dhuluma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Yalikuwa yanajisifu ni ya kimataifa. Yamepigwa ndani nje sasa yamejificha kwenye dhuluma waliiofanyiwa Yanga

    Habari ndio hio. Zile kelele kwamba mlikuwa mnacheza kombe la loser sasa hazipo na` zile kelele Yanga kimataifa hawawezi nazo hazipo. Yaani kwa miaka miwiliu wamefilisika kabisa kihoja. Sasa wamejificha kwenye dhuluma waliofanyiwa Yanga huku wao wametiaa aibu kufungwa home and away. Ni hawa...
  2. R

    CHADEMA mmeamua kuingia kwenye uchaguzi 2024/25, mmejiandaaje kuzuia dhuluma/uchafuzi kama za "chafuzi" za 2020 zisijirudie tena

    Si wazo baya kuingia kwenye chaguzi zijazo 2024/2025. The main concern ni hii: 1. It is very likely CCM watafanya dhuluma kama waliyofanya 2020,MSIWAAMINI KAMWE. mmeweka mikakati ipi kuhakikisha kwa namna yoyote MTAZUIA UCHAFU HUO? a) Kuna kuenguliwa b) mawakala kutoingia kenye vyumba vya...
  3. Kamanda Asiyechoka

    Waliopewa dola ili kudhibiti rushwa na dhuluma wanakiri hadharani kuwa dhuluma imezidi. Hii ni aibu kubwa

    Maana yake ni kuwa watu wanadhurumiwa haki zao kila mahala. Polisi wanabambikia watu kesi, wanyonge wanadhurumiwa ardhi, bila kuwa na connection hupati kazi. Hii ni tafsiri tosha kuwa wameshindwa kutimiza wajibu wao. Rais ajiuzulu na uchaguzi halali uitishwe
  4. M

    Dhuluma na wizi unaofanywa na kampuni zinazokopesha bodaboda (pikipiki)

    Habari wana jamvi. Kuna baadhi ya KAMPUNI za kukopesha BODABODA (mkihitaji sana nitaitaja) kuna tabia ya DHULUMA, utapeli au UWIZI naweza sema inafanya kwa vijana wa tanzania. Kila kijana anaye kopa PIKIPIKI kwenye hizo KAMPUNI pale anapo maliza deni, watu 9 kati ya kumi ambao nimekutana nao...
  5. Kiboko ya Jiwe

    Tuongee kuhusu Dhuluma

    Habari za asubuhi! Leo nimeona ni vyema niamke na mada inayoitwa DHULUMA. Leo naomba niiongelee dhuluma kwa level ndogo, hii dhuluma kwa level ndogo ni ile haswa baina ya mtu na mtu, au kikundi kidogo kwa mtu mmoja au mtu mmoja kwa kikundi kidogo. Dhuluma (injustice) ni hali ya kumeza haki ya...
  6. S

    Makonda fuatilia dhuluma mradi wa fidia Jangwani watu wanalipwa 170,000 badala ya milioni 4 aliyosema Waziri

    Mradi wa kulipa fidia wananchi wa Jangwani kupisha mwekezaji una mambo ambayo sio ya kawaida, Waziri wa TAMISEMI, Mchengerwa ametangaza wananchi hao watalipwa sh. milioni 4 lakini kinachoendelea kwenye utekelezaji watu wamesainishwa fomu za kulipwa laki na 70 bila kujali ukubwa wa familia...
  7. Hismastersvoice

    Hili agizo la Serikali kugharamia misiba na maziko ya viongozi wa CCM ni dhuluma kwa kodi zetu

    Leo asubuhi nimesikia kwenye redio kipindi cha kusomewa magazeti kuwa rais ameagiza serikali isimamie na kugharamia maziko ya makada wa CCM huko Njombe waliofariki kwa ajali wakiwa kwenye shughuri za chama chao, kitendo hiki hakitoi haki kwa watamzania wote ambao si wafuasi wa CCM ambao...
  8. K

    CHADEMA saidieni wananchi wa Nyatwali mahakamani kwa dhuluma wanayotendewa na Serikali

    Wananchi wa Kata ya Nyatwali wapatao 15,800 wanahamishwa na Serikali kupisha ongezeko la Hifadhi ya Serengeti bila sababu za msingi. Tayari makadirio ya fidia zao zimekwishakamilika bado tu malipo. Wananchi walitishwa kwa kuweka saini zao kwenye majedwali ya fidia na hawakuwa na namna...
  9. Hismastersvoice

    TCRA, hivi kwanini hamtulindi wananchi dhidi ya dhuluma? Badala yake mpo kwa kutukandamiza!

    Nilinunua kifurushi cha wiki cha Airtel nikiwa safarini Marangu Moshi, nilipofika nikakuta Airtel haipatikani hivyo kifurushi kikaisha kwa muda niliokuwepo hapo! TCRA wao wanajionea sawa tu. Nilitika Marangu nikaenda Moshi mjini eneo la KCMC ah! Nako ni shida tu mpaka mwenyeji akuelekeze...
  10. Jugado

    Sheria hazina maana Kwa asiyenacho: Ijapokua ni afadhali ziwepo kwani zinawalinda wasionacho dhidi ya wasionacho!

    Members, Sheria zinawalinda wenye nguvu tu. Yaani nguvu hapa namanisha pesa/madaraka/umaarufu(fame) Mwenye nguvu akiua Kwa makusudi kesi yake itageuzwa geuzwa kuwa "kuua bila kukusudia" na jela haendi aue kabwela akaozee jela! Mwenye nguvu anaweza fanya chochote na jamii ikamuunga mkono...
  11. Gulio Tanzania

    Tumuachie Mungu dhuluma hii uuzaji wa bandari zetu

    Wenye kusema wamesema wapo waliolaani kupitishwa kwa mkataba huu wenye kushauri wameshauri njia nzuri za kuuvunja mkataba huu bila kuleta madhara makubwa watu wameziba masikio tutembee na msemo ule asiyesikia la mkuu huvunjika guu Ni kweli tunahitaji wawekezaji lakini sio kwa mkataba huu...
  12. Ambiente Guru

    Dhuluma na wizi viwanda vya Mabati Dar, TBS oneni haya

    Miaka ya nyuma mabati yalipigwa mhuri kuonyesha gauge au viwango (mf G32, G28), sasa hivi sio hivyo. Unanunua mabati ya mgongo mpana na kofia kwa bei ghali. Haipiti muda kutu tayari. Unaende kiwandani unalipia mabati ya kukunja, wanakunja na kusababisha uharibufu (kuchanika), bado...
  13. M

    DOKEZO Rais tuokoe Wananchi wako wa Dodoma Jiji juu ya dhuluma hii ya Mkurugenzi Jiji. Mkuu wa wilaya kashindwa

    Kichwa cha habari cha jitosheleza. Wananchi wa Makole D center halmashaur ya jiji walihamishwa kupisha mradi wa stendi ndogo na kituo cha biashara ndogo ndogo za ujasiliamali. Mwanzo walitakiwa kufidiwa kwa malipo ya hela ila halmashauri wakasema fungu lililotengwa lilichukuliwa tena na...
  14. Richard

    DAWASA- kufanya hujuma kuibia wananchi "meter" za maji kisha kuja kutoza gharama za ufungaji wa mita hiyohiyo iloibiwa ni dhuluma

    Moja kwa moja kwenye mada. Kwanza naomba JF isiutoe uzi huu kwani mada hii nafikiri ni muhimu sana kwa mstakabali wa wateja wa DAWASA ambao huko mitaani wamekosa wa kuwasemea. Natambua kuna uzi humu kwa ajili ya DAWASA lakini nimeufuatilia na nimejiridhisha kwamba hauna response nzuri kutoka...
  15. M

    Mchungaji wa kanisa la Wasabato Kahama na familia yake wasoteshwa rumande kwa kesi ya dawa za kulevya

    Imekuwa dhuluma hadi kwa watumushi wa Mungu. Raia wema wakimbilie wapi? Katika hali ya kushangaza Mchungaji mmoja wa kanisa la wasabato wilayani Kahama na familia yake wamejikuta wakinyanyasika pasipokuwa na uhalali wowote kufikia kuswekwa ndani na kulala rumande. Kadhia hii imemkuta mchunga...
  16. U

    Taifa lililokufa kimaadili, rushwa, uwizi, ubakaji, dhuluma kila mahali

    Nchii hii haina maadili hata sehemu Moja, nimejaribu kuchunguza juu juu ni kwamba hamna uaminifu hata sehemu Moja, uraiani, biasharani, Serikalini. 1. Serikali inaiba uchaguzi wazi wazi 2. Kupata tenda Serikalini mpaka uhonge au Kiongozi mkubwa awe nyuma yako 3. Kupata uteuzi , Kuna kikundi...
  17. M

    Rais Samia onesha pia Uchungu wako katika Sekta ya Ardhi kwani Wanyonge wanadhulumiwa mno

    Mheshimiwa Rais kama kuna Sekta ambayo kwa sasa inatajwa na Dhambi ya Kudhulumu Watanzania Wanyonge basi ni ya Ardhi. Na kama kuna Mkoa ambao unaongoza kwa Watanzania Wanyonge Kudhulumiwa Ardhi yao ni Mkoa wa Dar es Salaam. Na kama kuna Mkuu wa Mkoa ambaye anapewa Lawana ya Kutetea Wapora...
  18. Kijakazi

    Mambo yaliyoleta Vita KUU Ulaya, ni Dhuluma na unfairness!

    Hata Ulaya ilikuwa hivyo, watu binafsi wanakopa fedha kwa manufaa yao binafsi halafu nchi au Serikali ina guarantee hiyo mikopo kwa kodi za Wananchi, maana yake ni kwamba kama akishindwa kulipa deni atakayedaiwa ni Serikali kwa maan ndiye alidhamini na siyo mtu binafsi aliyekopa. Hivyo Serikali...
  19. Iziwari

    Dhuluma inayotokana na kuaminiana: Nini kifanyike soma hii

    Dhuluma ni chanzo cha kwanza cha ugomvi na kutokuwa na maelewano kati ya watu wawili. Pia dhuluma yaweza kupelekea Hata watu kutaftana na kutaka kuondoa uhai wa mwingine. Cha hajabu kitendo cha kutaka kutoana uhai, hakimuathiri yule aliedhulumu tu. Bali kinamuathiri ata yule aliedhulumiwa...
  20. MK254

    Iran: Waandamanaji watia kiberiti iliyokua nyumba ya Khomeini, wanapinga dhuluma kutoka kwa dini ya kiislamu

    Wananchi wamechachamaa....hadi kieleweke, wamechoka unyanyasaji wa kidini, kila mtu aachiwe huru kwenye masuala ya kiimani, Iran ilikosea sana kumuua mwanamke kisa kipande cha nywele kilichomoza kichwani, serikali inaendelea kuwaua ili kumpigania "mungu" wa waislamu ila wananchi wameamua hata...
Back
Top Bottom