ngamia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. benzemah

    Rais Samia afupisha ziara yake Dubai kurejea nchini haraka iwezekanavyo, Serikali kugharamia mazishi na matibabu ya majeruhi wa mafuriko ya Hanang

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemuelekeza Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa kuwa serikali igharamie mazishi ya wote waliopoteza maisha kutokana na mvua kubwa iliyotokea na mafuriko katika Halmashauri ya Wilaya ya Hanang. Rais Samia pia ametaka majeruhi wote...
  2. Kennedy

    Je? Mkojo Wa Ngamia Ni Dawa

    Salaam Wa JF Wote Nmekutana Na Mtu Mmoja Akiwa Anasumbuliwa Na Ugonjwa Wa UTI, Malaria, Kukosa Hamu Ya Chakula,Kwenye Maongezi Yetu Baada Ya Kumjulia Hali Akaniambia Ana Miaka 10 Hajawahi Kuugua Magonjwa Kama Malaria, UTI, Minyoo, Vidonda Vya Tumbo Na Magonjwa Mengi Mengine Akaniambia Mwaka...
  3. Kaka yake shetani

    Nguruwe hafugiki jangwani iweje mseme haramu wakati ngamia kwetu hafugiki sehemu zisizo na jangwa

    Tukiseme dini tumletewa ila kuna watu watakimbilia sijui kimeshushwa sijui kimeleta sayansi wataki hiko kitabu kimekuta sayansi teyari na mapiramidi yashajengwa. Jambo lilonileta hapa kila mnyama aliyepo duniani anaishi kulingana na eneo la kijografia alipotoka tokea dunia kuanza ndio maana...
  4. Komeo Lachuma

    Nimegundua pia hata Nyama ya Ngamia ni Kharamu...

    Nlikuwa nasoma Taurati/Torati. Ngamia pia ni Kharamu.... Anacheua lakini hana kwato. Ndiyo kwa mujibu wa Taurati mimi huwa nasoma vitabu hata vya watu wa Kitabu. Hadithi na Mtume na Maswahiba wake nasoma. Biblia nasoma na napendelea sana Taurati... Kumbe Ngamia hana sifa za kuliwa. Kama...
  5. Nyendo

    Meru, Kenya: Zaidi ya watu 100 wakimbizwa hospitali kwa kula nyama ya ngamia aliyekufa

    Zaidi ya watu 100 walikimbizwa Hospitali baada ya kula nyama ya ngamia aliyekufa. Baadhi ya watu wakiwemo watoto wamelazwa katika hospitali ya Nyambene na wengine walitibiwa na kuruhusiwa kurudi nyumbani. Daktari aliyewatibu amesema walikula Nyama ya ngamia ambaye nyama yake haikuwa salama...
  6. W

    Maziwa ya ngamia kwa Dar es Salaam yanapatikana wapi?

    Habari zenu, Nipo Dar-es-salaam nahitaji maziwa ya Ngamia je yanapatikana wapi? Msaada tafadhali... Ahsantee!
  7. Donnie Charlie

    Ngamia warembo waondolewa kwenye shindano kwa sababu za udanganyifu

    Ngamia 40 wameondolewa katika shindano la kumtafuta Ngamia Mrembo (Miss Camel Beauty) Saudi Arabia kutokana na udanganyifu ikiwemo kuchomwa sindano ya Botox ili kupunguza mikunjo na kuwafanya waonekane warembo zaidi. Shindano hilo ni moja ya shughuli katika Tamasha la Ngamia.
  8. DaudiAiko

    CHADEMA kuingia madarakani ni ngumu kuliko ngamia kupita kwenye tundu la sindano

    Wana bodi, NI jambo la kujiuliza kama kweli wananchi ndio wanaodai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi au ni wanasiasa wanao tumia mbinu tofauti tofauti ku tekeleza wanacho hitaji. Vile vile ni vyema kama tukiji uliza swali lingine. Tangia mfumo wa vyama vingi ku anza Tanzania, je ilishawahi...
  9. DeepPond

    USHUHUDA: Wanawake wenye Miguu ya ngamia wamebarikiwa sana

    Wakuu, bila kupepesa macho Hawa Wanawake walobarikiwa miguu ya NGAMIA (CAMEL TOE) wamejaaliwa Sana kunako 6 kwa 6. Nikiongelea MGUU wa NGAMIA, (kwa kingereza-CAMEL TOE) namaanisha vile vitumbua vilivyovimba na kutokeza kwa mbele. Utafiti wangu umeonyesha haijalishi awe sura nzuri au mbaya...
  10. Hashpower7113

    Wasichokijua Wengi Kuhusu Marko 10: 25 katika Biblia

    Katika kitabu kitakatifu cha Biblia, Marko 10: 25 inasema: Ni rahisi ngamia kupenya katika tundu ya sindano kuliko tajiri kuingia katika ufalme wa Mungu. Wanachokielewa wengi, wakiwemo baadhi ya watumishi wa Mungu, ni kwamba ngamia anayezungumziwa hapa ni yule mnyama mwenye nundu kubwa...
Back
Top Bottom