rais ruto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. O

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Je, Rais Ruto Aliwaambia Warundi Waondoke Kenya?

    Kumekuwa na machapisho, video na mijadala mtandaoni inayodai kuwa Rais William Ruto aliwaagiza Warundi waondoke Kenya, huku baadhi ya madai hayo yakihusisha kauli yake na visa vya vitisho, unyanyasaji na kufungwa kwa biashara zinazomilikiwa na raia wa Burundi. Madai hayo yaliongezeka baada ya...
  2. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Rais Ruto wa Kenya akiri serikali yake kuua waandamanaji GenZ 2024. Rais Samia na serikali yake wanaweza kuwa na ujasiri huu kwa mauaji ya 29/10/2025?

    Rais wa Kenya, William Ruto, amekiri kuwa kulikuwa na makosa katika namna Serikali ilivyoshughulikia maandamano ya vijana wa Gen Z mwaka 2024, akitambua maumivu yaliyosababishwa na vifo, madai ya kukamatwa kiholela, kutoweka kwa watu na matumizi ya nguvu kupita kiasi... Ruto ametoa kauli hiyo...
  3. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais William Ruto aagiza uchunguzi wa vifo vya Waandamanaji wa Gen Z

    Rais William Ruto ameagiza uchunguzi huru na wa kina kuhusu vifo, madai ya utekaji nyara, kukamatwa kinyume cha sheria na matumizi ya nguvu kupita kiasi yaliyoripotiwa wakati wa maandamano ya Gen Z ya 2024 na yaliyofuata. Akizungumza wakati wa maadhimisho ya miaka 16 ya Katiba ya 2010 katika...
  4. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania MTANZANIA kumuoa mtoto wa rais Ruto wa Kenya

    Kijana wa kitanzania issaya yunge, ametambulishwa rasmi kama mchumba wake na Charlene ruto, mtoto wa muheshimiwa William ruto, rais wa kenya. Za chini chini inasemekana kijana huyu, ni mhitimi WA CHUO cha IFM, ni mjasiriamali, na ndio miliki wa soma app. Naendelea kufatilia wadhifa wake na...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kijana Kitanzania kumvisha pete Mtoto wa Rais wa Kenya,Charlene Ruto

    Kijana wa Kitanzania na mwanzilishi wa application ya SomaApp aitwaye Isaiah Yunk(g)e anatarajia kumvisha pete ya uchumba Charlene Ruto katika sherehe ya kimila( Koito ak chaik) itakayofanyika leo Jumamosi huko Narok, Kenya. Miongoni mwa wageni wanaotarajiwa kuhudhuria ni pamoja na wazazi wa...
  6. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Macharia Njeru adai Rais Ruto aliitisha viongozi wa IPOA na kutoa vitisho

    Aliyekuwa mwenyekiti wa kwanza wa Mamlaka Huru ya Kusimamia Utendakazi wa Polisi (IPOA), Macharia Njeru, amedai kuwa Rais William Ruto aliwaita viongozi wa IPOA katika Ikulu na kutoa matamshi yaliyolenga kuwashinikiza kuhusu utendaji wao. Kwa mujibu wa Njeru, hatua hiyo inaweza kutafsiriwa kama...
  7. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Wakenya kufanya maandamano kuipinga serikali yao 25/6. Rais Ruto awataka waandamanaji kutumia haki yao na kuepuka kuharibu mali za watu🙏🏻

    Rais wa Kenya William Ruto ameonya dhidi ya aina yoyote ya machafuko, uharibifu wa mali, au kutatiza huduma muhimu kabla ya maadhimisho ya wiki ijayo ya maandamano ya kupinga serikali ya Juni 25. Akizungumza Ijumaa katika Mkutano wa Kitaifa wa Uzalishaji na Utendaji katika Shule ya Serikali ya...
  8. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke aliyechomwa kwa kuchora Tatoo ya Rais Ruto afariki

    Mwanamke wa nchini Kenya aliyefahamika kwa jina la Rachel Wandeto, ambaye aliwahi kusambaa mitandaoni baada ya kuchora tattoo ya Rais William Ruto kifuani mwake, ameripotiwa kufariki dunia akiwa anapatiwa matibabu kufuatia shambulio la kuchomwa moto kwa petroli. Rachel Wandeto alidaiwa...
  9. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu ashiriki chakula cha jioni kilichoandaliwa na Rais Ruto

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba jana Mei 11, 2026 alishiriki chakula cha jioni cha kitaifa kilichoandaliwa na Rais wa Kenya Dkt. William Ruto kwa heshima ya Wakuu wa Nchi na Serikali wanaoshiriki Mkutano wa Ushirikiano wa Afrika na Ufaransa Dkt. Mwigulu yupo nchini Kenya akimuwakilisha Rais...
  10. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mtangazaji wa Radio 47: Rais Samia anataka kutuharibia Rais Ruto

    Baada ya ukimya wa siku kadhaa na madai pia waliotoa kutaka kutekwa! Sasa wale Watangazaji wa Radio 47 ya Kenya akiongozwa na Billy Miya leo waimeibuka na jambo jipya la kusema Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anataka kumharibu Rais William Ruto wa Kenya ambaye ni Rais wao walitoka naye...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Rais Ruto: Makampuni ya Kenya yamewekeza dola bilioni 1.7 Tanzania, huku ya Tanzania yamewekeza dola milioni 336 Kenya

    Akihutubia Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Rais wa Kenya, William Ruto amebainisha kuwa Kenya na Tanzania ni nchi zinazotegemeana, akieleza kupitia Uhusiano wa Biashara kati ya nchi hizo mbili imefikia kiwango cha dola milioni 860 kwa mwaka 2025 huku ikitarajiwa kufikia kiwango cha...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Rais Ruto: Maadui wetu siyo Wakenya wala Watanzania, ni ajira na umasikini

    Rais wa Kenya, William Samoei Ruto, leo Mei 5, 2026, amelihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akisisitiza umuhimu wa ushirikiano wa kiuchumi na kuunganisha nguvu katika kupambana na changamoto zinazozikabili nchi zote mbili. Pia soma Samia: Nimeongea na Rais Ruto, wale watoto wetu...
  13. Influenza

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Seneta Methu, akiwa mbele ya Rais Ruto: Rais Ruto nakuheshimu ila sikuogopi...

    Seneta John Methu alimkabili Rais William Ruto wakati wa ibada ya mazishi ya Mbunge wa Ol Kalou marehemu David Njuguna Kiaraho katika Kaunti ya Nyandarua. Wakati wa ibada hiyo, Methu alimwambia Rais kuwa anamuheshimu lakini hamwogopi. Kauli hizo, ambazo pia zilijumuisha ukosoaji wa utendaji wa...
  14. S

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Hivi ndivyo Rais Ruto alivyo hivi kwa sasa?

  15. Mwanamwana

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Riggy Gachagua: Rais Ruto alipanga kuiba Nairobi Hospital na Nairobi Railway tukamuanika, amekasirika

    Aliyekuwa Naibu wa Rais wa Kenya, Rigath Gachagua ameendelea kumkabia kooni Rais Ruto kwa kuendelea kumshambulisha kutokea kila upande. Riggy anamtuhumu Ruto kwa ufisadi uliokithiri nchini Kenya huku akihoji anataka kuiba ngapi ndiyo aridhike?
  16. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto alaani mashambulizi yanayoendelea Mashariki ya Kati adai ni tishio kwa amani na usalama Kimataifa

    Rais wa Kenya, William Ruto, amesema Kenya inalaani vikali mashambulizi yaliyofanyika dhidi ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), Qatar, Saudi Arabia, Iraq, Oman, Kuwait, Jordan na Bahrain katika mzozo unaoendelea kuongezeka Mashariki ya Kati. Amesema ni wazi kuwa kuenea kwa mzozo huo katika...
  17. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchungaji ajiuzulu baada ya Askofu wao kumkaribisha Rais Ruto Kanisani kwao kinyume na matakwa ya wengi

    Charles Wachira, mchungaji mwandamizi katika kanisa la Jesus Christ Compassion Ministry (JCM), amejiuzulu wadhifa wake baada ya kiongozi wa kanisa hilo, Askofu Ben Kiengei kukubali kumkaribisha Rais William Ruto siku ya Jumapili, hatua ambayo amesema imefanywa “kinyume na matakwa ya wengi.”...
  18. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto anasurika kuvamiwa na kijana wakati akihutubia kongamano la kibiashara la NYOTA Business Forum

    Maafisa wa usalama wa Rais wa Kenya, William Ruto, wamelazimika kuingilia kati kuzuia kijana mmoja aliyetaka kulisogelea jukwaa wakati Rais akiwahutubia washiriki wa kongamano la kibiashara la NYOTA Business Forum. Tukio hilo limetokea wakati wa hafla ya kutoa mitaji kwa wafanyabiashara wapya...
  19. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu hapa Cyrus Shakhalaga Khwa Jirongo, aliyemtambulisha Rais Ruto kwenye ulimwengu wa siasa hadi ajali kukatisha uhai wake

    Jana Desemba 13,2025 Taifa la Kenya liliingia kwenye majonzi baada ya kumpoteza mwanasiasa mashuhuru na mfanyabiashara, Cyrus Jirongo maarufu CJ kwa ajali ya gari akiwa na miaka 64. Jirongo alifikwa na mauti kufuatia ajali iliyohusisha gari yake aliyokuwa akiendesha mwenyewe Mercedes-Benz...
  20. stakehigh

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto asema hatajutia agizo la kupiga risasi waandamanaji

    https://m.youtube.com/watch?v=PTqDwq2Afgs
Back
Top Bottom