kupeana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kyambamasimbi

    Uzi maalum wa kupeana faraja hasa tuishio mbali na familia zetu. Tukitafuta Maisha ya kesho

    Habari wanajf. Binafsi Niko visiwa vya Haiti Marekani ya kaskazini. Kiujumla Maisha ndio yalinifanya nikafika huku, kwa sikuwahi kuwaza kuwa ntavuka visiwa vyetu vya Tanzania Yaani Pemba na Unguja. WATU WA HUKU(WAHAITI) Watu wa huku ni weusi ti Kama sisi huwezi kutofautisha na wasukuma...
  2. MamaSamia2025

    Mstaafu mwenye umri wa miaka 53 amejiua kwa kujichoma moto baada ya mahakama kuamuru kuuza mali zote na kugawana na mkewe mara baada ya kupeana talaka

    Lusaka, ZAMBIA Mnamo saa 09:10asbh Machi 5, 2024, Kituo cha Polisi cha Muwanjuni kilipokea ripoti ya kusikitisha ya tukio la kujiua kutoka kwa Bw. Emmanuel Mutale, mwenye umri wa miaka 42, mkazi wa kijiji cha Selengwe katika eneo la Maili Kumi. Bw. Mutale aliripoti kuwa rafiki yake, Bw. Charles...
  3. S

    Ahadi ya kupewa urais wa nchi ilikuwa ahadi batili, hakuna usaliti wowote uliofanyika

    Hakuna usaliti wowote uliofanyika, sababu kumuahidi mtu nafasi ya urais baada ya kiongozi aliyepo madarakani ni suala linaloibua maswali kuhusu uadilifu na utawala bora. KIla mtu ana haki ya kuwa Rais kama alivyoteuliwa mwingine badala ya yule aliyepewa ahadi. Hivyo sio jambo la kuwekeana bifu...
  4. Championship

    Kwahiyo Mbeya na Songwe utaratibu ni kupaki barabarani kupeana zamu ya kupita?

    Pale Inyala unapoteza dakika 30 wanasema mnasubiria malori yanapita muda wake tofauti na magari mengine. Pale mteremko wa Mbalizi ni hivyohivyo halafu tena ukiingia mkoa wa Songwe kuna sehemu utaratibu ni huo. Chakushangaza barabara ni nzima kabisa ila wameweka huo utaratibu kwasababu kuna...
  5. kmbwembwe

    Upendeleo, ushikaji ndio vinatumika kupeana uteuzi Awamu ya Rais Samia

    Ukiwa mdadisi na mwenye msimamo wa kisiasa wa kutetea maslahi ya umma utaona mwelekeo usiyoridhisha kuhusu teuzi za mama. Utaona leo kina sabaya, Ally Hapi, na Makonda wote mama kawatupa nje. Tena sabaya akataka kumfunga kwa kesi ya kubumba. Badala yake wale waliyokua wamefumwa wakionesha chuki...
  6. Mcanada

    Naomba kufahamu Madhara ya kupeana talaka baada ya ndoa Kuvunjika

    Mimi ni mkristo na nipo kwenye ndoa kwa muda wa miaka 8 na tumebarikiwa kuwa na watoto wawili sasa ila kuna jambo nililikosea kwa mkewangu na sasa nataka nimwambie ukweli kuhusu hilo sasa kutokana na uzoefu kumhusu kwa kaliba yake naona kabisa ataenda kukiwasha isivyo kawaida na kwa asilimia...
  7. S

    Uzi wa kupeana machimbo mbalimbali ya vifaa vya ujenzi na bei zake

    Kwema Wakuu, Ujenzi umekua gharama sana sababu ya kuongezeka kwa bei za bidhaa kunakoendana na ongezeko la bidhaa zingine zisizo za ujenzi pia. Kwa aliejenga miaka 10 nyuma gharama hizo hizo akitaka kujenga sasa kwa nyumba ya aina ile ile anaweza asifike hata 60% ya nyumba aliojenga mwanzo...
  8. U

    Tunarudi kwenye enzi za mabosi wa Mashirika ya Umma kujaza watu wa makabila yao. Tiketi aliyotoa Rais inaenda kupiga mchujo wa kikabila kwenye ajira

    Niseme tu Mama ameshauriwa vibaya katika hili la leo kuruhusu mabosi wa kila shirika kuajiri badala ya kuwa na utaratibu uliopo wa chombo kimoja kusimamia ajira za mashirika yote. Ikumbukwe wazo la chombo kimoja kusimamia ajira lilikuja baada ya upendeleo uliokuwepo wa wazi wazi katika ajira...
  9. rutajwah

    uzi maalumu wa kupeana updates kwa tulioomba fursa za mafunzo ya kilimo bihawana

    Husika na kichwa cha habari hapo juu, huu uzi ni maalum kwa wale walio omba mafunzo ya kilimo kwa vijana, yatakayofanyika Bihawana Dodoma. Mpaka dirisha linafungwa vijana 16 elfu walikuwa washatuma maombi source, Kituo cha bihawana kina uwezo wa kuchukua vijana 74 source, mwenye updates...
  10. Ryzen

    Wale ambao hatuna Mpango wa kuoa tuendelee kupeana Mbinu za Maisha

    Miaka kadhaa nyuma niliwahi kuleta uzi hapa ni jinsi gani ndoa ni scam, ni jinsi gani ndoa iko pale kumnufaisha Mwanamke. Siku za karibuni kumezuka matukio kadhaa ya mauaji ya wanandoa, au wanandoa kujiua sababu kubwa ikiwa mifarakano ya ndani ya ndoa. Kwa Muktadha huo nazidi kushikilia ule...
  11. William Mshumbusi

    Mgunda achana na wazee na kupeana fadhila. Mohamed Quattara ni mzima na Yuko kwenye kiwango kizuri. Acheze nafasi ya Kanute

    Mgunda anahitaji shinikizo kwenye kupanga kikosi. Akina Mkude, Boko hawaoneshi uhai Tena simba. Asiwakingie kifua. Ukweli utambwaga chini. Nyeupe haiwezi kuwa nyeusi. Ampe nafasi leo Quatara ingawa yeye Ni beki lkn ana kila kitu kinachoweza kumfanya acheze Kama kiungo mkabaji. Akina Mkude umri...
  12. pilato93

    Kupeana update za Lodge na Guest

    Habari za humu wakuu? Niende moja kwa moja kwenye hoja baada ya kuanzishwa kwa uzi wa vituko vya gesti na lodge wadau walivyokutana navyo, nimeona ni vyema kuwepo na uzi wa kuhabalishana kuhusu mahali zilipo lodge, gesti kuanzia zile za bei ya chini hadi za juu na hali yake. Hii itatusaidi...
  13. N

    Waliowahi kurukwa na akili naombeni kujua uzoefu wenu na namna mlivyoweza kurudi Kwenye normal state

    Salaam Kwenu wakuu! kama Kuna members walishawahi kupitia changamoto ya kurukwa na akili naomba wanisaidie uzoefu wao. Nifanye Nini natamani sana kujua yafuatayo kutoka kwao. 1. Ukirukwa na akili maisha unakuwa unayatafsiri katika namna ipi katika angle ya Pesa, na mapenzi? 2. Mtu akikuita...
  14. emmarki

    Uzi wa kupeana connection za kazi kwenye makampuni na kupitia recruitment agency

    Habari wana jamvi. Jiji la daslamu limejaa shughuli nyingi kuanzia viwanda vidogo mpk vikubwa, makampuni, mashirika na hata michongo midogomidogo. Kutokana na uwejezaji huo kwenye sekta mbalimbali kumepelekea kuzaliwa kazi na ajira nyingi. Wanaowinda kazi ni wengi ila siyo wote wanaojua...
  15. N

    Wenye tatizo la usikuvu hafifu kama langu tukutane hapa kupeana faraja

    Mimi ni kijana wa kiume umri miaka 30 kwa sasa naishi iringa mjini, nimeondoka dar february baada ya kula sana msoto nikaamua ngoja niende sehemu ambayo hakuna anaenijua nipate utulivu wa akili, hapa iringa nimepewa hifadhi ya kulala tu na ndugu. Twende kwenye main topic sasa, nina tatizo la...
  16. MamaSamia2025

    Kuwasifia Nandy & Billnas kupeana mimba nje ya ndoa ni ukosefu wa maadili

    Ninaandika huu uzi nikiwa na hasira iliyochanganyikana na huzuni kwa huu mmomonyoko wa maadili unaozidi kuota mizizi. Jamii kwa sasa iko bize kushabikia mambo ya kipuuzi huku ikiachana na agenda muhimu za kitaifa. Picha na video chafu zimekuwa na thamani kuliko mambo mengi yenye tija mitandaoni...
  17. D

    Uzi maalum wa kujifariji, kuridhika na kupeana matumaini ya maisha

    Kwa wale wapambanaji na wazee wa kusikilizia michongo; Ebu tupieni faraja na matumaini hapa ili kujipa moyo wa kupunguza maumivu yoyote! Mi nawaambia wadau muachage mazarau! < Anaringa na kigari chake cha mkopo; ukifika japani hivyo vigari vinauzwa kwa mafungu, Nikitaka gari mi nitaagiza...
  18. kyaibumba

    Uzi wa kupeana madili popote ndani na nje ya Tanzania

    Kuna watu wanaweza wakawa wanaona fursa wanazidharau Kumbe hizo ni dili Kwa wengine Mi kuanzia mwezi wa saba ntaanza kupata soko la maharage! Maparachichi, Karanga na mafenesi huku, naona wanapata kutoka pakistani sana! Pia hapo ulipo unaweza ukawa unaona kuna fursa ya kufundisha! Kufanya...
  19. makilo

    Uzi wa kupeana ma buse Bora na Bora nifike je tupande ma bus gani?

    Naanza na mbazi Arusha/dar. Ili ndinga Kama ukifika stendi na kulikuta kwa jinsi linavyovutia lazima ulikimbilie.siku hiyo nikalipanda kutoka Arusha mpaka dar nikafika sa 5 usiku Kila kituo linapakia na linasimama. Happy national hili ni la Bei kubwa nilipanda kutoka dar mwanza tukafika sa 9...
  20. sky soldier

    Mchimbo Dubai: Tujuzane namna ya kufika, maisha yalivyo, machimbo ya bidhaa na kuufikisha mzigo Bongo.

    Dubai ni mji wa kiv=biashara ambao watu kibao wanaenda kufata mizigo yao na kuiuza hapa bongo. Naamini kuna wazoefu humu wengu wanaofata mizigo huko Dubenga, tunaombeni ushirikiano. Binafsi nimecheki videos mitandaoni za wahindi wengi na wapakistani wakippategemea sana Dubai kwenye kujumua...
Back
Top Bottom