kugharamia mazishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. benzemah

    Rais Samia afupisha ziara yake Dubai kurejea nchini haraka iwezekanavyo, Serikali kugharamia mazishi na matibabu ya majeruhi wa mafuriko ya Hanang

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemuelekeza Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa kuwa serikali igharamie mazishi ya wote waliopoteza maisha kutokana na mvua kubwa iliyotokea na mafuriko katika Halmashauri ya Wilaya ya Hanang. Rais Samia pia ametaka majeruhi wote...
  2. Nyendo

    Serikali kugharamia mazishi ya wanafunzi waliofia mto Luiche wakivuka kwenda shule

    Serikali imesema itasasimamia na kugharamia taratibu zote za mazishi ya Wanafunzi wanne wa Shule ya Msingi Kagera iliyopo Manispaa ya Kigoma Ujiji waliofariki kwa kuzama kwenye Mto baada ya mtumbwi kupinduka wakati wakielekea Shule. Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Thobias Andengenye amesema hayo baada...
Back
Top Bottom