Ummy Ally Mwalimu (born 5 September 1973) is a Tanzanian politician belonging to the ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM) party. She has been Minister of Health, Community Development, Gender, Seniors and Children in the Cabinet of Tanzania since 2015. She is a two-term Member of Parliament, appointed to a seat reserved for women.
Ummy Mwalimu afunguka mazito baada ya kuteuliwa na Rais Samia;
Alichokiandika katika akaunti yake ya X
Alhamdullilah. Sifa zote njema ni za Mwenyezi Mungu.
Kwa shukrani za dhati, heshima, na unyenyekevu mkubwa, ninamshukuru kwa dhati Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu, Rais wa Jamhuri ya Muungano...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa Mara Ya Kwanza Mheshimiwa Ummy Mwalimu ameonekana Ikulu akiwa pamoja na Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha reli, shujaa wa Afrika na jasiri Muongoza njia.
Hii ni Baada ya kupita Siku chache Tangia Kuteuliwa Kwake...
Watanzania wengi wameshangilia ujio wa Mhe.Ummy Mwalimu a.k.a ODO hivi sasa akiwa mtumishi mwandamizi kumsaidia Rais Samia.
Ni ukweli usiopingika kuwa mwanasheria huyu na mbunge mstaafu anao uzoefu mkubwa katika sekta ya afya na pia uzoefu wa kipekee katika kutambua changamoto za afya hususani...
Mimi sio Ccm
Niwasalimie kwanza; chei chei
Sihusiani na CCM wala siopendi lakini nimependa utulivu wa yule mama na utulivu wake baada ya kutenguliwa
Ukizingatia na skendo aliyokuwa akihusishwa nayo.. ni mbovu sana kila mtu anaijua
Lakini pamoja na hayo yote alionesha heshima na utulivu...
Wakuu,
Naona Bi. Mkubwa kaona anakosa wa kupiga nae umbea na kushangilia mambo MAZURI ya uongozi wake, akaona amvute Oddo ake karibu, sasa amebaki Makamba kumsaidia kuua hizo team ndani ya chama😌😌
====
Rais Samia amefanya uteuzi wa Mshauri wa Rais.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na...
Baada ya kueenea kwa taarifa juu ya kuzuiwa kwa Aliyewahi kuwa waziri wa Afya Ummy Mwalimu kutoka nje ya Nchi amevunja ukimya nakusema kuwa "Nawashukuru wote walionifikia kutaka kujua ukweli kuhusu hii. Ni uzushi. Ipuuzwe. Nipo OK. Alhamdulillah".
JamiiCheck imefuatilia Taarifa hii na kujiridhisha kuwa si ya kweli
Sasa ni mwendo wa kuwekana vikwazo.
Walivyoona CHADEMA inafanyiwa figusi walijua itakuwa kwa CHADEMA.
Unaambiwa watu wanataka kutoroka kabisa kama ana kamatwa fulani na kuwekwa ndani itakuwa mimi.
Haya kazi kwenu mtachagua...
Hao hao CCM wanaokupa madaraka wanajiuliza mpiga kura wako Mzee kibao ambaye alipotea na wewe ukanyamaza. Sasa leo hii unategemea watakuamini vipi. Binadamu wanaogopa watu ambao wanafanya kila kitu hata kuficha hisia zao kwasababu ya kupata cheo
Mifano IGP Mangu alikataa kumpeleleza bila...
Aliyekuwa Waziri kwa Serikali za awamu tatu na Mbunge wa jimbo la Tanga kwa tiketi ya CCM Ummy Mwalimu, amesema roho yake nyeupe hata kama jina lake limeenguliwa na badala yake ataambatana na aliyeteuliwa kuhakikisha anapata nafasi ya Ubunge ili aweze kuendeleza miradi ya maendeleo aliyoiasisi.
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Tanga, Ummy Mwalimu, amehudhuria uzinduzi wa kampeni za kumnadi na kumuombea kura ya ndiyo Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Samia Suluhu Hassan, pamoja na Mgombea Ubunge wa CCM katika Jimbo la Tanga, Kassim Amar M’baraka (Makubel), katika mkutano uliofanyika katika...
Umy tulia dada yangu, CCM ina kazi nyingi sana. CCM ni serikali ndani ya serikali, ina macho na masikio mengi na mikono mingi sana. Sema kweli kama hukutoa chochote kwa wajumbe hawa.
https://www.youtube.com/live/4gphFo1NSv0?si=0wN2U524hCofQHh4
Baada ya Ummy Mwalimu baada ya Jina lake kukatwa kwe Ubunge Tanga Mjini, amesema ni wakati wa kumuunga Mkono Kassim Amar Mbaraka (Makubel) na kumpa kura za ndio Rais Samia
Na Ummy Mwalimu kutoka kwenye ukurasa wake mtandao wa Instagram
Alhamdulillah ala kulli hal. Nimepokea uamuzi wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) kwa moyo wa shukrani. Quran Tukufu inatufundisha kuwa Allah ndie mpangaji na alipangalo ni bora kwetu. ALHAMDULILLAH.
----
Ndugu zangu wanaTanga...
WATANZANIA VIGEU GEU SANA
nI SISI TUMEKUWA TUKILALAMIKA
VIONGOZI WAMEKUWA VINGANGANIZI
HAWATAKI KUPUMZIKA
TOKA JANA NAONA MITANDAON KILA MTU.UMMY OOR UMMY. OOH WANANCHI WAMERUDISHA KADI WANAMTAKA UMMY
NYIE WATU AMEKUWA MSAAFU AMA BIBLIA HABADILISHWI
PLS EMBU MKUBALIANE NA MAAMUZI SAHIHII...
Wilayani Tanga, hali ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imefikia kiwango cha juu cha mvutano baada ya wanachama wa chama hicho kuandamana kwa umakini na kutangaza kurejesha kadi zao za uanachama. Chanzo cha malalamiko ni uamuzi wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kumtangaza Kassim Amari Mbaraka kuwa...
Nimesima kwa jicho la tatu na kuona ni kama kushtaki kwa wananchi badala ya kushukuru. Umeandika siyo kwa unyenyekevu au kukubali maamuzi ya kamati kuu na hiyo ni ishara isiyo nzuri Tambua kuwa Mamlaka yako ni katibu mkuu wa CCM na ndiye mdhamini wako mkuu mbele ya wananchi ambao unawashukuru...
Alhamdulillah ala kulli hal. Nimepokea uamuzi wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kwa moyo wa shukrani. Quran Tukufu inatufundisha kuwa Allah ndie mpangaji na alipangalo ni bora kwetu. ALHAMDULILLAH.
----
Ndugu zangu wanaTanga Mjini,
Nitumie fursa hii kuwashukuru kwa kuniamini kuwa Mbunge wenu kwa...
Chama tawala nchini Tanzania, CCM, kimehitimisha mchakato wa uteuzi wa wagombea wake wa ubunge kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025, ambapo matokeo yake yameibua mshangao baada ya baadhi ya majina makubwa kuachwa nje na sura mpya kuteuliwa.
Katika mabadiliko hayo, aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.