mahusiano

 1. zimbiza

  Mlimbwende na Mjasiriamali Jesca Wilfredy afunguka kuhusu mahusiano yake

  .
 2. Sky Eclat

  Changamoto za mahusiano mapya ukiwa 40+

  Katika umri wa 40+ wengi wanakua na watoto, iwe kwenye ndoa au nje ya ndoa. Ni nadra kumkuta mtu wa 40+ hana mtoto. Katika harakati za maisha wengine wameachana na wenza wao na wengine kufiwa. Kwa kuepuka upweke wengi hutafuta mtu wa kuliwazana nae. Mnapokutana wawili kufahamiana na kuona...
 3. kilamba lamba

  Je, ni muhimu kufahamu chanzo cha kuvunjika mahusiano ya mpenzi wako na EX wake?

  Nawasalimu wana jukwaa. Natumai mu wazima sana humu ndani. Kuna jambo ningependa kufahamu kutoka kwenu. Je, hivi ni muhimu kufahamu chanzo cha kuvunjika mahusiano aliyotoka mpenzi wako kabla ya kuwa na wewe. Na hii ni kwa wote, wanaume na wanawake? Ukweli wako kwa upande wako ni muhumi hapa.
 4. The Garang

  Nilivyoyanusuru mahusiano ya jamaa zangu

  Nawasalimu kwa jina la JF, shuhuda ziendelee. Mara nyingi mahusiano ya wanamme iwe ni mabaya au mazuri, huwa ya kulindana hasa linapokuja suala la mapenzi au mahusiano. Kuna wakati jamaa zetu wanakosea kwa wapenzi wao, hadi inafika kipindi shemeji zetu wanatafuta sie best friends zao kuweza...
 5. Ethan Cruz

  Sababu 10 za Wewe kuwa Mpweke/Single na kukumbwa na misukosuko ya mahusiano

  Wakati ambapo unadeti mwanaume kuna ile tabia ya ghafla inayokuja ambayo unajaribu kumkosoa kila kitu ambacho unakiona si sawa kwake ili uweze kuendelea na shani yako ya kumtafuta mwanaume alie sawa aka Mr. Right. Lakini iwapo utakuwa ukiendelea kumtafuta mr Right zaidi na zaidi labda...
 6. Miyeyusho

  Dhana ya kipato kuimarisha mahusiano au ndoa

  Habari za wakati huu wana JF? Binafsi nimekua muumini mkubwa sana wa hii dhana tena sana, jambo la kushukuru mungu inajidhihirisha kwenye maisha yangu siku adi siku. Ngoja niwape kisa kidogo kilichonitokea kutoka kwa shemeji yenu. Jana bwana nilipigiwa simu na mke wangu. Mke wangu tunatimiza...
 7. yuzazifu

  Ni ipi couple nzuri ya mahusiano kwa upande wako?

  salaam wakuu, NI IPI COUPLE NZURI KWAKO? 1. Couple ya mwenye wivu VS mwenye wivu. 2. Couple ya mwenye wivu VS asie na wivu. 3. Couple ya asie na wivu VS asie wivu. Katika mahusiano kila mtu ana parfect couple yake ambayo humfanya aenjoy uumbaji wa mungu. Je, kwa mujibu wa list hii ni ipi...
 8. K

  Muwaache wanafunzi waliorudi likizo, msiwarubuni kimapenzi

  Wakuu poleni na majukumu ya siku ya leo. Nimekuwa nikifatilia mienendo ya wanafunzi wetu pindi wanapokuwa likizo nikajiridhisha kuwa watoto wengi wanaingizwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na wanaume wasio waadilifu. Kipindi hiki kuna wanafunzi waliomaliza Kidato cha Sita mtaani, wapo waliomaliza...
 9. J

  Mbowe: Aliyevuruga Mahusiano ya Kimataifa ni Hayati Magufuli na CCM huku Rais Samia akiwa msaidizi wake

  Yaelekea Mbowe alitegemea kupata nafuu fulani ya kisiasa kutoka kwa Rais Samia lakini kwa sasa bado iko mbali na taratibu mwenyekiti huyu wa Chadema anaishiwa uvumilivu. Mbowe anaanzisha chokochoko kwa kudai eti Rais Magufuli ( hayati) alivuruga mahusiano ya kimataifa huku Rais Samia akiwa...
 10. Krav Maga

  Mlio katika Mahusiano yenu na Wazoefu ( Wabobezi ) je, hili lina ukweli wowote?

  Kwamba ukirejea Nyumbani Kwako au ukikutana tu na Mkeo au Mpenzi wako na ukaona amechangamka sana huku amezidisha Mahaba ( Upendo ) Kwako hapa ina maanisha ametoka Kukusaliti au anaenda Kukusaliti au kuna Bonge la Mzinga anaenda Kukupiga hivyo anakuandaa Kisaikolojia. Majibu yenu ni muhimu sana...
 11. Fohadi

  Jifunze njia pekee ya kupamabana na USALITI kwenye mahusiano

  Nimeamka asubuhi leo na kukutana na threads kadhaa za watu wakilalamika kuhusu usaliti unaoendelea kwenye mahusiano yao. Na kwa miaka ya karibuni, 'uaminifu' kwenye mahusiano imekuwa ni kitu adimu sana na ukikipata basi ni bahati na itabidi upambane usikipoteze. Kila mtu ataongea mengi na atatoa...
 12. ujanja

  Nimeamua kuachana naye kwa sababu ana mahusiano na wanaume wengi

  Niliwahi kukutana na binti ni mwaka sasa umepita nilikua na.date ila rasimi nimejitoa takribani wiki sasa, Msichana ni mrembo mzuri, ana shape alafu kiumri ni mdogo sana yuko under 22, ukimwangalia sura kama ya kitoto. Ila nlkua nadate nae mpaka mama ake anajua, ila hajatulia maana wki mbili...
 13. Napoleone

  Ukitaka uishi maisha yenye furaha kwenye mahusiano...

  Kwanza hakikisha unatafta mwenza (well for men only) 1. Mpite miaka zaid ya 10 2. Elimu yake kibongo bongo awe La saba or form4 or six 3. Awe hana kazi inayoeleweka yaan wewe ndio mtaftie mchongo hapo mjini or else asiwe na kazi yoyote ile 4. Hakikisha anakusikiliza wewe kwa lolote yaani wewe...
 14. Emmanuel Kasomi

  Mfahamu Hoyce Temu katika ulimwengu wa Diplomasia na Mahusiano ya Kimataifa

  MFAHAMU HOYCE TEMU KATIKA ULIMWENGU WA DIPLOMASIA NA MAHUSIANO YA KIMATAIFA 📍Hoyce Temu alisoma Stashahada ya Uzamili katika Usimamizi wa Mahusiano ya Kigeni yaani Post Graduate Diploma in Management of Foreign Relations (PGD-MFR) kutoka Chuo cha Diplomasia Kurasini Dar es Salaam ama...
 15. Samboko

  Ananitishia maisha baada ya kukataa kumsaidia malezi na kusitisha mahusiano

  Habari za siku wana JF, Kuna dada mmoja kabila lake msukuma tulifahamiana kazini kwangu nkaanza kumtania na tukajenga urafiki kwa muda mfupi tukawa tunachati kiasi, katika kunipeleleza kwake nilimwambia ukweli wa maisha yangu kimahusiano idadi ya watoto nilionao akanisema kwa tabia mbaya...
 16. C

  Mahandsome tukutane tujadili ili wadada wasitukatalie!

  Naanza kwa kumshkuru Aliye Juu, Muumba Wetu mwingi wahuruma na mwenye upendo nas sisi. Kilio chetu jaman hawa dada zetu muda mwingine unakuna labda nipo single kabisa sina mtu wala hata mmoja lakin ukija kwa dada zetu wanatuona niwaongo kuwa et sababu Yao ya msingi kabisa wanayokwambia et wew...
 17. bolivia

  Natangaza vita mpya na kila mwanamke, sitaki mahusiano tena

  Habari wana Jamii Forum, na poleni na majukumu. Ilikuwa jioni fulani hivi baada ya mihangaiko ya siku nzima mida kama ya saa 12 jioni. Niliamua kuchukua pikipiki ya rafiki yangu japo nipige pige vichwa kuisogeza jioni. Yaani boda boda. Kama zali la mentali tu navuta hatua kadhaa napata mteja...
 18. Kurunzi

  Mapadre wa kikatoliki Ujerumani wanaokaidi maagizo ya Kanisa na Kubariki mahusiano ya wapenzi wa jinsia moja

  Mapadre wa kikatoliki Ujerumani wanaokaidi maagizo ya kanisa na kubariki mahusiano ya wapenzi wa jinsia moja. Baraka hizi hutolewea chini ya kampeni inayosema''mapenzi yanashinda''CHANZO CHA PICHA,EPA-EFE Kanisa katoliki nchini Ujerumani limeendelea kuonyesha kukaidi maagizo ya makao makuu ya...
 19. M

  Wanaume huwa mnahitaji nini?

  Habarini zenu ndugu zangu? Kwa kweli inafikia kipindi nakuwa sielewi hizi ishu za mahusiano. Mwenzenu nimekuwa kwenye mahusiano na mkaka wa miaka 33. Amenizidi miaka 4. Na tumekuwa naye kwa muda mrefu sana. Katika mahusiano yetu hayo, kiukweli sijisifii lakini nimejitahidi kuwa mwema sana...
Top Bottom