kula

Kula - kitendo cha kuingiza kitu kinywani (hasa chakula) kwa lengo la kupoza njaa
  1. Mwachiluwi

    PISHI: Dagaa nyasa na mnafu unaweza kula na ugali

    Hellow Leo nikapata dagaa nyasa wangoni nipo tayari kunikosoa kama nimepika sivyo Kwanza mimi nikawatoa vichwa dagaa Kisha nika waweka jikoni kuwachemsha kwanza lazima uwachemshe vinginevyo huwezi kula Baada ya kuchemsha kwa mda nikawaipua na kuwa weka kwenye chombo Baada ya hapo...
  2. navigator msomi

    Nikapige kozi gani ya afya nimechoka kula chaki

    Kichwa cha habari kimetosha kuelezea,kiufupi niko sehem napiga chaki kama mpumbavu kwa miaka 28 . Nataka badili kada no matter what kwani vigezo vyote vya kupata chuo ninavo
  3. Binti Sayuni03

    Kilichonitokea jana baada ya kuamka kula daku saa10, sitakuja kurudia

    Mliofunga kama mimi poleni na mfungo muda si mrefu tunafuturu, tuendelee kuwa wavumilivu. Juzi usiku nilikuwa nimepika futari nikala mida ya nne usiku nikasema ntaamka saa10 kula daku, nikaweka alarm ya saa kumi na nusu, kweli ilivyolia nikaamka kula. Hadi kufikia saa11 nikaingia kulala...
  4. B

    Biashara ya Mafuta ya kula yaliyotumika

    Wakuu naomba kufahamu kuhusu hii biashara nimekutana na tovuti ya kampuni ya kichina wanasafirisha haya mafuta hivyo nataka kufahamu wanaposource haya mafuta. je, inawezekana wanakusanya kwa hawa wauza chips, samaki n.k?msaada nitoe tongotongo. Katika kuperuzi nimeona mafuta haya hutumika...
  5. Navigator Paul

    Jamaa Angu Anatumia Dakika 40 Kula Daku

    Wakuuu Habari Za Sahivi, Aisee Mimi Ni Kijana Tupo Kwenye Utafutaji Wa Maisha Sasa Kuna Jamaa Angu. Harakati Zangu Nawahi Kuruudi Mapema Kabisa Napumzika Mapema Sio Mtu Wa Mambo Mengi Jamaa Ambaye Nimepanga Naye Tatizo Lake Moja Mimi Akirudi Huwa TAYARi Nakuwa Meshapumzika Ila Taa Huwa Inazimwa...
  6. P

    Unapambana Biashara Ikue Lakini Gharama ya mkaa ina kula faida

    Unapambana Biashara Ikue, Lakini Gharama ya Mkaa Inashusha Faida... Una Mpango Gani? Fikiria hivi kwa Kg 5 za Mkaa Utaweza Kupika Chakula Cha Kilo 30 kwa Wakati Mmoja ? Hii Inawezekana Kama Ukitumia Jiko Bomba La kg 30 ... Hili Ni Jiko Kubwa La Kupikia Chakula Mpaka 30kg Kwa Wakati Mmoja...
  7. madolaa

    Sheria ya kutokula wakati wa mfungo wa ramadhani

    Tanzania ni muungano wa nchi mbili Tanganyika na Zanz. Bara mtu ana huru wa kula wakati wowote kipindi cha ramadhani lakini Zanzibar hairuhusiwi na mtu akifanya hivyo kuna sheria ya kubana. Je? Kwann iwe hivi na ni nchi mbili zenye katiba moja? Naomba kueleweshwa
  8. Damaso

    Apigwa na sufuria kisa kukataa kula keki ya birthday

    Mwanamume mmoja huko Kayole, Kenya anayetambulika kama Evans Kidero Okoth anauguza majeraha mabaya kichwani baada ya ugomvi mkali baina yake na muuza bar, anayetambulika kama Mary Angara. Siku ya tukio, Bi Angara alikuwa akisherehekea siku yake ya kuzaliwa na alikuwa akiwakarimu vipande vya...
  9. R

    Familia ikiweza kula ng'ombe 400 kwa siku ni tafsiri ya utajiri.

    Ukiwa na jamii ambayo inaweza ikala ng'ombe 400 kwa siku moja ni tafsiri ya utajiri. Ng'ombe 400 ni tafsiri ya kukamilika kwa miradi ya maji, umeme, elimu na afya. Ni tafsiri kwamba Tanzania hatuna sababu ya kuomba misaada nje maana tuna surplus Swali gumu ambalo tunapaswa kujiuliza ...
  10. Waufukweni

    Nigeria: Waislamu 20 wakamatwa kwa kula hadharani wakati wa Ramadhani

    Polisi wa Kiislamu katika jimbo la Kano, kaskazini mwa Nigeria wamewakamata Waislamu 20 waliokutwa wakila mchana hadharani wakati wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan ambapo pia Watu watano wamekamatwa kwa kuuza chakula huku Naibu kamanda wa Polisi Mujahid Aminudeen akisisitiza kuwa msako huo utaendelea...
  11. The Mongolian Savage

    Natamani zali la kupigwa kula mchana Zanzibar linipate, patachimbika

    Yani natamani na nina hamu sana zali la kupigwa kwa kula hadharani mchana badala ya usiku mwezi huu linipate huko Zenji. Patachimbika maamae huo mkono ntakavyoutembeza. Yani ngumi za uhakika. Chaliifrancisco gTurn hydroxo Malaria 2 Adiosamigo Mpaji Mungu PSL god mshamba_hachekwi min -me Jagina...
  12. ngara23

    Tutofautishe kufunga na kubadili ratiba ya kula

    Kufunga ni Ibada ambao Mungu anakuwa karibu kujibu ombi na dua za mja wake Kufunga ni kujinyima Kufunga ni kutoa sadaka sana Kwa wahitaji Kufunga ni Siri kati ya anae funga na Muumba Kujitangaza na kujionyesha ati unafunga ni unafiki na dhambi Unakuta mtu amefunga mchana anatembea na bakora...
  13. mdukuzi

    Diamond akiendelea kula kuku wakienyeji atakuja kubambikiwa kesi ya ubakaji

    Unaacha wanawake kariba ya Zari unaenda kudeti na kuku wa kienyeji asiyemudu hata kulipa kodi ya chumba sebule Tabata. Mwanamke mjinga asiyejua kalenda zake,mwanamke unatoka nae bongo mpaka South Africa kumbe yuko period hata hajui gharama ulizotumia kwa tiketi ya ndege na hotel. Kuna siku...
  14. kavulata

    Tupunguzeni kula, sio majini ni pressure tu inatumaliza

    Masheikh wetu wanaongoza kwa magonjwa yanayosababishwa na kula (,metabolic deases); shinikizo la damu, uzito mkubwa na kisukari. Magonjwa haya ya chakula yanawaandama masheikh wetu sana kiasi cha kusingiziana kurogana na kutupiana majini hasa pale inapotokea masheikh kupata kiharusi, kuanguka...
  15. B

    Orodha ya silaha za asili ( Za kibaiolojia na kemikali) kujilinda dhidi ya vibaka wa nyumbani

    1. Mafuta ya kula : Kaa ndani na mafuta yako Lita tatu. Kila siku usiku saa tano yachemshe hadi yatokote kisha hifadhi kwenye chupa ya chai. Ukiwa na chupa zaidi ya moja itakuwa vizuri zaidi. Usiku wakivunja wewe wamwagie na hayo mafuta ya moto usoni. Wanaweza kufa hapo hapo wote na watakao...
  16. Waufukweni

    Pre GE2025 Mahakama yaamuru Dkt. Slaa kufikishwa Kisutu Machi 4 ili kutolewe uamuzi wa kesi inayomkabili

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeamuru kutolewa kwa amri ya Mwanasiasa Mkongwe, Dkt. Wibroad Slaa (76) kufikishwa mahakamani ifikapo Machi 4, mwaka huu ili uweze kutolewa uamuzi wa kesi hiyo itakuwa inasikilizwa kwa njia gani. Uamuzi huo ulitolewa leo mahakamani hapo na Hakimu Mkazi Mkuu...
  17. O

    Kuna uhusiano gani kati ya kula pesa ya serikali na kunenepa ovyo

    Samaleykum, Hawa jamaa zetu hasa wa umri wa kuanzia 26 mpaka 35, hiyo miili mikubwa na mavitambi yasiyoeleweka mnavipata vipi haraka haraka, na ni juzi tu mmetoka shule mkiwa wembamba kama rula, yaani mtu mnafanya kazi sawa, dili za hapa na pale mnapiga wote fresh, lakin mwenzako anafutuka tu...
  18. Mshangazi dot com

    Hamu ya kula isiyozuilika

    Imeshawahi kukutokea umepata hamu ya kula chakula flani na huwezi kutulia mpaka ukipate? Imenitokea leo, usiku huu nimeanza kupika vitumbua vya nazi na iliki maana sijisikii kula kitu chochote zaidi ya hivi vitumbua. Vipi ulishawahi kupata hamu kama hii? na ulikula nini kuituliza? Njooni...
  19. Abby Uladu

    Tafakuri juu ya Hawa(EVA) kusingiziwa kuwa alimshawishi Adam Kula tunda na msimamo katika maandishi ya dini kwa mwanamke.(Part 1)

    Dini zote mashuhuri duniani hasa Ukristo ,Uyahudi na Uislam zinakubaliana ya kuwa binaadam ameumbwa na Mungu,ambaye ni muumba wa ulimwengu mzima.Licha ya hivyo utofauti unakuja mara baada ya kuumbwa mwanaume wa Kwanza(Adam).zipo tafakuri na dhana za kiitikadi mbalimbali katika dini tofauti juu...
  20. chiembe

    Jumuiya ya Afrika Mashariki imzuie Kagame kunywa damu ya wakongo, na kula nyama zao katika vita ya Mashariki mwa Kongo

    Sijaisikia jumuiya hii ikitoa kauli au kuitisha kikao cha dharura dhidi ya huyu mla nyama za watu na mnywa damu za binadamu. Wote ni wanachama wa jumuiya ya Afrika mashariki. N. B: for the first time simjui Mwenyekiti wa jumuiya hii wala katibu
Back
Top Bottom