miamala

No Wikipedia entry exists for this tag
 1. comte

  Kenya wenye katiba mpya na ambapo tozo la miamala halipo nako diseli na petroli imepanda bei

  Kenyans voice fury over fuel price hikes Kenyans voiced fury on Thursday at a jump in fuel prices, which threaten to pile on the misery for a population already suffering economic hardship because of the Covid-19 pandemic. Fuel prices are now at record levels after the country's energy...
 2. E

  Kwanini tozo za miamala zisitumike kuajiri walimu?

  Uhaba wa walimu kimekuwa kilio kikubwa na hatimaye kimegeuka wimbo wa taifa unaoimbwa kila kukicha. Juzi kwenye taarifa ya habari tumesikia mkoa wa geita ukilalamikia ukosefu wa walimu wa masomo ya sayansi. Ukienda shinyanga kilio ni hicho hicho, tabora kilio hicho hicho, ukienda kusini huko...
 3. Jacobus

  Miamala mipya vipi?

  Nimetoka sasa hivi kwa wakala nikiwa na azma ya kutuma pesa, nimemuuliza miamala mipya tayari? Kanijibu bado. Nimeghairi kutuma pesa.
 4. Mfalme wa Genge

  Mama Samia Suluhu atoa Suluhu ya Tozo za Miamala

  Hakika Serikali ya Awamu ya Sita ina uongozi sikivu na madhubiti wenye kujali wananchi wake kwa kuhakikisha huduma za kijamii na miundombinu safi inapatikana. Katika kufanikisha hilo serikali mwanzoni mwa mwaka wa fedha 2021/2022 ilileta tozo katika miamala ya simu na kukusanya Bilioni 63 hadi...
 5. Suley2019

  Waziri Mwigulu: Watu milioni 30 wanaofanya miamala ya Sh1 hadi Sh999 kwa siku hawakukatwa tozo ya kutuma na kutoa fedha

  Serikali ya Tanzania imesema watu milioni 30 wanaofanya miamala ya Sh1 hadi Sh999 kwa siku hawakukatwa tozo ya kutuma na kutoa fedha. Hayo yamesemwa leo Septemba mosi, 2021 na Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba katika mkutano wake na wanahabari akibainisha kuwa lengo ni...
 6. T

  Waziri Mwigulu: Serikali imekusanya Tsh Bilioni 63 tozo miamala ya simu, zitajenga vituo vya afya 220 kwenye tarafa

  Toka tozo za miamala ya simu ianze bilioni 63 zimekusanywa na tayari Serikali imeshapeleka fedha kujenga vituo vya afya 220 kwenye tarafa zote zisizokuwa na vituo vya afya kabisa. Hakuna tarafa yoyote nchi nzima ambayo haitakuwa na kituo cha afya kwasasa. Kodi yetu imeleta matokeo, Watanzania...
 7. Emanuel Eckson

  Tozo za miamala zapungwa kwa 40%

  Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Agosti 31, 2021 ametia saini mabadiliko ya tozo za miamala ambapo serikali imepunguza 30% na makampuni ya simu Kupunguza 10% kutoka kwenye gharama za awali za ufanyaji wa miamala.
 8. beth

  Tozo za Miamala: Serikali yapunguza viwango kwa 30%. Watoa huduma za simu waridhia kupunguza 10%

  Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amesaini marekebisho ya Kanuni za Tozo za Miamala ya kutuma na kutoa Fedha na kupunguza viwango vya tozo kwa 30% Pia Serikali imejadiliana na watoa huduma za simu ambao nao wameridhia kupunguza viwango vya tozo wanazotoza kati ya mtandao na mtandao mwingine kwa...
 9. OEDIPUS

  Tozo za miamala inaathiri sera ya fedha kwa kuathiri 'financial inclusion'

 10. Sky Eclat

  Ucheleweshaji wa miamala ulioletwa na tozo ni kero

  Tozo la miamala limepitishwa na bunge, kwa unyonge tunaishi nalo. Kero ikiyopo ni ucheleweshwaji wa miamala mpaka wakate tozo lao. Wengi tunatumia njia mbadala kutuma pesa ingawa zina usumbufu katika muda na usalama. Juzi nimepata dharura ilibidi nirushe pesa iwafikie walengwa. Mpaka leo...
 11. BAK

  Askofu Bagonza aandika kuhusu tozo za miamala na kodi ya majengo

  TOZO YA MIAMALA na KODI YA MAJENGO. Mwigulu Ayaone haya: 1. Wasamaria wema wamemuokota aliyegongwa na gari barabarani. Wakamkimbiza hospitali. Daktari anataka laki tatu kumtibu. Linaundwa group kuchangisha. Serikali inakata tozo badala ya kulipia matibabu ya raia wake! 2. Wawili wamependana...
 12. J

  Naibu Spika: Bunge litapitia Kanuni za Tozo za Miamala zilizoandaliwa na Waziri wa Fedha kuona kama hazikiuki Sheria!

  Naibu Spika Dr Tulia Ackson amesema bunge litazipitia kanuni za sheria ya tozo za miamala ya simu zilizoandaliwa na waziri wa fedha ili kujiridhisha kama hazikinzani kazi itakayofanywa na kamati ya sheria ndogo ya bunge. Endapo itaonekana kanuni ziko sawa basi sheria itapelekwa kwenye bunge...
 13. Erythrocyte

  Serikali ya Rwanda yaondoa Tozo kwenye miamala ya benki kwenda mitandao ya simu kuwalinda watumiaji

  Hii hapa taarifa kamili. Mungu ibariki Rwanda. ================ No charges and fees will henceforth be incurred when transferring funds from one’s bank account to their mobile money wallet and vice versa (push and pull charges). The Central Bank has scrapped costs in their latest directive...
 14. D

  Ukoloni wa miamala haukubaliki; wananchi tukiwa na msimamo tunaweza kuupinga kwa nguvu utapeli huu; Kapu la VAT 18% linatosha wagawane huko

  Baadhi ya mambo ukiyatafakali yanadhihilisha wazi baina yetu bado tuna imani za kikoloni kichwani! Elimu haijatukomboa kabisa, hatuna ubunifu kichwani kabisa! Ni bure kabisa! Hivi kazi ya VAT ni nini? Na matumizi ya fedha hiyo ni yepi? Hivi kuna sababu gani ya mimi kukatwa 18%ya VAT, Halafu...
 15. wajingawatu

  Makusanyo ya tozo ya miamala 48bn ndani ya siku 45. Je, hii kweli?

  Mwenye ufahamu wa kiasi cha pesa kinachotumwa/kupokelewa kwa mwezi kwenye mtandao ya simu atuwekee hapa ili tuujue ukweli au uongo wa Madelu kuweza kutukamua 48bn. ndani ya siku 45
 16. Kasomi

  Mimi si Mwanasiasa, ila kwenye hili la Tozo hapana

  Wakuu najua uzima upo wa kutosha sema mtakuwa na stress za Tozo tu nyie. Baada ya kuwasalimu ngoja kidogo na mimi nitie neno. Binafsi mimi si Mwanasiasa wala sijawahi kushabikia chama ila kwenye hili ngoja na mimi nilopoke kidogo. Awamu hii ya sita ambayo inaongozwa na mama shupavu kwango kama...
 17. Sky Eclat

  Maisha ya wakatwa tozo la miamala katika picha

 18. BAK

  Kususia kutumia miamala kuendelee

  Mapato ya kodi ya miamala yalitakiwa yawe 137.5 billions kwa mwezi lakini wamekusanya bilioni 48 tu chini ya nusu ya mapato yaliyostahili. KUSUSIA MIAMALA KUENDELEE. Mkumbukushe ndugu yako, jirani yako na rafiki yako.
 19. kavulata

  Tozo za miamala ni njia ya kufidia pesa zinazokujenga miradi kama Burigi National Park na Ikulu Dodoma?

  Ingekuwa sawa kama ongezeko la tozo za miamala na mafuta kwa wanyonge lingelenga kwenda kununua meli kubwa za uvuvi ili tuvue kisasa kwenye kina kirefu, kununua matrekta kwa wakulima ili walime mashamba makubwa, kuchimba madini ya kimkakati kama chuma au kusambaza nishati ya gesi nchini ili watu...
 20. Roving Journalist

  Mwigulu Nchemba: Serikali imekusanya bilioni 48 kutoka kwenye Tozo za miamala ya simu kwa wiki nne

  Wakuu, Waziri wa Fedha, Dr Mwigulu Nchemba anazungumza na waandishi wa habari muda huu kuhusu miradi ya Serikali pamoja na Tozo za miamala ya simu pamoja na mafuta. Kuwa nami kukujuza yanayojiri ========== Mwigulu Nchemba-Waziri wa Fedha na Mipango =▷ Itakuwa aibu mtanzania yoyote alie hai...
Top Bottom