Serikali yasema haiwezi kugharamia Matibabu ya Kisukari na Tezi Dume kwasababu huduma nyingine zitasimama

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,120
Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, ametoa kauli hiyo wakati akijibu swali la Mbunge wa Jimbo la Igalula, Venant Protas aliyependekeza Serikali ianze kugharamia Matibabu ya Wagonjwa wa Kisukari na Tezi Dume ambapo amesema gharama za kutibu Magonjwa hayo ni Tsh. Bilioni 346.42 kiasi kinachozidi Bajeti ya Dawa ambayo ni Tsh. Bil. 200.

Dkt. Mollel amesema "Ikitokea huduma za matibabu ya Mgaonjwa hayo zikatolewa bure, itapelekea huduma nyingine kusimam
a nchini. Mwaka 2022/23 gharama za msamaha kwa Wagonjwa wa Sukari na Saratani ya Tezi Dume pekee ilifikia Tsh. Bilioni 70.4".

Hata hivyo amesema Serikali inasisitiza utekelezaji wa Sera ya Afya ya mwaka 2007 inayotoa Msamaha kwa Wananchi wasio na uwezo wa kulipia huduma za Afya na wenye uwezo wataendelea kulipa gharama hizo.
 
Kwani vyama vya siasa ikiwamo CCM vinachukua ruzuku kiasi gani kwa mwaka?
 
Hapa kwa wagonjwa wa sukari na pia pumu,kwa kweli serekali imejitahidi sana.Kwa mfano dawa za sukari kwenye maduka ya dawa mengi,bei yake ni nafuu sana,Paketi ya dawa kumi ni elfu moja,japo yapo baadhi ya maduka yanauza ghali.Na pia dawa za pumu ni nafuu sana,unaweza kukuta doze nzima ni shilingi 1000.Na hospital zote za serekali wagonjwa wa pumu na sukari wanapewa kipaumbele.Hasa Mwananyamala Hospital,uongozi na wafanyakazi wa pale,ni wakupigiwa mfano,mgonjwa unahudumiwa kama mfalme,sijawahi kuona hata hodpital binafsi,sijui mkurungezi au mganga mkuu ni nani,niliwahi kwenda Tanga,hospital ya Bombo,nayo pia ni ya kupigiwa mfano,yupo mama wa kihindi,sijajua ni daktari au ni mkubwa wa cheo gani,anafuatilia wagojwa,na kuwauliza kama wamepata huduma,na kama bado anasimamia na kukuelekeza vizuri tu,ufuate utaratibu upi.
 
Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, ametoa kauli hiyo wakati akijibu swali la Mbunge wa Jimbo la Igalula, Venant Protas aliyependekeza Serikali ianze kugharamia Matibabu ya Wagonjwa wa Kisukari na Tezi Dume ambapo amesema gharama za kutibu Magonjwa hayo ni Tsh. Bilioni 346.42 kiasi kinachozidi Bajeti ya Dawa ambayo ni Tsh. Bil. 200.

Dkt. Mollel amesema "Ikitokea huduma za matibabu ya Mgaonjwa hayo zikatolewa bure, itapelekea huduma nyingine kusimam
a nchini. Mwaka 2022/23 gharama za msamaha kwa Wagonjwa wa Sukari na Saratani ya Tezi Dume pekee ilifikia Tsh. Bilioni 70.4".

Hata hivyo amesema Serikali inasisitiza utekelezaji wa Sera ya Afya ya mwaka 2007 inayotoa Msamaha kwa Wananchi wasio na uwezo wa kulipia huduma za Afya na wenye uwezo wataendelea kulipa gharama hizo.
Wajumlishe na maradhi ya figo.
 
Back
Top Bottom