selimundu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wizara ya Afya Tanzania

    Rais Dkt. Samia ametoa fedha shilingi bilioni 1 kwa ajili ya kutibu watoto 20 wenye ugonjwa wa Selimundu

    NA: WAF, Dodoma Waziri wa Afya, Mhe. Ummy Mwalimu, amesema katika kuendelea kuboresha huduma za afya nchini Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa fedha zenye thamani ya shilingi bilioni 1 kwa ajili ya kutibu watoto 20 wenye ugonjwa wa Selimundu (Sickle Cell) mpaka kufikia Juni 2024. Waziri...
  2. Roving Journalist

    Hospitali ya Taifa Muhimbili yawezesha uanzishwaji wa Kliniki ya Himofilia na Selimundu Kigoma RRH

    Mganga Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Dkt. Jesca Leba ameishukuru Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kwa kuwezesha upatikanaji wa Kliniki ya Himofilia na Selimundu katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Kigoma - Maweni. Kaimu Mkurugenzi wa Huduma za Tiba - MNH, Dkt. John Rwegasha Dkt. Jesca ambaye...
  3. Melki the Storyteller

    UZUSHI Mwenye Seli Mundu (Sickle Cell Disease) hawezi kuishi kwa zaidi ya miaka 30

    Hii imekaa vipi kitaalam, Mwenye Selimundu (Sickle Cell Disease) hawezi kuishi kwa zaidi ya miaka 30?
  4. JanguKamaJangu

    Uhusiano wa Ugonjwa wa Selimundu na magonjwa ya Moyo

    SELIMUNDU (sickle cell) ni ugonjwa unaorithiwa kutoka kwa kizazi kimoja hadi kingine, hutokana na tatizo kwenye chembechembe nyekundu za damu. Ugonjwa huu unaendelea kuongezeka hapa nchini kutokana na wazazi wa pande zote mbili kushindwa kupima vinasaba (DNA) kabla ya kuoana au kuzaa. Ikiwa...
  5. JanguKamaJangu

    Ugonjwa wa Selimundu (Sickle Cell) unatibika

    Jamii inatakiwa kuendelea kupewa elimu juu ya ugonjwa wa Selimundu(Sickle Cell) kwa kuwa unatibika. Ripoti ya Tanzania Sickle Cell Disease Alliance (TANSCDA) iliyotolewa Desemba 2021 ulionesha kuwa Tanzania kuna jumla ya watoto 11,000 kila mwaka wanaozaliwa na Ugonjwa wa Selimundu Aidha...
  6. Roving Journalist

    Ugonjwa wa Selimundu (Sickle Cell) unatibika

    Jamii inatakiwa kuendelea kupewa elimu juu ya ugonjwa wa Selimundu(Sickle Cell) kwa kuwa unatibika. Ripoti ya Tanzania Sickle Cell Disease Alliance (TANSCDA) iliyotolewa Desemba 2021 ulionesha kuwa Tanzania kuna jumla ya watoto 11,000 kila mwaka wanaozaliwa na Ugonjwa wa Selimundu Aidha...
  7. JamiiForums

    Ugonjwa wa Selimundu (Sickle Cell anaemia): Dalili na matibabu yake

    Watu walio na hali hii huwa wana upungufu wa chembechembe nyekundu kwenye damu mwilini. Hivi ni kumaanisha kuwa miili yao huwa haibebi hewa ya kutosha ya oksigeni. Hali hii inaweza kuwafanya wawe wagonjwa. Kuna kitu chekundu katika damu kinachotwaa oksigeni katika hwa na kuipeleka kila...
Back
Top Bottom