bomu

The Bo language of West Africa, Bomu (Boomu), also identified as Western Bobo Wule, is a Gur language of Burkina Faso and Mali.
Bomu is spoken by two groups of Bwa people, the Red Bobo, Bobo Wule (also spelled Bobo Oule), and the White Bobo, Bobo Gbe, also known as Kyan (also spelled Kian, Tian, Tyan, Can, Chan) or Tyanse.

View More On Wikipedia.org
  1. X

    JamiiForums Tanzania China imeachia bomu jingine kwenye ulimwengu wa AI — Kimi K3

    Mkurugenzi Mtendaji (CEO) wa kampuni changa ya Moonshot AI, Dkt. Yang Zhilin (miaka 34), ambaye ni mhitimu wa Chuo Kikuu cha Tsinghua, amezindua modeli mpya ya akili bandia (AI) iitwayo Kimi K3. Kimi K3 imekuwa miongoni mwa modeli za AI zilizozungumziwa zaidi mwaka 2026 kutokana na uwezo wake...
  2. Waterloo

    JamiiForums Tanzania Iran: kwasasa hatuna chaguo zaidi ya kutengeneza Bomu la atomiki kukabiliana na vitisho vya kijeshi dhidi ya marekani na Israeli.

    Kwa miaka mingi Iran chini ya kiongozi wao aliyeuwawa kikatili na marekani ayatollah khamenei ilijizuia na kutangaza wazi kuwa licha ya kuwa na virutubisho vya uraniamu ya kutosha kuunda Bomu la nuclear isingeweza kufanya hivyo kwakua ni kinyume na maadili ya kidini. Leo kiongozi mkuu wa kidini...
  3. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Nikikumbuka kauli ya PM kassimu Majaliwa dhidi ya Afya ya Magufuli, nawiwa kusema hata Mwigulu na mtu wa bomu kapigwa fix la sivyo amtaje!

    Nikikumbuka, TAARIFA ya waziri mkuu mstaafu dhidi ya Afya ya Hayati magufuli kwa wananchi wa Tanga, aliwambia naomba kunukuu" Rais WENU ni mzima wa buheri WA afya, yupo imara kama CHUMA na anawasalimia wotee" wananchi heheeeeeeee vicheko na nderemo😚🤣😊😁😂😊🤣 staki niamini km pm hakuwa na TAARIFA...
  4. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania Responded HOJA Utumishi PEPMIS ni bomu linaloenda kutengeneza chuki baina ya Serikali na Watumishi

    Tangu awamu ya sita ingie madarakani changamoto za Watumishi wa Umma zimekuwa zikitatuliwa kwa wakati na malalamiko yalikuwa madogo sana ila kwa sasa huu Mfumo wa PEPMIS umekuwa kama mtego wa kuwagawanya Watumishi wa Umma. 1. Utendaji kazi wake upo kwa ngazi ya mtumishi, kwenda kwa msimamizi...
  5. Babu Sisu

    JamiiForums Tanzania Historia ya Professor wa chuo cha Udsm aliyeuawa kwa bomu

    Miaka ya 1970 katika chuo cha kikuu cha Dar-es-salaam (UDSM) kulikuwa kuna Professor mmoja maarufu aliefahamika kwa jina la Walter Rodney alikuwa ni raia wa Guyana nchi inayopatikana bara la Amerika kusini Rodney alikuwa ana PHD ya Historia ya Afrika aliyoipata katika chuo kikuu cha London...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Rais wa Tunisia amfuta kazi Waziri wa Nishati

    Rais wa Tunisia, Kais Saied, amemfuta kazi Waziri wa Nishati, Fatma Thabet, leoJumanne ya Aprili 28, 2026. Hatua hii imekuja huku kukiwa na mzozo mkubwa kuhusu miradi ya nishati mbadala inayotarajiwa kupigiwa kura bungeni. Rais Saied amemteua Waziri wa Nyumba na Miundombinu, Salah Eddine...
  7. MK254

    JamiiForums Tanzania Kikao cha watu 88 waliokutana kujadili mrithi wa Ayatollah wauawa wote kwa bomu

    Walikutana kujadili mrithi wa Ayatollah, jengo likashushiwa kitu kizito..... The IDF targeted a building in which Tehran's 88-member Assembly of Experts was meeting to choose Iran's next supreme leader, Israeli sources told The Jerusalem Post on Tuesday...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kwa rank yetu jeshini namba 6 duniani, tukirushiwa bomu na mataifa tuliyoyazidi kama Uturuki, Israel, Pakistan, Misri, n.k. Tutajibu au kufunika kombe

    Kwa ranks tunazozisikia Jeshi letu lipo fiti sana ni la sita dunioni hao wanyonge namba saba na kuendelea wakirusha bomu tutajibu au ?
  9. R

    JamiiForums Tanzania Mbunge Saashisha Mafuwe: Vijana wanaomaliza vyuo kama tusipowaangalia ni bomu lingine

    Mbunge wa Jimbo la Hai, Saashisha Mafuwe, ameionya Serikali kuwa idadi kubwa ya vijana wanaohitimu vyuo vikuu kila mwaka inaweza kugeuka kuwa ‘bomu la kijamii’ ikiwa hakutakuwa na mpango madhubuti wa kuwaingiza kwenye sekta za uzalishaji. Akichangia Mpango Elekezi wa Maendeleo wa Muda Mrefu...
  10. MK254

    JamiiForums Tanzania Jamaa ajilipua kwa bomu kwenye harusi huko Pakistan

    Kuwaelewa makobaz kunahitaji elimu isiyo ya kawaida. DERA ISMAIL KHAN, Pakistan – The death toll from a suicide bombing at a wedding near the Afghan border rose to seven on Jan 24, police said, as Pakistan struggles to deal with a rising wave of militant attacks The bombing tore through a...
  11. T

    JamiiForums Tanzania ONYO LA USALAMA WA TAIFA: Bei ya Chakula ni Bomu Linalosubiri Kulipuka Tanzania

    Wakati korido za madaraka zikijaa mijadala ya kisiasa na miradi mikubwa, kuna adui wa kimyakimya anayesambaratisha amani ya nchi yetu… Njaa mitaani. Katika kipindi kifupi bidhaa za msingi kama viazi mbatata zimeshuhudia ongezeko la bei la hadi 200%. Historia inatufundisha kuwa "Tumbo lenye njaa...
  12. ngara23

    JamiiForums Tanzania Magori ni kiongozi asiye na hekima, Mo Dewji umetuletea bomu wanasimba

    Mo Dewji amemrithisha kiti cha uenyekiti cha ukurugenzi Simba ndugu Cresencius Magori Magori Toka namfahamu ni mtu hana hekima ya uongozi Bali kukurupuka 1. Magori ndo alimlaumu goalkeeper Camara ati ameuza mechi ya Yanga. Hii ilinishangaza mno kiongozi kutokuwa mwanamichezo na kutambua kuwa...
  13. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Bagamoyo: Watu wawili wafariki kwa mlipuko wa bomu, mmoja ajeruhiwa

    Watu wawili wamefariki papo hapo na mmoja kujeruhiwa vibaya huku nyumba kadhaa zikiharibiwa kufuatia mlipuko mkubwa uliotokea kwenye banda la kuchomelea vyuma chakavu, Mtaa wa Magomeni, Wilaya ya Bagamoyo. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Salim Morcase, amethibitisha kuwa tukio hilo la...
  14. Kishimbe wa Kishimbe

    JamiiForums Tanzania Hii mikwaruzano ya ukatoliki na serikali haiwezi kuamsha chuki baina ya wakatoliki na waislam?

    BOMU LINAHESABU KINYUMENYUME! Wakoloni wetu walituacha wamepandikiza mabomu ambayo, walijua au hawakujua, kuna muda yatalipuka! ... Rwanda walikuwa na dini moja lakini wakagawanywa kwa koo zao na baada ya muda wakalipuka! .... TANZANIA! Tumejitahidi sana, tokea tunapata uhuru, kusahau tofauti...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Lela Mussa: Mwalimu asiyekuwa na madili ni bomu la kuangamiza Jamii zaidi ya Bomu la Heroshima

    Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali, Lela Mohammed Mussa amewakumbusha Walimu kuwa wanapochagua Kada ya Ualimu wakumbuke kuwa wameyatoa maisha yao kwa ajili ya jamii. Akizungumza na Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Tisa wa Chama cha Walimu Zanzibar katika Ukumbi wa Taasisi ya Utalii Maruhubi Wilaya...
  16. Chicho_

    JamiiForums Tanzania KERO Uchafuzi wa Mto Matarawe, Manispaa ya Songea Mjini: bomu la kimyakimya

    Utupaji hovyo wa taka kando ya Mto Matarawe umekuwa tatizo kubwa linalozidi kushamiri kila siku. Wananchi wanaoishi karibu na mto huo wamegeuza kingo za mto kuwa sehemu ya kutupia taka ngumu, taka za nyumbani, plastiki, mabaki ya chakula na hata vinyesi. Tabia hii si tu inaharibu mandhari ya...
  17. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Hiroshima yakumbuka miaka 80 ya bomu la atomiki

    Mji wa kihistoria wa Hiroshima unafanya kumbukumbu ya miaka 80 tangu Marekani ilipoushambulia mji huo wa magharibi mwa Japan kwa bomu la atomiki Wengi wa manusura ambao sasa wameshazeeka wakielezea hasira zao kwa jinsi viongozi wa dunia wanavyoonekana kuunga mkono silaha za nyuklia kama njia ya...
  18. MK254

    JamiiForums Tanzania Ndege yatua kwa dharula baada ya mtu mmoja kusema 'Allahu Akbar'

    Siku hizi ukitaja jina la Allah sehemu yenye watu lazima ukimbiwe, aisei hizi nyakati ni mbovu sana na zilitabiriwa kwenye Biblia na tunazishudia, tutaishi kwa hofu sana. Jamaa amesababisha kizaazaa kwenye ndege baada ya kubweka Allah Akbar!!! Ikabidi ndege itue. ------------- Ndege ya easyJet...
  19. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Askari watatu wa KDF wamepoteza maisha, saba wajeruhiwa kwa bomu lilotegwa njiani kaunti ya Lamu

    Askari watatu wa Jeshi la Ulinzi la Kenya (KDF) wamepoteza maisha huku wengine saba wakijeruhiwa baada ya mlipuko wa bomu la kutegwa ardhini (IED) kutokea katika eneo la Badaah, barabara ya Kiunga-Sankuri, Kaunti ya Lamu Akithibitisha tukio hilo, Naibu Kamishna wa Kaunti Ndogo ya Lamu...
Back
Top Bottom