tozo za miamala

No Wikipedia entry exists for this tag
 1. Nyankurungu2020

  Je, mkopo wa tril 1.3 wote umetumika kujengea madarasa? Vipi kuhusu madarasa yaliyokuwa yanajengwa kwa tozo za miamala? Ukaguzi ufanyike tupate ukwel

  Ni suala ambalo watanzania bado linawaumiza kichwa maana kwa tozo tunazokamuliwa alafu tukaambiwa na Ummy Mwalimu kuwa tozo zinatumika kujenga madarasa, zahanati vituo vya afya na kununua vifaa tiba. Ghafla bin vuu tukasikia ili kukabiliana na uhaba wa madarasa mkopo wa Uviko upatao tril 1.3...
 2. Uzalendo Wa Kitanzania

  Fedha za kugharamia bima ya afya kwa wote zikusanywe kupitia tozo mpya kupitia malipo ya bili za maji

  Ndugu Watanzania kwa mazingira ya sasa Bima ya Afya ni hitaji la msingi kwa kila Mtanzania. Hata hivyo changamoto iliyopo ni hali ngumu ya Kiuchumi kwa Watanzania walio wengi. Naishauri Serikali iwasilishe muswada Bungeni wa Bima ya Afya kwa wote kupitia Tozo zitakazokusanywa kupitia malipo...
 3. Analogia Malenga

  Zitto: Tozo za miamala ziondolewe kwa sababu kuna hela ya IMF

  Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema tozo za miamala ziliwekwa na serikali katika bajeti ya serikali ya mwaka 2021/2022 ili kuwezesha ujenzi wa madarasa nchini. Hivi karibu Serikali imepata fedha kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa(IMF) ambazo zimetangazwa kutumika kujenga vituo na...
 4. nyboma

  Kulikoni? Msafara wa Rais Samia kuwa na magari yote haya, pia ulinzi wake umeongezeka maradufu

  Wale walioko Arusha na viunga vyake leo tumeshuhudia/kuona Mh. Raisi mama Samia Suluhu Hassan kaongezewa ulinzi mara dufu, tofouti na tulivyozoea na msafara wake umekuwa na ulinzi mkali na idadi kubwa ya askari na usalama wa taifa kitengo cha ulinzi. Pia msafara wake una magari zaidi ya 70...
 5. T

  Rais Samia: Mara baada ya sisi kuanzisha tozo ya mitandao ya simu, Serikali ya Uingereza nayo ikaanzisha

  Akihutubia wananchi mkoani Kilimanjaro mheshimiwa Rais amesema mara baada ya sisi kuanzisha tozo ya kwenye mitandao ya simu ambayo ilipigiwa kelele na wananchi wengi, na Serikali ya Uingereza nayo imeanzisha tozo kama hii. Kumbe mama anafanya vitu Hadi mataifa yaliyoendelea yanavikubali hadi...
 6. je parle

  Mabenki yaanza kukusanya Tozo za Serikali kwenye miamala wanayofanya wateja

  LEO NIMEPATA SMS KUTOKA NMB BANK IKISEMA IFUATAVYO: Ndugu Mteja, tunakusanya tozo ya serikali kwenye akaunti yako kwa miamala ya tarehe 8 Sep 2021 mpaka 6 Oct 2021. Unaweza hakiki kupitia taarifa ya akaunti. Ujumbe huo. Watanzania inafika point huna pakupumua kila sehemu tozo bank tozo kwenye...
 7. E

  Kwanini tozo za miamala zisitumike kuajiri walimu?

  Uhaba wa walimu kimekuwa kilio kikubwa na hatimaye kimegeuka wimbo wa taifa unaoimbwa kila kukicha. Juzi kwenye taarifa ya habari tumesikia mkoa wa geita ukilalamikia ukosefu wa walimu wa masomo ya sayansi. Ukienda shinyanga kilio ni hicho hicho, tabora kilio hicho hicho, ukienda kusini huko...
 8. Jidu La Mabambasi

  Watanzania tusiwe wanafiki, Tozo ni muhimu kwa upana wake

  Unafiki unatumaliza Watanzania. Kodi zilizokuwa zikitozwa na serikali ya Awamu ya Tano kwa wafanyabiashara na wajasiria mali, wengi waliitikia wakisema mafisadi hao au wahujumu uchumi. Kipindi cha Awamu ya Tano uonezi mwingi wa kupora, kunyang'anya, kubambika kodi na hata watu kuwekwa ndani na...
 9. Suley2019

  Mahakama Kuu imetupilia mbali pingamizi la Serikali dhidi ya Mwanaharakati wa tozo

  Mahakama Kuu imetupilia mbali pingamizi la awali Serikali dhidi ya maombi ya Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) ya kibali cha kufungua shauri la kupinga tozo kwenye miamala ya simu. Hata hivyo wakati mahakama hiyo ikitupa pingamizi la Serikali, pia imeyatupa maombi kama hayo...
 10. Prof Koboko

  Mliwashirikisha wananchi kuhusu Tozo kabla ya kuwakata?

  Tumefikia hatua ambayo serikali unalazimishwa wananchi kufanya itakacho, yaani mnaandaa mswada wa sheria kimya kimya kisha mnaupeleka bungeni kwakua mnajua udhaifu wa lile bunge inapitishwa mkaanza kuwalima Tozo wananchi bila ridhaa yao, huu ni uonevu uliokubuhu. Wananchi sasa hawana maamuzi...
 11. nduza

  Makusanyo ya tozo: Sasa serikali inafanyia nini hizi pesa?

  Salaam wakuu, Nimejaribu kutathmini kuhusu hii tozo na wataalamu zaidi watusaidie. Nimeskia takwimu zikisema kuwa kwa siku inafanyika miamala milion kumi nchi nzima kwa mitandao yote ya simu sasa tuassume kwamba katika miamala yote hiyo miamala laki mbili tu ni ya shilingi laki moja yani...
 12. Love Nuru

  Shida ya maji ndani ya tozo Morogoro Mjini

  Mamlaka husika i.e. Morowasa na mamlaka zenye mamlaka ya kuwawajibisha Morowasa tunaomba mtufikirie sisi wananchi Morogoro manisapaa, kata ya Kihonda-maghorafani. Ni wiki ya tatu sasa, maji hayajatoka katika mabomba yetu, kibaya zaidi hatujapewa taarifa yoyote kama kuna tatizo au ni uvivu tu...
 13. THE FIRST BORN

  Ukimya Wetu Watanzania ndio unaotuponza katika suala la Tozo na Katiba Mpya

  Nawasalimu Wakuu, Nianze pasipo kupoteza Muda. Kauli ya Serikali ya kusema kua Watanzania wamekubali Tozo haina tofauti hata kidogo na ile kauli yao waliyo toa wakisema Watanzania hawataki katiba mpya wakisema kipaumbele chao ni Maendeleo. Ifikie hatua tuseme kua tunaburuzwa sana kwa ukimya...
 14. beth

  Rais Samia: Tozo zitaendelea kuwepo

  Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi eneo la Tegeta Mkoani Dar es Salaam amesema Tozo zitaendelea kuwepo na hataki kuficha hilo Amesema, "Tuliweka tozo kwenye mambo ya fedha za mitandao, yamepigiwa kelele sana, nimesikia. Nimekaa na Wataalamu tumepunguza 30%. Miezi...
 15. ndenjii handsome

  Kabla ya kuleta hizi tozo Serikali pesa ilikuwa inatoa wapi?

  Hebu tufikirie kwa kina hili swala haiwezekani kwa nchi ya watu maskini kama Tanzania kuwawekea wananchi wako hizi tozo Kwanini tuendelee kumkandamiza mwananchi tozo kwa kizingizio cha kusema hela inaelekezwa kwenye miladi hii miladi mnayosemea mwanzon pesa mlikuwa mnatoa wapi? Maana...
 16. M

  Kumbe hata wana CCM wanalalamika?

  Nimepitia dukuduku na maoni katika kurasa tofauti tofauti za mitandao ya kijamii nimeona watanzania wote wanaongea lugha moja. Sioni tofauti kati ya wana CCM na wapinzani, wote wanalalamika. Wote wanalalamika kuhusu Tozo za miamala Bei za mafuta Maisha magumu Hamza kuitwa gaidi My take: Wana...
 17. Mfalme wa Genge

  Mama Samia Suluhu atoa Suluhu ya Tozo za Miamala

  Hakika Serikali ya Awamu ya Sita ina uongozi sikivu na madhubiti wenye kujali wananchi wake kwa kuhakikisha huduma za kijamii na miundombinu safi inapatikana. Katika kufanikisha hilo serikali mwanzoni mwa mwaka wa fedha 2021/2022 ilileta tozo katika miamala ya simu na kukusanya Bilioni 63 hadi...
 18. mwengeso

  Tozo kwenye miamala ya fedha irekebishwe

  Waziri wa Fedha akijibu swali "kwa nini anayetuma na anayepokea fedha wote wanatozwa?" Jibu lake limeacha swali lingine. Hakika anayepokea anapaswa kutozwa kwa kuwa anapata kipato. Anayetuma tayari atakuwa ametozwa pale alipopata hiyo fedha hivyo hastahili kutozwa tena. Kwa mfano alioutoa wa...
 19. Fantastic Beast

  Tozo ya uzalendo inatakiwa isizidi gharama za muamala, iwe 'fixed', iwe na muda maalum na iwe hiari

  Haya ni maoni yangu juu ya hii tozo ya uzalendo (Ingawaje hili jina limekaa fyongo sana, kwa nini unitoze kwa sababu mimi ni mzalendo?): Serikali hasa wizara husika inapaswa kuweka benchmark/fixed rate ambayo kila mzalendo atakatwa kiwango sawa bila kujali kiwango cha muamala anaofanya...
 20. Suley2019

  Waziri Mwigulu Nchemba: Rais Samia Suluhu Hassan amepunguza tozo za miamala ya simu ili zisiwaathiri vijana wengi waliojiajiri kwenye huduma za fedha

  Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Rais Samia Suluhu Hassan amepunguza tozo za miamala ya simu ili zisiwaathiri vijana wengi waliojiajiri kwenye huduma za fedha kwa njia ya simu. Amewataka Watanzania kutochukulia tozo kama uhasama, bali njia ya kuboresha maisha yao. Rais Samia Suluhu...
Top Bottom