Kwanza kabisa niseme mimi binafsi sifurahii kabisa pale mtu anapokufa.Sifurahii zaidi pale anapokufa bila kutubu.Hata hivyo kuna desturi imejitokeza hapa nchini ya watu kufurahia watu wanapokufa.Ni desturi mbaya na ambayo sio ya kistaarabu.Hata hivyo kuna desturi mbaya zaidi ya viongozi kujaribu...
Serikali mnataka kulazimisha Watanzania wote tuache kazi na kusikitika nanyi kupoteza marafiki wenu lakini watanzania wengi hatuna muda tunataka democracy na katiba mpya.
Hatuta waonea huruma viongozi walio ingia kwa wizi wa kura, kunyanyasa watanzania masikini, kuunga mkono mafisadi wakati...
Punguzen haya mambo mnaonekaana vituko na usaniii
Yaan kila.mtu akienda misiba ya wakubwa anataka vid anataka picha arushe fb nani anahitaji picha zenu kwenye fb ama vid zenu
Kufika n inada uhitaji kutujuza umefika msiban mbona amtuambii na michango.mmetoa sh ngapi???
Kuna kichekesho...
Hakuna mtu anayepinga kuwa kulitokea uhalifu kipindi watu wanaukataa utawala wa Rais Samia ile oktoba 29.
Lakini swali la msingi je hawa wahalifu walikuwa na siraha za kivita? Shoot to kill ikatokea na watu wengi wakapoteza maisha.
Polisi wamechukiwa na wameonekana hawana mioyo ya kibinadamu...
siku moja majira ya jioni ya saa kumi na nusu hivi kwenye mtaa wa Bani hashem katikati ya jiji la Tehran, walionekana watu wawili wakiwa wamebebana kwenye pikipiki. Baada ya kumkaribia mtu fulani aliyekuwa akijiandaa kuingia kwake baada ya kutoka kazini, walichomoa bastola zilizofungwa silencer...
Watu tuliowapa dhamana ya kutulinda, mali zetu, mipaka yetu, usalama wetu kiujumla na kutuletea maendeleo ndio hao hao wamegeuka kufanya mauaji ya halaiki.
Kama haitoshi wamefungia mitandao kama huu wa jamii forums, wameua watoto wasio na hatia, vijana na akina mama waliokuwa wametulia...
Hapo ndipo utajua watoto wa nje wa baba na wale wanaosadikika kuwa ni wake kwa maana baba alipita na mke wa mtu,
Utawajua wadeni wake kila mara wanakuwa karibu na mke wake au kaka zake marehemu,
michepuko yake inakuwa around kama wataweza kugawiwa chochote.
Kuna wale speculators: wanaomchukia...
MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Vwawa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Japhet Hasunga, amesema akichaguliwa ataendelea kutoa huduma ya gari la kusafirisha miili ya marehemu wanaofariki dunia ndani ya jimbo lake ili kuwapunguzia gharama wafiwa.
Aidha Hasunga amesema akichaguliwa tena ataongeza...
Kuna kitu huwa sikielewi labda kwa sababu bado mdogo ila baada ya kuzika kuna vile vikao vinafanyika wanandugu kufahamiana ila naonaga vyote
NI mwendo wa Ku change ana Tu yaani fujofujo,kutoelewana,kurushiana maneno,kupeana lawama.
Je ndo mambo ya desturi na Mila lazima iwe hivo au lengo la...
Kumekuwa na mwendelezo wa watu kushangilia pale anapofariki kiongozi. Mwendelezo huo umeonekana kwa Job Ndugai, aliyewahi kuwa spika wa bunge la Tanzania.
Sababu kuu ni siasa peke yake au kuna mengine?
https://youtu.be/_Djc1K7gyi8?si=3xf8Ix2eKiK0Qm0Q
Wakuu!
Kumekuwa na matukio ya baadhi ya watumiaji wa mitandao ya kijamii kushangilia pale wasanii na viongozi wa Kisiasa wanapopata misiba. Hivi nini chanzo cha kufurahia?
Tukisema kwamba watu sasa hv watu wanakufa Sana wanakuja ma Great thinkers wanasema hapana misiba iko Tu daily.Ni kweli vifo viko kila siku kila saa ila kwanini kuna pindi habari zake zina trend kuliko kawaida kwa mfano sasa hv tuseme kuanzia mwezi wa sita kwa mimi BINAFSI mitaani na Katika...
Ni mawazo tu, misiba itayotokea miaka kumi ijayo haitakuwa huzuni itakuwa ni furaha. Miaka hiyo ndio watakufa hawa walipo sasa ambao hawana jema la kufanya tuhuzunike sisi Gen Z. Ile kauli ya "kufa ndio usemwe vizuri haitakuwepo" Gen Z watafurahi wakisema "bora amekufa alifanya kibaya hiki na...
Hii mambo ya kupiga picha makaburi na kujirekodi tukiwa misibani naona haijakaa sawa. Siku hizi ni kama watu wanaenda kwenye fashion show sio kuzika tena
Mwanaharakati Maria Sarungi ambaye ni Mtoto wa marehemu Prof. Philemon Sarungi amesema miongoni mwa sababu iliyomfanya kushindwa kuhudhuria mazishi ya baba yake ni pamoja na Suala zima la Usalama wake.
Maria amesema hayo leo Machi 10, 2025 wakati alipotoa salaam kwa njia ya mtandao wakati wa...
Mzee mmoja amefariki na M/Mungu alimjaalia kweli enzi za uhai wake mali kweli kweli za kutosha, katika kujumuika na nzengo Mzee hakuwa na historia ya kuhudhuria misiba ya wengine na hata kushiriki tu hakuwa anafanya hivyo enzi za uhai wake kabisa na hakuwa anajali.
Sasa ya Mungu mengi bwana leo...
Nipo nacheki hapa msiba wa Ndugulile, kuacha watoto wawili tu, pamoja alikuwa ana uwezo wa kipesa na cheo lakini kaishia kwenye watoto wawili, watoto wawili hawa naona kawakuza na kuwasomesha kwenye shule za gharama inawezekana nje ya nchi maana hata Kiswahili chao ni broken sana wanakuwa kama...
Unaweza kucheza na vyote lakini sio msiba.. Misiba Afrika ni kama mila na desturi.. Ni utamaduni wenye nguvu bado
Kuna muunganiko wa ajabu na wenye nguvu sana kwenye mila na desturi za Kiafrika na wageni wanautamani lakini hawawezi tena maana walishaharibu
Nadhani ndio chimbuko la Ubhuntu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.