Niliwekeza kwenye Samia Account kupitia CRDB na masharti yalikuwa ni kupata asilimia 30 kila baada ya miezi mitatu.
Jana nimeenda kuangalia salio langu kama kweli wameniwekea hiyo asilimia 30 ya fedha yangu niliyowekeza lakini sijaona nyongeza yeyote.
Kulikoni?.
Salaam wakuu,
Kwa wajuvi naomba msaada wa namna ya kununua akaunti kwa ajili ya kuDownload games za PS4.
Mashine yangu ni ya games za akaunti.
Naomba kuwasilisha.
Wakuu naomba mnijulishe jinsi ya kurudisha akaunti ya watsApp ambayo namba ya simu iliyotumika kutengenezea kwa mara ya kwanza ilishapotea hivyo wakati wa kufufua akaunti codes zinaingia kwenye namba iliyopotea.
Najua huku Kuna IT's mahiri ambao ni watundu kwelikweli, basi naomba wafanye huo...
Habari wakuu!!
Naomba kufahamishwa ni zipi sababu za Akaunti ya bank kuzuiliwa kuhamisha pesa.
Ukijaribu ujumbe unakuwa
"Hauruhuziwi kuhamisha fedha kwenye akaunti hii"
Ukiwapigia Customer Service wanakwambia akaunti imezuiliwa na Tawi lako, nenda kwenye tawi hilo.
Sasa mimi ni miaka mingi...
Heri ya Christmas na Mwaka Mpya.
Wataalamu, naombeni ushauri namna ya kujaza njia ya malipo kwa ajili ya wateja Fiverr kwa Tanzania.
Maana kuna gig nilipost juzi na nikaanza kupata maoni ya wateja wakitaka kuweka oda, sasa mmoja alisema njia ya malipo sijaweka, na mwingine alisema alihitajika...
Ikiwa kama nyaraka zote zimekamilika na mmeambiwa msubiri malipo kwenye akaunti zenu,huchukua muda gani??
Kwa uelewa wangu kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia basi ni siku kadhaa! Mwezi wa pili huu mnaambiwa msubiri!
Nb:Mirathi mahakama ya Nyamagana!
Hili suala limekaaje kitaalamu, mfano benki kama NMB ukitaka kutuma pesa kwa mtu kutoka kwenye Akaunti ya benki kwenda kwa namba yake ya simu Cha mtema Kuni utakiona. Je hii ni sawa wakuu? Kwanza gharama za makato hazionekani kabla ya kutuma pesa, ila utakutana nazo tu ukishatuma tayari. Hii si...
Serikali kupitia Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu, Dkt Jim James Yonazi ametoa akaunti maalum ya Serikali ambayo Watanzania wataitumia ili kutuma fedha kwa ajili ya kuwachangia waliopata maafa Kariakoo.
Jina la Akaunti
National Relief Fund
Namba ya Akaunti
9921159801...
Kati mwezi Mei na August 2024 Mbunge wa jimbo la Kawe Josephat Gwajima alipita kwenye matawi na mashina ya CCM katika jimbo la Kawe.
Alifanya mikutano ya kuhamaasisha uchangiaji wa ukarabati wa barabara zilizoharibiwa na mvua za Elnino. Aliahidi kuwa tukifungua akaunti ya pamoja katika kila...
Mtandao wa kijamii wa X zamani (Twitter), umesimamisha na kuifungia akaunti ya lugha ya Kiebrania ya Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Seyyed Ali Khamenei.
Hatua hiyo imekuja saa chache baada ya akaunti hiyo kutuma ujumbe unaosema, “Utawala wa Israel ulifanya makosa. Ulikosea katika...
1. Akaunti ambayo itatumika kulipia bills. Hii akaunti mnakubaliana muwe mnaweka kiasi gani kwa mwezi kila mmoja.
2. Saving akaunti. Hii ni ya pesa zenu za saving ambapo itatakiwa kusainiwa na wote wawili ili pesa zitoke.
3. Akaunti ya mume. Hiyo yako, tumia pesa uwezavyo. Kula maisha.
4...
Habari wakuu.
Kuna jambo la haraka ambalo ili kulikamilisha natakiwa kuwa na physical (plastic) debit/credit card na siyo hizi virtual kama za M-Pesa ambazo ndizo nazitumia sana. Kwa anayefahamu benki ambayo unaweza kufungua akaunti na ukapewa kadi ya Master au Visa siku hiyo hiyo naomba...
Habari zenu wana Jf?
Mimi ni mwanachama Mpya, Ni kijana....
Nimefungua akaunti yangu leo hii hii, Nimefurahi kujumuika nanyi, Tutakutana huko kwenye nyuzi tofauti tofauti..
Ahsanteni!!
Aiyekuwa meya wa Ubungo, Boniface Jacob, maarufu Boni Yai amesomewa mashtaka mawili ya kuchapisha taarifa za uwongo kwenye mtandao wake wa X (zamani Twitter), ambayo ameyakana.
Serikali imewasilisha maombi mawili, kwanza mahakama imuamuru aruhusu vifaa vyake vya kielektroniki pamoja na akaunti...
Kumekuwa na akaunti yenye jina la Luaga Mpina inachapisha taarifa mbali mbali kuhusu mambo yanayoendea nchini na kujibu hoja za Mbunge Luaga Joelson Mpina wa jimbo la Kisesa ndani ya mtandao wa X zamani twitter.
Naomba JAMIICHEK inisaidia kujua ukweli kama akaunti hii ni mali halali au...
Wadau wa Sheria,Iko hivi Mimi kama msimamizi wa mirathi,nilifatilia mpaka Hela zikawa zimetumwa kwenye akaunti ya mahakama, warithi wakajaza zile form za mgao,tukambiwa tusuburi Hela zitaingia kwenye hizo akaunti za warithi
Swali? Je inachukua muda gani mpaka mahakama kuingiza hizo pesa kwa...
Kampuni ya Meta imefuta akaunti 2,500 zilizokuwa zinaendeshwa na kikundi cha watu 20 ambao walikuwa wakifanya utapeli kwa wanaume na watoto chini ya miaka 18 nchini Marekani kwa kuwatishia kuvujisha picha zao za utupu.
Pia, imefuta akaunti za matapeli wa mtandaoni wanaojiita "Yahoo Boys" na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.