agizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Halmashauri na wakuu wa idara kuwekwa Selo na Mkuu wa Wilaya ya Kwimba, Ng’wilabuzu Ludigija, kwa kutoshiriki zoezi la usafi

    Mkuu wa Wilaya ya Kwimba mkoani Mwanza, Ng’wilabuzu Ludigija, amemuamuru Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo pamoja na Wakuu wa Idara wote kuripoti kwa Mkuu wa Polisi wa Wilaya (OCD) kufuatia kukaidi kwao mara kadhaa agizo la kushiriki katika zoezi la kufanya usafi wa mazingira wilayani humo.
  2. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Simjui hanijui lakini machozi yamenitoka baada ya kumuona mwathirika wa agizo la Chalamila la kuwekwa kolokoloni familia ya Mushi.

    Leo kwenye runinga chaneli E wamemuonesha mwathirika wa agizo la mkuu wa mkoa mhe. Chalamila la kukamatwa na kuwekwa mahabusu familia yote ya Mushi wa Madale, akihojiwa huyo bibi mwenye umri kama wa Maria Nyerere au Fatuma Karume(marehemu) alisema alipofika Dar baada ya safari ndefu kutoka Moshi...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Leah Masunga alivyokabidhiwa hati yake, siku moja tu baada ya agizo la Waziri Mkuu.

    Leah Masunga alivyokabidhiwa hati yake, siku moja tu baada ya agizo la Waziri Mkuu. 📍Simiyu
  4. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Tuyalinde mawazo yetu,tukatae kauli hasi,ni sumu kali,inayotengeneza mawimbi ambayo ni lazima yafuate njia hiyo hiyo!,kama agizo!

    Ulimi, wetu na mawazo yetu kwa asilimia kubwa almost 90% ndiyo,hutengeneza channel ya mfumo wetu wa maisha,tukumbuke binadamu kwa jinsi alivyoumbwa ana uungu kwa 5-10, katika matendo yake na maisha yake ya siku kwa siku,kauli zake azitoazo huweza kutengeneza effect fulani hasa pale anapozidi...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Tafadhali sana Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA) toeni agizo namba za customer service zote ziwe na option ya kuongea na mtoa huduma

    Tafadhali sana Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA), tunawaomba angalau mtupunguzie mojawapo ya kero nyingi sana katika nchi hii, kwamba unapopiga namba yeyote ya Customer Service, iwe ni kampuni za simu, mashirika ya umma, biashara, NGO nk, ili mradi iwe ni customer service, basi...
  6. britanicca

    JamiiForums Tanzania Agizo la Siri kwa Uhamiaji, wapewa amri kila MTANZANIA anayeingia nchini achunguzwe historia yake ya machapisho mtandaoni

    Kwanza ni upotezaji wa Muda, Pili Magufuli alijaribu akafeli, tatu Tanzania si wajinga wako anonymous! Wanaweza sumbua watu maarufu na wamiliki wa Platform kadhaa lakin si mtu simple Hii wanasema ianze September 4/ 2026 Britanicca
  7. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Obama akamatwa na CIA ,baada ya Trump kutoa agizo akamatwe kwa kosa la uhaini

    Kumekuwepo na chapisho linalosambazwa na baadhi ya watumiaji wa mtandao wa Facebook likidai kuwa aliyekuwa Rais wa 44 wa Marekani, Barack Obama, amekamatwa baada ya Rais wa sasa wa Marekani, Donald Trump, kutoa amri hiyo kufuatia kile kinachoendelea Mashariki ya Kati. Katika chapisho hilo...
  8. President of China

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Sheikh Mkuu na Mufti wa Tanzania - Abubakar Zuber bin Ally aagiza Dua ya Qunuti kusomwa baada ya kila Sala

    AGIZO LA SHEIKH MKUU NA MUFTI WA TANZANIA "Assalaam alaikum. Nimewaagiza Mashekhe wote Nchini kuanzia Mikoa, Kata na Wilaya pamoja na Maimamu wa Misikiti yote Nchini Kuleta Dua ya Qunuti baada ya kila Sala. Dua hii Maalum kwa ajili ya kuendelea kumlilia na kumuomba M/Mungu Mtukufu aendelee...
  9. stakehigh

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto asema hatajutia agizo la kupiga risasi waandamanaji

    https://m.youtube.com/watch?v=PTqDwq2Afgs
  10. Mikael Aweda

    JamiiForums Tanzania ACT = Agizo la Chama Tawala. Hiyo ndiyo kirefu cha ACT Wazendo kwa mujibu wa Polepole

    Sijasema Mimi. Ndugu Pole pole ndo kasema kwamba ACT Iliaisisiwa na mwanamtandao mmoja maarufu miaka ya nyuma ili kumdhibiti Lissu, Dr Slaa na Chadema ya enzi hiyo. mwenyekiti wao akiwa Mbowe. Namsubiri kwa hamu sana Polepole atupe na mmiliki halali wa Chaumma na asisahau kutuambia na...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Agizo la Jaji Mkuu George Masaju ladaiwa kuharibu kesi za polisi mahakama za Mwanzo

    Ni agizo alilolitoa mapema mwaka huu baada ya kuapishwa kuwa watuhumiwa wa makosa ya jinai mahakama za mwanzo waww wanajidhamini wenyewe Tatizo limekuja kuwa gumu baada ya wanaojidhamini mahakamani kutorudi tena na kutokomea kusikojulikana. Ingawa alielekeza kuwa kesi ziendelee upande mmoja...
  12. W

    JamiiForums Tanzania Msafara wa ndege za kivita za Marekani waelekea Mashariki ya kati baada ya Trump kutoa agizo la dharura raia wa Iran kuondoka Tehran, foleni imeshona

    Baada ya agizo la Dharura, Foleni ya kuondoka Tehran imekuwa ni kubwa sana, Trump kalazimika kukatisha mkutano unaoendelea nchini Canada wa G7 na kurudi haraka Marekani, Amewaagiza wajumbe wa Baraza la Usalama wa Taifa (NSC) wawe tayari kwenye chumba cha dharura (Situation Room)...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Benjamin Netanyau aliagiza Iran itandikwe kuanzia November 2024 agizo litekekezwe kabla ya April 2025

    Wadau hamjamboni nyote. Advertisement Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, amesema katika taarifa ya video kuwa agizo la kuangamiza mpango wa nyuklia wa Iran lilitolewa mwezi Novemba 2024, na ameahidi kutoa taarifa za video kila siku pale itakapowezekana. "Agizo hilo lilitolewa muda...
  14. Setfree

    JamiiForums Tanzania Mungu amekataza wanaume kuvaa kofia wanaposali. Kwanini wanaume hawa wanakaidi agizo la Mungu?

    Je, ni sahihi kwa mwanaume kuvaa kofia au kufunika kichwa chake anapokuwa katika ibada? Biblia inalo jibu la wazi kabisa. Katika 1 Wakorintho 11:4, Mtume Paulo anaandika: “Kila mwanamume, asalipo, au anapotoa unabii, naye amefunikwa kichwa, anaaibisha kichwa chake... Kwa maana kweli haimpasi...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini aliyetweet kumtishia F Kitima police hawakumkamata hadi waziri atoe agizo? Kwani hawakuiona ile tweet?

    Moja ya vitu vinanishangaza sana ni namna mambo fulani hufanywa na vyombo vyetu hasa vya usalama. Mimi ninaamini kuwa police wana wataalamu wa intelejensia wa hali ya juu sana. Na sina hakika kwamba huyu waziri wa mambo ya ndani ni mbobevu kwenye mambo ya kiusalama kuliko wataalamu...
  16. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania Sikukuu ilikuwa April 21, Mh Rais akatoa agizo kuwa mishahara ilipwe kuanzia April 14 2023 na ikawezekana vipi Pasaka mwaka huu, wamelipwa?

    Mwaka 2023 uko Zanzibar Mh Rais alitoa agizo mishahara ilipwe kuanzia April 14 Ili sikuu ya Eid watu wawe na pesa na kuweza furahia sikuu kwani sikuu ilikuwa April 21, 2023 na ikawezekana wakalipwa Je mwaka huu pasaka inadondokea tarehe 20 je wamelipwa
  17. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Trump kusaini agizo la kuachana na mirija ya karatasi, kurudisha mirija ya plastiki

    Wakuu, Kwa uncle Trump huko ji bandika bandua, kila siku anakuja na agizo jipya, mpaka Wamarekani watajuta kumfahamu. ==== Trump akimjibu chawa Musk kupitia ukurasa wake wa X baada ya kububujikwa na machozi ya furaha kwa kuambiwa yeye ni rais bora kabisa, amejibu kwa kusema kuwa atasaini...
  18. Harvey Specter

    JamiiForums Tanzania Sudan Kusini imetoa agizo la kuzuia upatikanaji wa mitandao ya kijamii nchini

    Serikali ya Sudan Kusini imetoa agizo la kuzuia upatikanaji wa mitandao ya kijamii ikiwamo Facebook na Tiktok nchini humo kwa muda wa hadi miezi mitatu, huku ikitegemea udhibiti wa maudhui. Agizo hilo limetolewa na Mamlaka ya Kitaifa ya Mawasiliano ya Sudan Kusini (NCA) Jumatano Januari 22...
  19. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Agizo la kwanza la Trump kwa Zelensky kwamba ajikite kwenye kutafuta amani siyo yale maeneo

    Habari njema hii bwana Trump ampa maelezo Zelesky ajikite kutafuta amani na siyo kurudisha maeneo Kwa hiyo Yale majimbo ya kilimo cha ngano baibai Kwa heri ya kuonana na bandari ya kimkakati Kwa heri. Best wishes Mr Trump.
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Wiki moja baada ya agizo la RC Kilimanjaro: Wizi wa Vitabu vya Majina ya Wakazi, Polisi mmefikia wapi?

    Ni zaidi ya Wiki moja sasa tangu Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu, alipotoa agizo kwa Jeshi la Polisi kuwasaka na kuwachukulia hatua wale waliohusika katika wizi wa vitabu vya majina ya wakazi katika kituo cha Josho, kijiji cha Kikelelwa, wilayani Rombo. Tangu wakati huo, hakuna taarifa...
Back
Top Bottom