Uwakilishi wa kisiasa ni nguzo muhimu katika demokrasia, ambapo vyama vya siasa vinapaswa kuwakilisha mahitaji na maslahi ya idadi kubwa ya wananchi. Hata hivyo, katika mazingira mengi, kuna utata kuhusu ikiwa vyama hivi kweli vinawakilisha kikamilifu maslahi ya umma au vinazingatia tu maslahi...
Chadema wana furaha, wana tabasamu usoni mwao, je nini wanafurahia!? Kula asali ni kuongea maneno ya busara, sasa Chadema wanaongea mambo ya busara na kutenda kwa busara, je wanakosea? Amani ndiyo msingi. Je, Chadema wameacha harakati zao kutaka kushika dola, ndio hawana dhamira ya kushika dola...
Juzi tuliambiwa gharama za safari za rais za kitaifa na kimataifa zinagharamiwa na wafanyabishara ambao hawatajwi majina.
Katika akili ya kawaida, kama wafanyabishara wanagharamia safari za mkuu wa nchi nje ya nchi na ndani ya nchi maana yake tayari rais ameshakuwa compromised na...
UvCCM ya sasa imebaki kuendekeza njaa tu na kusifia viongozi ili kujaza matumbo yao.
Miaka ya nyuma UvCcM walikuwa mstari wa mbele kukosoa serikali pale inapoonekana inasahau majukumu yake na kusababishia wananchi kero za kimaisha.
Leo hii mfumuko wa bei upo juu, tozo kibao za kila namna huku...
Habarini wakuu,
Tangu mjadala wa wapinzani wengine kudai tume huru ya uchaguzi na wengine katiba mpya kuingia katika taswira mpya baadhi yetu tumeingiwa na mashaka. Je, kwa nini wasimamie kitu kimoja? Je, wanaofanya hivyo ni kwa maslahi ya nchi au wananchi?
Nimejipa muda wa kusikiliza pande...
Aliyewahi kuwa Makamu wa kwanza wa Rais katika Bunge la Afrika (PAP), Stephen Masele na Naibu Spika wa Bunge la Tanzania Dkt. Tulia Ackson wamechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kugombea nafasi ya Spika wa Bunge la Tanzania
Mtu mwingine aliyechukua fomu ni Patrick...
Wananchi wa kawaida ni wananchi ambao katika jamii ya Tanzania ni watu ambao wapo katika kundi ambalo wanaishi maisha duni.
Hawa ni watu ambao kipato chao sio cha uhakika na hivyo hata uhakika mlo mmoja ni nadra kuwa nao. Kama ni wafanyabiashara ni wale ambao hata mtaji wa buku tano ni ngumu...
Bajeti imesomwa, waliosikiliza wamesikia, waliosimuliwa wamesikia, waliiosoma wameisikia, na WALIOELEWA huenda wameelewa.
Kinachofuata sasa ni mjadala kwa Wawakilishi wa Wananchi "waliochaguliwa" kwa 99% yaani Bunge zima ni CCM.
Tunataka watudhihirishie kuwa wako "vizuri" kutetea maslahi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.