gerezani

Gerezani is an administrative ward in the Ilala District of the Dar es Salaam Region of Tanzania. According to the 2012 census, the ward has a total population of 7,276.

View More On Wikipedia.org
  1. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Kuna muda huwa napitapita kule gerezani kwangu kuona wafungwa wangu wanaendeleaje.

    Wale ninaowaona wamejirekebisha nawaachia huru, wale wanaojitahidi kubadilika; nawapunguzia vifungo, wale walioshindikana wananyongwa😁😂😂
  2. E

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya nauli za mabasi ya Mwendokasi na kero ya tiketi zisizo na muunganiko wa ruti (Gerezani - Kimara - Mbezi), DART wafafanua

    Kumekuwa na malalamiko ya watumiaji wa mabasi yaendayo haraka (BRT), kuhusu ukubwa wa nauli za mabasi hayo na kutokuwepo kwa tiketi za muunganisho wa safari. Soma pia: Changamoto ya nauli za mabasi ya Mwendokasi (DART/UDART) na kero ya tiketi zisizo na muunganiko wa ruti (Gerezani - Kimara -...
  3. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaharakati wa Nairobi wataka Besigye na Lissu kutoka gerezani na kuachiliwa huru

    Wanaharakati nchini Kenya wameongeza shinikizo la kutaka kuachiliwa kwa viongozi wa upinzani wa Uganda na Tanzania, Dkt. Kizza Besigye na Tundu Lissu, wanaoshikiliwa katika nchi zao kwa tuhuma zinazohusiana na uhaini. Katika maandamano yaliyofanyika Nairobi Alhamisi, Septemba 3, 2026...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto ya nauli za mabasi ya Mwendokasi (DART/UDART) na kero ya tiketi zisizo na muunganiko wa ruti (Gerezani - Kimara - Mbezi)

    Habari zenu Wana-Jukwaa, Naandika uzi huu kuwasilisha kero inayowakabili wananchi na wasafiri wa kila siku wanaotumia Mabasi ya Mwendokasi (DART) katika korido ya Morogoro Road, kuanzia Kivukoni, Gerezani, Kimara hadi Mbezi. Tunatambua mchango mkubwa wa usafiri wa mwendokasi katika kupunguza...
  5. Manyanza

    JamiiForums Tanzania P.Didy kutoka gerezani mapema baada ya tarehe kubadilishwa

    Rapa na mfanyabiashara wa muziki wa Marekani, Sean “Diddy” Combs, ameongezewa matumaini ya kutoka gerezani mapema baada ya tarehe yake ya kuachiwa kusogezwa mbele kwa mara nyingine. Kwa mujibu wa taarifa mpya kutoka Bureau of Prisons, Diddy ambaye anahudumu kifungo katika Federal Correctional...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Lissu kiboko ya majinga majinga ya ccm hasa yanayoenda usiku gerezani.

    Unaambiwa lile genge la watekaji,wafiraji,mafisadi na marcatel ya mafuta yamekuwa yakituma makuwadi yao huko gerezani kwa lengo la kuomba msamaha kwa lissu ili atakapotoka asiwe na msimamo mkali badala yake awe kama kina mbowe na kwamba wamemuahidi mabillion ya pesa. Lakini cha kushangaza lissu...
  7. Q

    JamiiForums Tanzania Lissu: Msije gerezani usiku kunitembelea njooni mahakamani

    Akiwa mahakamani jana Lissu amesema kuna watu walienda kumtembelea usiku, hakuwataja wala hakusema walikuwa na nia gani, lakini kawashauri kama wanampenda wawe wanafika mahakamani kumsalimia.
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Lissu: Nipo tayari kukaa gerezani mpaka haki itakapopatikana

    Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, amesema yuko tayari kukaa gerezani hadi haki itakapopatikana, akizungumza mahakamani Septemba 2, 2026, katika mwendelezo wa kesi yake ya Uhaini. Lissu alikanusha kauli zinazodai kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, anazuiwa kutoka gerezani na Heche...
  9. Baba mtakatifu91

    JamiiForums Tanzania Kitu pekee kitakachomtoa Lissu gerezani ni rozali aliyovalia mkononi

    Litania ya Bikira Maria (Litania ya Loreto) Bwana utuhurumie. – Bwana utuhurumie. Kristo utuhurumie. – Kristo utuhurumie. Bwana utuhurumie. – Bwana utuhurumie. Kristo utusikie. – Kristo utusikie. Kristo utusikilize. – Kristo utusikilize. Mungu Baba wa Mbinguni, – Utuhurumie. Mungu Mwana...
  10. L

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Si Mlisema Lissu Ni Kama Nelson Mandela? Sasa Mnalialia Nini? Basi Acheni Afikishe Kwanza Miaka 27 Gerezani Kama Mandela

    Ndugu zangu Watanzania, CHADEMA ningewaomba mkae kwa utulivu na muache kulialia na kupiga makelele yenu Maana Mlisema Lissu ni kama Mandera. Hivyo Acheni Lissu naye akae miaka 27 kama ilivyokuwa kwa Nelson Mandela. Sasa hata Miaka mitano bado kuifikisha akiwa gerezani nyie tayari Mmeanza kutia...
  11. Zakaria Maseke

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa mfungwa aliye gerezani kubadilishiwa adhabu ya kifungo cha gerezani kuwa huduma kwa jamii

    Uchambuzi wa kisheria kuhusu utaratibu wa mfungwa kubadilishiwa adhabu ya kifungo cha gerezani kuwa huduma kwa jamii: Mwandishi: Zakaria Maseke (Mwanasheria) (0612275246/0754575246) Makala hii inachambua utaratibu wa kisheria wa kubadilisha adhabu ya kifungo cha gerezani kuwa huduma kwa jamii...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mzani wa Sheria: Dkt. Kaijage (UDOM) Gerezani kwa Ugaidi, Sheikh Mwaipopo Huru Pamoja na Vikosi vya "Mbwa Mwitu"?

    Habari za majukumu wana-JF (JamiiForums), Heshima kwenu wakuu wote wa jukwaa hili adimu na huru la kutoa maoni. Natumai mko salama na mnaendelea kujenga taifa. Leo nimeona nije hapa jukwaani tushirikishane mawazo na kufanya uchambuzi wa kina kuhusu mwelekeo wa sasa wa utoaji haki na usawa wa...
  13. radhiya

    JamiiForums Tanzania Plot for Sale at Kariakoo Gerezani along Sokoine drive

    Plot For Sale. Plot details: Prime area, along tarmac road near new SGR train station and Dar port. •Perfect for; Yard, Garage, container’s storage, godown. Location: Gerezani street/Sokoine drive. Size: 903sqms. Permit: Residential & Commercial. Document: Title Deed. Price: Tsh 2B. For more...
  14. Ramsy Dalai Lama

    JamiiForums Tanzania Tunakumbushana: Ukitaka Kuyaelewa Maisha yako na umuhimu wake, Tembelea Maeneo Haya Matatu. Please tusijisahau

    Kwa heshima na taadhima, habari zenu wanajukwaa. Please, ukipata muda tembelea hayo maeneo matatu nitakayo orodhesha hapa au pia naweza kukukumbusha humu humu kama utakua huna muda ili kujikumbusha yalio muhimu sana katika maisha yako. 1. Hospitali. Hapa utaona jinsi mwanadamu alivyo dhaifu...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Piga picha Lissu angewa mwenyekiti na Wenje makamu wake, mind you that Lisuu angewa gerezani kama ulivyo sasa

    Jamani nauliza, mmewahi kujiuliza kama Wenje angewa makamu wa Lissu wakati kama huu chama kingewaje?
  16. R

    JamiiForums Tanzania Kutoka X: Eti kaiweka akili kama ya Mhe. LISSU pale Ukonga GEREZANI halafu kaliacha BUNGE liwe na akili kama za binti yake

    Eti samia kaiweka akili kama ya Mhe. LISSU pale Ukonga GEREZANI halafu kaliacha BUNGE liwe na akili kama za WANU binti yake make hapo kwanza nicheke😂😂😂😂😂😂😂😂😂
  17. S

    JamiiForums Tanzania Jicho la tatu: Mtindo wa Nywele wa Tundu Lissu ni kuweka kumbukumbu ya picha kuhusu tabu au maisha ya kuwa gerezani

    Watu wengi huenda hawaelewi kwanini Tundu Lissu kaamua kuwa anaingia mahakamani kwa style ile na bila shaka wengi hawapati majibu. Binafsi naamini sababu ni hizi: 1. Kuonyesha kuwa sasa anaishi maisha ya tofauti huko gerezani hata kuchana nywele ni kazi 2. Anajaribu kuonyesha umma ukatili wa...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Mwanasiasa mashuhuri kuliko wote Tanzania yupo Gerezani!

    Mwanasiasa mzalendo na anaependwa kuliko wote yupo jela. Hilo ni tatizo kubwa
  19. R

    JamiiForums Tanzania Chief Justice, this is not fair! Lissu ameteseka sana gerezani, why postpone his case? Muamue moja mnaloona linamfaa

    Ni vema mkamhukumu mnavyoona/ mnavyopenda kuliko haya mateso mnayompa. Ajue moja, ananyongwa au anafungwa au anaachiwa. Mwamwindi wa Iringa, aliamua moja akalitimiza, akamuua Kleruu na Mwalimu Nyerere akaamua moja akamnyonga. Nanyi amua moja mlitimize. Why postpone his case?
  20. Q

    JamiiForums Tanzania Marekani imetangaza vikwazo kwa maafisa 100 wa Nicaragua na familia zao kufuatia kiongozi wa upinzani kufia gerezani

    Serikali ya Marekani imetangaza vikwazo vya visa dhidi ya zaidi ya maafisa 100 wa Nicaragua na familia zao kufuatia kifo cha Brooklyn Rivera, kiongozi wa kiasili wa watu wa Miskito aliyekuwa akizuiliwa na utawala wa Rais Daniel Ortega. Rivera, mwenye umri wa miaka 73 na aliyewahi kuwa mbunge...
Back
Top Bottom