kupenda

Kupenda for the Children is an American non-profit organization that works to improve the lives of children with disabilities in low and middle income countries.

View More On Wikipedia.org
  1. zee_latown

    JamiiForums Tanzania Nikiwa kijana nilikuwa nina hulka ya kupenda wamama wakubwa wakubwa

    maisha yanakwenda kasi sana... habarini. kimsingi umri umesogea kwa sasa ila kuna mambo nikikumbuka nastaajabu mno. at only 23 up, nilikuwa sivutiwi na wanawake slim.. nilipenda sana big size... thick thrills. kama hilo halitoshi, nilipenda akina mama watu wazima na karibu wote ni maria...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Kutokana na wanawake wa kaskazini kupenda Sana Pesa sikujua kama Wana nyege nyingi kiasi hiki.

    Declaration of Interest: Nimeona wanawake wawili kutoka Kaskazini. Twende kwenye Mada sasa, aisee hii ni balaa, zamani nilikuwa nilikutana na single Maza kutoka Kaskazini najua ni kwa sababu anapenda hela hivyo Wanaume wanapiga na kusepa. Nilishtuka mara ya kwanza Mtoto kutoka Rombo...
  3. AXIOM APEX VERBOSE

    JamiiForums Tanzania Hivi tatizo la mtu kupenda kula vitu vilivyooza yaani kula MIZOGA kitaalamu linaitwaje?

    Naombeni kwa anaefahamu anitoe tongo tongo hapo. Maana kuna jamaa yeye hawezi kula kitu hai anapenda kula vitu vilivyokufa na vilivyooza, mfano nyama za mizoga mizoga ndio anapenda kula, mahindi yaliyooza, mchele uliooza ndio anapendelea, matunda yaliyooza, nk hapendi kula vitu visivyooza au...
  4. H r n

    JamiiForums Tanzania Hivi ulishawahi kupenda mtu, mpaka ukimwona unamwogopa!

    Habari wakuu. Hivi ulishawahi kupenda mtu,yaani mpaka wewe mwenyewe hujiamini kama upo naye ,ukiombwa chochote , unatoa bila kupepesa macho, na hata kama huna unashindwa kusema, hivi ulitokaje kwenye huo mtego kuna ndugu yangu anaangamia hapa !
  5. D

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa kupenda big nyanshi unanimaliza; Kila nikipanga kumwacha ananitegea nyanshi, tunaanza upya😌😌

    Ninamaliza mwaka wa tatu Sasa wa kuweka Nia ya kumwacha Kila mara maana ni jeuri sana huyu mwanamke. Tatizo linakuja hapa kwenye huu udhaifu nilionao wa kupenda nyanshi lililonona ambalo huyu mwanamke analo ndo maana ninaye. Tatizo zaidi ni kwamba huu udhaifu tayari huyu mwanamke anaujua. Kila...
  6. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Sababu ya kupenda wanawake wakubwa ni hii

    They are soo emotional mature Mwanamke mkubwa hawezi kuteseka na vitu vidogo vidogo kama kuchelewa kurudi kazini, kuuliza kama una date na mtu kisa amekutext, kufanya upekenyuzi usio na maana They're so romantic, (sensual) Wanahisi zaidi in terms of intimacy, na kwa kufanya hivyo humplease...
  7. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Watu wanajihusisha na mambo yao; Ni wewe tu unawawazia

    Ukitaka kufahamu uhakika wa kichwa cha habari nilichoandika tafakari juu ya mtu anapokufa waliobaki huwa wanafanya nini? (Jiulize tu kwa dhati ya moyo wako na ujijibu). Jibu la swali hilo ndiyo uhakika wa maisha yalivyo. Ni wewe tu umekaa unawawazia wao ila kwa hakika watu wana mawazo yao na...
  8. Fbn

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania ina wananchi wazuri kupenda nchi yao ila imefanywa kuwa nyumba za watu wachache kuwa nchi yao

    Sio kwa ubaya ila mada hapa JF zinaangiwa mpaka kuna wataalamu wa lugha wanajitokeza kutafuta kiswahili ni sahihi jambo linaro sema ukweli. Kuna mikoa ambayo inapatikana gesi na mpaka sasa wanajeshi wapo wamejazana. Leo pale dodoma kuna uranium ya kutosha mshapeleka urusi. Kuna makahaa ya...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Tujiepushe na tamaa ya mali au kupenda fedha

    Tujiepushe na tamaa ya mali au kupenda fedha Kwa namna ya kawaida fedha haina ubaya wowote, ni nyezo ambayo Mungu aliiruhusu iwepo na itumiwe ili kuendesha kushughuli zote za kijamii: Mhubiri 19:19 “…Na fedha huleta jawabu la mambo yote”. Lakini kitendo cha kupenda fedha, hicho ndicho Mungu...
  10. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Kwa kupenda kwangu Chini nimefanikiwa kwenye mambo mengi sana

    jamaa zangu mara nyingi huwa wananiambia "Chidy unapenda sana chini we jamaa" kwa kweli siwakatalii mimi napenda sana chini na huko kumenisaidia katika mambo mengi sana kwa kuwa nilipoanza kuwa napenda chini nikagundua ukipawezea huko chini kuna utajiri mwingi sana sema watu hawajui tu au...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kuongelea Gari Used Toyota Crown ndio gari yangu namba moja kwa kupenda

    Formati yake ndani, comfortability is another level. Pia mwonekano safi, hasa hizi Peal White ukipita lazima watu wageuke nyuma. Kiukweli gari yangu next year itakuwa Toyota Crown
  12. J

    JamiiForums Tanzania Mke kupenda fedha kama Delila hubomoa ndoa yake

    Mke kupenda fedha kama Delila hubomoa ndoa yake Samsoni na Delila Hebu kwanza tusome habari fupi kuhusu Samsoni na Delila, kama ilivyoandikwa kwenye kitabu cha Waamuzi 16:1-22 Samsoni ni nani Siku moja, Samsoni alikwenda mjini Gaza, akakutana na malaya mmoja akalala naye. Watu wa Gaza...
  13. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Hulka ya mwanamke kukopa kopa na kupenda pesa za dezo msimshangae bibi yule kuwa na hiyohiyo hulka

    Asilimia kubwa ya wanawake wanaishi kwa kutegemea mikopo.Wapo wanaokopa na kufanya mambo ya maana na pia wapo wanaokopa lakini mwisho wa siku pesa haionekani ilipopotelea. Sasa huyu kibibi naye anawakilisha kundi la jinsia yake , hana akili ya kupambanua afanye nini kusogeza gurudumu, cha...
  14. Richard

    JamiiForums Tanzania Filamu ya Spy X wengi wamejiuliza kwanini mchezaji wake wa kike Anya hupenda sana kula karanga. Na Anya akiri kupenda karanga zaidi kuliko karoti

    https://www.youtube.com/watch?v=wuuDdOeI--k "X Spy Family" ni filamu nzuri ya watoto na ina mhusika mkuu mmoja aitwae Anya ambae katika vyakula vyote avipendavo huwa hakosi Karanga. Haijulikani hadi leo sababu kubwa ya Anya kupenda mno kitafunwa hicho maarufu cha karanga. Jana nilimwona mmoja...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Nina haki kama binadamu ya kupenda tena

    Wana jamii Forums hamjambo, hapa ni mahali pekee ambapo naweza kuongea kwa uwazi na bila kuficha chochote. Kuna muda nakuwa na mawazo nashindwa wapi pa kusemea. Iko hivi kwa sasa nina miaka 44 sijaolewa na sina mwenza ila nina watoto ambao nilipata na mpenzi wangu, mahusiano hatufanikiwa...
  16. ngara23

    JamiiForums Tanzania Kupenda kuomba au kuhitaji msaada Kwa marafiki au washikaji kunashusha hadhi na heshima yako, mwanaume jikaze

    Naongea na wanaume tu Leo Tabia ya kuomba ovyo haifai Unajishushia brand Hakuna mtu anahitaji kuombwa hata kama Leo umpigie simu Bakhresa umwombe elfu 2 atakuona wewe ni msumbufu lakini sio kwamba uweZo wa kukupa anao Mwanaume onesha kujiamini na kujitegemea hata kama unapitia hali ngumu...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Nahisi sijui chochote kuhusu mahusiano ya kupenda ama kupendwa

    Habari za wakati huu wana jf Nimeona bora kuwa mkweli uenda nikapata mitizamo itakayo nijenga juu ya swala hili zima la mahusiano ya kimapenzi.. nina umri wa miaka 30 , mpaka namaliza elimu ya diploma ya uandisi wa ujenzi , sijawahi kuwa na mahusino ya kimapenzi kabisaa. na sikuhitaji kabisa...
  18. kiss ov love

    JamiiForums Tanzania Haya ndiyo mapenzi

    Life is not fair unayempenda hakupendi anayekupenda humpendi... Huu ni utafiti wangu mdogo usio rasmi niliofanya.
  19. Ertugrul Bey

    JamiiForums Tanzania Wenye Kupenda Kupiga Au Kusababisha Makelele Wana Asili Ya Umaskini

    Uchunguzi binafsi uliofanywa na Bey umegundua kwamba makelele ni sehemu na asili ya maskini,huko kwa watu mbao wana maisha magumu ndio wanapenda makelele Nenda kwenye nyumba au makazi ambao wanaishi wenye hela huwa hakuna makelele kabisa,kule huwezi kukuta kuna Subwoofer,kule kuna Television...
  20. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Uhusiano wa binadamu na kupenda viharufu vya mwili

    Tafakuri ya jumapili: Kuna mtu humu alisema alifanya ngono na shemeji yake kwa sababu alikua na harufu flani ya jasho la kwapa ikamuamsha hisia za kimapenzi. 

 Nimeshasoma nyuzi wa wakaka humu wanasema huwa wanapenda kaharufu ka asili na wengine kauvundo ka papuchi. Tuambizane: Je harufu...
Back
Top Bottom