Kumekuwa na mambo ya kutoridhisha yanayoendelea katika hospitali ya MZENGA, katika Kata ya Mzenga mkoani Pwani, kufuatia malalamiko mazito kutoka kwa wananchi kuhusu utozaji wa fedha kinyume cha taratibu kwa watumiaji wa Bima ya Afya, uzembe wa baadhi ya wauguzi, na ubadhirifu wa dawa za...
📌Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) kwa kushirikiana na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma wanakuletea Kambi maalumu ya huduma za ubingwa na ubobezi za uchunguzi na matibabu ya magonjwa, itakayofanyika katika Viwanja vya Soko la Machinga (Bahi Road) kuanzia Oct 8 - 12, 2026, walengwa katika kambi...
Kwa mtazamo wa kawaida, unaweza kufikiri hivi:
“Mwanamke anayependa mali akijua kwamba mume wake amegundulika na ugonjwa hatari unaoweza kusababisha kifo, kwa nini asifurahi kimoyomoyo na kusubiri tu? Mume akifa, anarithi mali kirahisi.”
Lakini hapa ndipo kuna upande mwingine wa hesabu ambao...
divorce
gharama
gharama za matibabu
habari
hawezi
hivyo
huwa
jamii
jicho
kijamii
kinga
kulinda
kuomba
kupunguza
kuugua
kuvunja
kuvunja ndoa
maamuzi
mali
matibabu
mume
mume wake
mwanamke
ndoa
ndugu
talaka
ugonjwa
wake
Sambhav Jain alikuwa na miaka 28 tu.
Aliwahi kuwa mume, baba, na mwana ambaye alijaribu kubeba majukumu yake yote kwa nguvu zake zote..
Alisoma kwa bidi, Alijituma, Alijenga ujuzi wake hadi akawa Software Engineer, Kazi kama hiyo haiji tu na kukaa ukisubiri.
Alioa mwaka 2023, na baadaye...
Mke wangu ana matatizo ya mcho ya kuona mbali aliwahi kuugua macho akapona kama miaka 8 imepita.
Sasa nimejaribu kufatilia kidogo nikasikia kitu kinaitwa mtoto wa jicho na matibabu yake ni kubadilishiwa lensi tu.
Basi shida yangu nataka kujua makadirio ya matibabu yanaweza kufikia kiasi gani...
Khabari ndugu zangu wana bodi.
Kichwa cha khabari cha husika.
Nina ulemavu wa miguu nilio upata kwa ajali.Nime fanyiwa upasuaji mara 2 lakini bado yana hitajika matibabu mengi ya garama ila bahti mbaya khali yangu ni duni sana.
Anaye jua tahasisi au sehemu nina weza kupata msaada wa matibabu...
Familia moja ya Kimilili, Bungoma County, inataka majibu baada ya kudai kuwa kipande cha cannula kilivunjika na kubaki ndani ya shingo ya mtoto wao wakati akipokea matibabu katika Kory Family Hospital.
Cannula ni bomba dogo, jembamba na laini linalowekwa kwenye mshipa ili kuruhusu dawa, maji ya...
Wanaukumbi.
John Wegesa Heche na ndugu yake Emmanuel Chacha Heche walikwenda matibabu India kwa gharama za watu mnaowaaminisha ni wabaya. Mtu akiwa mbaya angewamalizia Heche na ndugu yake India wakati wa matibabu yao.
Heche na familia yake wanaendelea kupata matibabu huku wakiwadanganya...
👉John Wegesa Heche na ndugu yake Emmanuel Chacha Heche walikwenda matibabu India kwa gharama za watu mnaowaaminisha ni wabaya. Mtu akiwa mbaya angewamalizia Heche na ndugu yake India wakati wa matibabu yao.
👉Heche na familia yake wanaendelea kupata matibabu huku wakiwadanganya Watanzania kuwa...
Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imeendelea kujiandaa kutoa huduma bora za kibingwa na kibobezi wakati wa Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027, ambapo imeendesha mafunzo ya upasuaji wa magoti kwa njia ya matundu madogo kwa kushirikiana na wataalam kutoka...
Mamia ya wananchi wamejitokeza kupata huduma katika Kambi Maalum ya Matibabu ya Macho inayoendeshwa na madaktari bingwa kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH)kwa kushirikiana na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Qatar Charity ambapo Septemba 01, 2026 huduma hizo zimeanza kutolewa rasmi...
Hiki kitu huwa najiuliza sana na nimekutana na hii changamoto vituo vingi sana hasa vya serikali yaan unatibiwa lakini unacho toka nacho ni dawa basi lakini taarifa zingine za maandishi wanabaki nazo wao na hata daftari walilo kuandikia dawa na maelezo ya matibabu wanabaki nalo wao.
Sasa...
Meno yaliyopangwa vibaya siyo tiba yake kuyang'oa kienyeji.
Meno yenye mpangilio usio sahihi yanaweza kurekebishwa kwa njia ya kitaalamu iitwayo Orthodontic Treatment (Matibabu ya Mpangilio wa Meno).
Matibabu haya hufanyika kwa kuweka brackets (vichuma maalumu) kwenye meno na kuunganisha kwa...
Uzee ni kitu hakikwepeki. Lakini tafiti za kibotani(elimu ya mimea) zimefatilia jamii zinazotumia mimea ifuatayo na kukuta wazee wa jamii hiyo wakiwa na uwezo mkubwa wa kufurahia uzee wao ,kwa Tanzania mimea hii hupatikana Kilimanajro na ukanda wa pwani.
1. Matatizo ya aina yoyote ya kuumwa...
Meno ya utotoni – yana umuhimu mkubwa kuliko unavyofikiri.
Wazazi wengi hudhani kuwa meno ya utotoni hayana umuhimu kwa sababu baadaye yatang'oka na kuota meno ya ukubwani. Kutokana na imani hiyo, wengine husubiri meno yakioza kabisa ndipo wampeleke mtoto kwa daktari wa kinywa na meno ili...
Miaka hii miwili nilikuwa maeneo ya vijijini basi katika zunguka yangu huko nilikutana na wazee kadhaa huko wakiugulia huu ugonjwa uitwao Tezi dume.
Baadhi ya wazee niliongea nao Waliniambia ya kuwa wana tatizo Hilo Kwa muda mrefu ila ni kuwa hawana fedha Kwa ajili ya kwenda kufanya upasuaji...
Miaka hii miwili nilikuwa maeneo ya vijijini basi katika zunguka yangu huko nilikutana na wazee kadhaa huko wakiugulia huu ugonjwa uitwao Tezi dume.
Baadhi ya wazee niliongea nao Waliniambia ya kuwa wana tatizo Hilo Kwa muda mrefu ila ni kuwa hawana fedha Kwa ajili ya kwenda kufanya upasuaji...
Wauguzi wa Chumba cha Upasuaji kutoka Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) wameendelea kupatiwa mafunzo ya kuwakumbusha misingi na kanuni za matumizi sahihi ya vipandikizi vinavyotumika katika matibabu ya mivunjiko ya mifupa, ikiwa ni sehemu ya programu endelevu inayodhaminiwa na...
Milion Tatu za Maandalizi ya Mazishi Yako Zitapatikana Kwa Haraka Kuliko Laki Tatu za Mchango wa Matibu Yako.
Jamii ya Leo Kuna Ndugu Yao Anaweza Kua Anapitia Kipindi Kigumu Sana Katika Matibabu Yake na Kupelekea Kuomba Msaada wa Pesa Ili Aendelee Kupata Matibabu Ajabu Ndugu Hao Watashindwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.