatizo kubwa jingine kwa umeme wetu kukatika katika ni kuwa na miundo mbinu uliyokaa muda mrefu bila kufanyiwa ukaguzi au service. Yaani kutofanya gwaride...
  8. Mr Lukwaro

    Rais Samia Atoa milioni 100 kwa ajili ya Ukarabati kanisa la Katoliki Manyara

    Rais Samia Suluhu Hassan ameahidi kutoa kiasi cha shilingi milioni 100 kwa ajili ya zoezi la kutabaruku Kanisa Katoliki Parokia ya Roho Mtakatifu, Babati mkoani Manyara ikiwa ni mchango wake kwa kanisa hilo. Kwa niaba ya Rais, Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango ametoa kauli hiyo katika Misa...
  9. Erythrocyte

    Hivi nchi ya Tanzania itamaliza lini Ukarabati?

    Hivi hata nchi nyingine zinafanya hivi hivi kama Tanzania inavyofanya? Stendi za Mwendokasi zilizojengwa Juzi tu eti leo zinakarabatiwa! Halafu wanaotangaza kuzikarabati ndio wale wale waliozijenga. Yaani Tangu Uhuru hadi Kiama ni Ukarabati tu! haya mambo yataisha lini au ni njia yao ya...
  10. Girland

    Jengo la Freemason Posta linafanyiwa marekebisho

    Jengo la Freemason hall lililopo posta mpya linafanyiwa marekebisho, kumekuwa na uvumi mwingi kuhusu hao jamaa (masons), natamani kujua nani analipia gharama za ujenzi? Je nani aliyewakabidhi kulirekebisha ni wanachama wenyewe au? Je kwa Tanzania taratibu zao zimekaaje? Aione Mshana Jr na...
  11. Stephano Mgendanyi

    Waziri Dkt. Ndumbaro: Ukarabati Uwanja wa Mkapa Wafikia 95%

    Ukarabati wa Awamu ya Kwanza unaoendelea katika Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam umefikia asilimia 95 na asilimia tano zilizobaki zinatarajiwa kukamilika ndani ya siku tano kuanzia leo. Akikagua ukarabati huo leo Oktoba 9, 2023, Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas...
  12. JanguKamaJangu

    Rais Samia: Tuna ‘crisis’ ya umeme, tunafanya ukarabati wa mashine

    Akizungumia kuhusu changamoto ya kukatika kwa umeme, Rais Samia Suluhu Hassan amesema mitambo haikufanyiwa maboresho kwa muda mrefu, hivyo maboresho yanapofanyika baadhi itazimwa na ndio maana imesababisha upungufu wa umeme
  13. B

    TAZARA yapigiwa chapuo ifanyiwe ukarabati mkubwa na uendeshaji mpya

    Beijing, China RAIS HICHILEMA AIPIGIA CHAPUO TAZARA IKARABATIWE HARAKA https://m.youtube.com/watch?v=T2pHN2eVLJg Shirika la Reli la Tanzania na Zambia TAZARA lawa agenda kubwa mezani wakati wa ziara ya rais wa Zambia. Ambapo mbali ya kusaini mikataba kadhaa ya makubaliano ya MoU, suala la...
  14. Sildenafil Citrate

    TANESCO kufanya ukarabati na Maboresho ya Miundombinu ya umeme kwenye baadhi ya Maeneo ya Dar es Salaam, Septemba 1 na 3, 2023

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu Wateja wake kuwa kutakuwa na ukarabati na maboresho ya miundombinu kwenye njia kuu ya kusafirishia Umeme ya Msongo wa Kilovoti 132 Mbagala - Dege na Kurasini siku ya ljumaa, tarehe 01 Septemba ,2023 na Jumapili, tarehe 03 Septemba, 2023 kuanzia...
  15. benzemah

    Waziri Aweso Amshukuru Rais Samia ukarabati Chuo cha Maji, atoa maagizo mazito

    Waziri wa Maji, Mheshimiwa Jumaa Aweso, amefanya kikao kazi na watumishi wa Chuo cha Maji pamoja na kukagua maendeleo ya Ujenzi wa Miundombinu ambayo mchakato aliuanzisha na Rais Samia kuridhia kutoa fedha na tayari Ukarabati wa Mabweni umekamilika na sasa kazi ya ujenzi wa Maktaba kubwa ya...
  16. Street brain

    Barabara ya kuelekea kwenye mafanikio siku zote ipo kwenye ukarabati

    Wazee wanasema "barabara yakuelekea kwenye mafanikio siku zote ipo kwenye ukarabati". Daima kazana kujitahidi kutimiza malengo yako, isifikie mahali nakujiona sasa nimefika, siku zote tupo kwenye mapambano. Unaweza kutumia njia ikakufikisha kwenye malengo lakini kumbuka utakutana na binadamu...
  17. Stephano Mgendanyi

    Naibu Waziri Deogratius Ndejembi aagiza kufanyika tathmini ya ukarabati ya nyumba za waalimu Ruvuma na kuchukua hatua

    NAIBU WAZIRI NDEJEMBI ATOA MAAGIZO KWA KATIBU TAWALA WA MKOA NA WAKURUGENZI Naibu Waziri Ofisi ya Rais Mhe. Deogratius Ndejembi amemwagiza Katibu tawala wa Mkoa wa Ruvuma kuhakikisha anafanya Msawazo ndani ya Mkoa wake kwa maeneo ambayo yanaupungufu wa watumishi na kuwaelekeza wakurugenzi wa...
  18. Stephano Mgendanyi

    Shule kongwe 84 zimefanyiwa ukarabati na Serikali Nchini

    SHULE KONGWE 84 ZIMEFANYIWA UKARABATI NA SERIKALI HAPA NCHINI Mhe. Masache Kasaka, Mbunge wa Jimbo la Lupa ameuliza swali Wizara ya TAMISEMI kwa niaba ya Mbunge wa Jimbo la Rungwe, Anthony Albert Mwantona "Taratibu za kutekeleza agizo lililotolewa na Waziri Mkuu la kukarabati Shule ya...
  19. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Neema Mgaya Aitaka Serikali Kufanyia Ukarabati Shule Kongwe Hapa Ncnini

    MBUNGE NEEMA MGAYA AITAKA SERIKALI KUFANYIA UKARABATI SHULE KONGWE HAPA NCHINI Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Njombe, Mhe. Neema William Mgaya katika kipindi cha maswali na majibu Bungeni ametaka kujua mpango wa Serikali kukarabati Shule Kongwe katika Mkoa wa Njombe "Je, lini Serikali...
  20. Magufuli 05

    Ni lini ukarabati na ujenzi wa viwanja vya kisasa vya mpira utaanza chini ya serikali hii?

    Ndugu Watanzania, umekuwa ni wimbo usiokuwa na mwisho,kila siku ni maneno tu,"tutakarabati,tutajenga uwanja Dodoma wa KISASA " lakini wapi. Wimbo huu toka mwaka 2020 Hadi sasa unaimbwa tu. Watanzania wamegeuzwa wajinga,wanabebeshwa mabango kwenye mechi za Yanga na Simba eti anaupiga mwingi...
Back
Top Bottom