shinyanga

Shinyanga, also known as Shinyanga mji in the local Swahili language, is a city in northern Tanzania. The city is the location of the regional headquarters of Shinyanga Region as well as the district headquarters of Shinyanga Urban District. The region and district are named after the town.

View More On Wikipedia.org
 1. JanguKamaJangu

  Shinyanga: Mbaroni kwa tuhuma kumnajisi mtoto wake wa kambo

  Mkazi wa Ndala Manispaa ya Shinyanga (26) (jina limehifadhiwa), anashikiliwa naJeshi la Polisi Mkoani Shinyanga kwa tuhuma za kumnajisi mtoto wake wa kambo mwenye umri wa mwaka mmoja na miezi 11. Kamanda wa Jeshi la Polisi wa Shinyanga, George Kyando akitoa taarifa kwa vyombo vya habari...
 2. BigTall

  Shinyanga: Watoto waliotumwa dukani usiku, wabakwa, walawitiwa, waliwa na fisi (ripoti ya Polisi)

  Watoto 10 wakazi wa Kata ya Mhongolo, Halmashauri ya Manispaa ya Kahama Mkoani Shinyanga, wamebakwa na kulawitiwa kwa kipindi cha miezi mitatu iliyopita na wengine wawili wakiliwa na fisi. Waliofanyiwa vitendo hivyo vya ukatili wanakadiriwa kuwa na umri wa kati ya miaka sita hadi 12 wa jinsia...
 3. BigTall

  Shinyanga: Askari anayemlinda mwekezaji adaiwa kumuua kijana kwa risasi, wananchi wamlilia Rais Samia

  Mkazi mmoja wa Kitongoji cha Mwamala, Kijiji cha Igumanghobo, Kata ya Idukilo Mkoani Shinyanga aliyekuwa akichimba madini katika Kijiji cha Mwang’holo, Kata ya Mwadui Lohumbo anadaiwa kuuawa kwa kupigwa risasi na askari polisi wanaolinda eneo la Mwekezaji Kampuni ya El-Hillal Minerals Ltd...
 4. E

  Natafuta mtu anayefanya biashara ya uuzaji wa nguo za kiume za mtumba mikoani

  Ndugu habari.. !! Natafuta mtu anayefanya biashara ya uuzaji wa nguo za kiume mtumba mikoani... Nina bidhaa za nguo za jeans suruali, t-shirt ,na pia trak juu na chini.. (GRADE A) bei nafuu tu nipo maeneo ya Tabata Segerea. Mawasiliano 0744644627 0622531099 Hata pia kwa uliyeko Dar Es salaam...
 5. E

  Natafuta wauzaji wa nguo za mtumba Mikoani

  Ndugu habari! Natafuta mtu anayefanya biashara ya uuzaji wa nguo za kiume mtumba mikoani. Nina bidhaa za nguo za 👖 jeans suruali, t-shirt ,na pia trak juu na chini.. (GRADE A) bei nafuu tu nipo maeneo ya Tabata segerea Mawasiliano 0744644627 0622531099 Hata pia kwa...
 6. John Haramba

  Shinyanga: Mkuu wa Mkoa asema walimu wanaodai malipo kwa wanafunzi wachukuliwe hatua

  Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Sophia Mjema ameagiza kuchukuliwa hatua za kisheria walimu watakaobainika kudai malipo kwa wanafunzi akisema elimu ni bure. Amesema hayo wakati akifungua kikao cha Wadau wa elimu Mkoa wa Shinyanga, leo Alhamisi Machi 3, 2022 chenye lengo la kujadili maendeleo ya elimu...
 7. John Haramba

  Shinyanga: Watumishi sita wafukuzwa kazi kwa utoro, kughushi

  Baraza la Madiwani Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga limewafukuza kazi watumishi sita kutokana na makosa mbalimbali ya kiutumishi. Uamuzi huo umetangazwa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Shinyanga, Ngasa Mboje wakati wa Kikao cha Baraza la Madiwani kilichofanyika Februari 23, 2022...
 8. Kiturilo

  Mkoa wa Kilimanjaro waachwa mbali kwa utajiri na Mkoa wa Shinyanga

  Utajiri wa mikoa ya Tanzania kwa kuangalia pato la mkoa mmoja mmoja (Regional GDP) 1. Dar es Salaam - sh 25.2 Trillion 2. Mwanza - sh 10.95 Trillion 3. Mbeya - sh 8.3 Trillion 4. Shinyanga - sh 7.589 Trillion 5. Morogoro - sh 7.1 Trillion 6. Tanga - sh 6.9 Trillion 7. Arusha - sh 6.9 Trillion...
 9. Analogia Malenga

  Wazee wa Shinyanga wamjia juu Polepole

  Mwenyekiti mstaafu wa Shinyanga Khamis Mgeja kwa niaba ya wazee amemtaka Humphrey Polepole kuacha kufarakanisha wananchi na Serikali Wameomba vyombo vinavyohusika viangalie Chuo cha Uongozi kinachoendeshwa na Polepole mtandaoni kama kumesajiliwa na kujua wanafunzi wake Polepole amekumbushwa...
 10. Frumence M Kyauke

  Wanaume mkoani Shinyanga waangua kilio kwa madai ya kunyimwa unyumba na wake zao

  Baadhi ya wanaume mkoani Shinyanga wamelalamika kufanyiwa vitendo vya ukatili wa kijinsia ikiwamo kupigwa na kupigwa na wake zao. Hayo wameyasema Jumanne Desemba 7, 2021 wakati wakipewa elimu ya ukatili wa kijinsia na dawati la jinsia la polisi katika stendi ya mabasi wilayani Shinyanga...
 11. sky soldier

  Kwanini wanawake wa kiarabu (machotara) wa Tabora, Shinyanga hawachangamani na jamii?

  Kuna muda huwa nashindwa hata kuelewa kama hawa ni wenzetu. Sizungumzii waarabu original wale wa Oman, Dubai, n.k ni hawa waarabu wa hapa hapa bongo wengi wakiwa machotara waliochanganyikana kabisa na wabantu, wengi wapo Sikonge, Igunga, Ngega, Tinde, Itobo, n.k Yani wao ni ndani tu mda wote...
 12. F

  Meneja KNCU asafiri kwa pikipiki toka Moshi hadi Shinyanga na kupata ajali

  Unaweza ukashangaa lakini huo ndiyo ukweli wenyewe. Meneja wa Chama Kikuu cha Ushirika Mkoani Kilimanjaro, Godfrey Massawe,hivi karibuni alisafiri kutoka Mjini Moshi kwenda Mkoani Tabora kwa shughuli za kichama akitumia usafiri wa pikipiki lengo likiwa ni kubana matumizi lakini kilichomtokea...
 13. Jabali la Siasa

  Bilioni 11 za Rais Samia zamtetemesha RC Shinyanga, afanya maamuzi magumu

  TZS Bilioni 11 za Rais Samia Suluhu zamtetemesha RC Shinyanga Bi Sophia Edward Mjema, afanya maamuzi magumu Kishapu, " Hakuna kama Samia " Mkuu mpya wa Mkoa wa Shinyanga Bi Sophia Edward Mjema amefanya maamuzi magumu ya kumsimamisha kazi afisa manunuzi mzembe wa Wilaya ya Kishapu Ili kupisha...
 14. B

  Tukio la ufinyangwaji wa Sheria huko Shinyanga si la kukaa kimya

  Serikali imefanikiwa kupata zaidi ya trilioni kadhaa kwa ajili ya mapambano ya uviko 19. Lakini wanasiasa na baadhi ya viongozi wameanza ufinyangaji wa sheria kwa kisingizio cha haraka ya Mh. Rais. Tumemuona Mkuu wa Mkoa Shinyanga akifanya hivyo, wakurugenzi, madiwani na hata baadhi ya Wizara...
 15. Fall Army Worm

  Wenyeji wa Shinyanga naomba mniambie sehemu nzuri ya kulala (Guest house)

  Habari za asubuhi wapendwa? Next week nina safari ya kwenda Shinyanga mjini, Sasa kwa wenyeji wa mji huu naomba mniambie sehemu nzuri ya kulala (Guest house), ya bei ya kawaida lakini pawe na huduma za msosi na vinywaji, sehemu ambayo naweza kupunguza stress za maisha na safari.
 16. Erythrocyte

  Picha: Semina za CHADEMA Digital zaendelea huko Solwa, Shinyanga

  Wakuu kwanza tunaomba radhi sana kwa kuwachosha na hizi habari zetu za Chadema Digital, tunaomba tuvumiliane kidogo. Hapa ni kijiji cha Mwantini kwenye Jimbo la Solwa huko Shinyanga ambako semina za Chadema Digital zinaendelea.
 17. Red Giant

  Hivi ziwa Victoria limefika hadi Shinyanga?

  Mikoa yote ya kanda ya ziwa imepakana na ziwa Viktoria lakini sina hakika na Shinyanga. Je ziwa Viktoria limefika Shinyanga?
 18. Jamii Opportunities

  Personal Secretary at Shinyanga Region Cooperative UNION – SHIRECU

  EMPLOYMENT OPPORTUNITY Introduction Shinyanga Region Cooperative UNION – SHIRECU (1984) LTD is a secondary- level Farmers’ Cooperative Society formed since 1984 it is located at Shinyanga Municipality. Owned by primary-level Agricultural Marketing Cooperative Societies...
 19. Jidu La Mabambasi

  DR. Sengati, RC Shinyanga hivi ulikuwa na matatizo gani kuelewa?

  Kuna watu huwa wamesoma sana lakini ni wagumu kuelewa. Huyu Dr Sengati ana matatizo gani? Kaonywa lakini haelewi! Hawa ndio tunaita thick headed!
 20. EINSTEIN112

  TEUZI: Rais Samia amteua Jaji Mustapha Siyani kuwa Jaji Kiongozi, Sophia Mjema kuwa RC Shinyanga

  Wadau maoni yenu please Jaji za Zenji anafit kuja Tz? Maana zamani hata wakuu wa mikoa znz walikuwa wanateuliwa na Rais wa JMT baada ya mabadiliko ya katiba ta SMZ madaraka ya uteuzi wakawa chini ya Rais wa ZNZ na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, sasa kumtoa Jaji aliteuliwa na Rais wa SMZ sio...
Top Bottom