hela

  1. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Tulioajiriwa ni kwamba tumeamua kupata hela mara 12 tu kwa mwaka

    Hatari sana. Unapoajiriwa unakuwa unamuuzia mwajiri wako muda wako. Kuanzia saa 2 asubuhi hadi saa 11 jioni. Mwajiri hukulipa kutokana na wewe kutumia sehemu yake ya kazi kumzalishia mali. Kwa mwaka utapewa hela mara kumi na mbili tu. Dah kweli kuajiriwa ni mtego rasmi wa umasikini. Ndio maana...
  2. chapati mbili na chai

    JamiiForums Tanzania Nahitaji 260,000k Tarehe 18 mwezi huu naombeni kazi au mchongo mpaka tarehe hiyo niwe nimepata hiyo hela

    JF Jeshi kubwa Niko hapa sihitaji mnipe Hela naombeni kazi au shughuli ya kufanya Ili mpaka kufikia tarehe tajwa hapo (Laki mbili na elfu stini za kitanzania) niwe na kiasi hicho Cha Pesa. Nipo Pugu Kinyamwezi hapa msaada wenu ni WA muhimu Sana. Thanks in advance
  3. Club Mate

    JamiiForums Tanzania HOJA BoT inaona freshi Watu kuuza chenji mtaani?

    Wadau, habari zenu. Simaanishi kwamba biashara ya kuuza chenji ipigwe marufuku au wauzaji washughulikiwe. Hapana. Lakini ukweli ni kwamba, uwepo wa watu wanaofanya biashara ya kuuza noti ndogo na sarafu mtaani ni kiashiria tosha cha uhaba wa chenji kwenye mzunguko. Ni wazi kuwa wafanyabiashara...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Gerva Lyenda: Wanaosema Heche anakula hela walete ushahidi

    Akizungumza kwenye mahojiano na Crown Media Julai 27, 2026, Mkuu wa Idara ya Habari na Uenezi wa CHADEMA, Gerva Lyenda, ameeleza kuhusu wanaotoa tuhuma dhidi ya Makamu mwenyekiti wa chama hicho, John Heche kuhusu wizi wa fedha, akisisitiza kuwa fedha za CHADEMA huingizwa kwenye akaunti rasmi ya...
  5. excel

    JamiiForums Tanzania Mteja akikuwekea hela kwenye account yako halafu akaihitaji kabla hujampa huduma, unatakiwa ufanyeje?

    Hello business professionals, mteja amelipia huduma kiasi cha Tsh milioni 1 ili afanyiwe kazi na akabidhiwe kazi yake Jumanne Tarehe 28/7/2026 Ghafla tu anapiga simu anaihitaji hio hela amepata dharura Nifanyeje kuweka sawa hili swala? Process za kazi yake zinaanza saa 11 jioni leo.
  6. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Madogo wa Kiume, Acheni Tabia ya Kuja Inbox Kuomba Hela

    Jamani madogo hasa new members acheni hii tabia ya kuingia inbox za watu kuanza na Bro naomba hela ya kula.Ukienda inbox za watu 100 ukitegemea mmoja atakutumia pesa hiyo siyo sawa. Pesa hutafutwa, siyo kuombwa ovyo. Kama kweli umekwama siku hiyo na una njaa anza kutafuta msaada mtaani kwenu...
  7. kavulata

    JamiiForums Tanzania Muungano unachelewesha kuandikwa Katiba Mpya. Tusipoteze hela nyingine

    UKAWA na CCM walitutia hasara ya mabilioni baada ya kukwamisha mchakato wa kuandika Katiba mpya uliotumia mabilioni yetu ya fedha. UKAWA na Mzee Warioba walitaka Muungano na serikali tatu na CCM walitaka serikali mbili za sasa. Kila kundi lilikuwa na hoja nzuri ila CCM walikuwa na hoja nzuri...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini kuna ongezeko kubwa la wadada wanaopenda hela kwenye mahusiano?

    Mdau hivi kwanini kuna ongezeko kubwa la wadada wanaopenda hela kwenye mahusiano ?
  9. J

    JamiiForums Tanzania Marekani single mothers wanalipwa milioni 2.5 kwa mwezi, hela ya kujikimu, Tanzania tunawapiga vita

    Single mothers ni wahanga, sio wa kulaumiwa.! Single mothers ni wahanga wa kuachwa na wanaume wasiotaka kubeba majukumu yao, wapenda starehe bila gharama, wanaume Hawa ni mzigo kwa taifa Katika nchi zinazotambua hili, single mothers wamekuwa walipewa hela ya kujikimu kila mwezi, zaidi ya...
  10. McLaren

    JamiiForums Tanzania Hela ya 'Mchezo' kwa kiingereza inaitwaje?

    Wakuu habarini Hivi hela ya mchezo namaanisha ile ya vikoba au sijui saccos, kwa kiingereza inaitwaje? Soma Pia: Hili suala la wanawake kusaka hela ya mchezo ya kuchangishana ni Tatizo sana Nimeona niulize maana sijawahi kusikia hili neno kwa kiingereza Wataalamu na wajuzi wa lugha jukwaani...
  11. O

    JamiiForums Tanzania Hela ya Tanzania haina thamani tena, naanza kuiona Zimbabwe Bongo

    Hizi ni ishara tosha kwamba hela ya Tanzania imepoteza thamani yake rasmi.Bwana siku hizi, mtaani na kwenye mitandao ya kijamii kumezuka tabia ya Watanzania kutrendisha mambo yasiyo na manufaa yoyote kama kawaida ya wabongo. Watu wanachezea minoti ya shilingi kumi kumi kama wamevurugwa hivi...
  12. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Ogopa mke anaekupenda ukiwa na hela tu huyo chuma ulete

    Shalom Natoka kusikiliza kesi moja ya wapendwa wanandoa aisee kuna jamaa alishika hela akafanya yake Sasa mke akalianzisha kuachana mwanaume akamwambia 👍 Yaliyotaka kumkuta akatonywa na jamaa yaan rafiki yake huyo mumeo nduguye hakim Wa Morocco utalia Akaenda kuomba mahakaman anampenda...
  13. de Gunner

    JamiiForums Tanzania Trauma ya Mtoto: Karatasi Iliyofinyangwa

    Huyu jamaa alikuwa mnyama kabisa. What he did was destroy a soul of a 15 yrs old young boy. Imagine unampa mtoto mdogo Lamborghini na bado hapo hapo unakeshesha kwenye party za kishenzi aone upuuzi watu wanaofanyiwa, Hakika kuna watu humu duniani wana laana zisizo koma. Huyu jamaa alizidi...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu ajira mpya 2026 Babati tunachelewa kwa fedha za kujikimu

    Tunaomba msaada wa kutupazia sauti sisi watumishi wa ajira mpya wa mwaka 2026 katika Idara ya Elimu, Halmashauri ya Babati. Hadi leo imepita takribani miezi saba tangu kuajiriwa kwetu, lakini bado hatujapokea fedha za kujikimu ambazo ni stahiki yetu kwa mujibu wa taratibu za utumishi...
  15. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Mchepuko hautaki tuwekeze unachojua wenyewe ni kutumiwa hela na kula tu

    Ni manzi yangu ya kitambo ila ndio hivyo tena hana malengo yoyote yeye anajua kutumiwa na kula tu. Nilimwambia awe na biashara nimuwezeshe afanye biashara ajipatie hela ndogo ndogo za kutumia cha ajabu anasema sio kazi yake kutafuta pesa. Nia yangu ilikuwa nimuwezeshe awe na biashara ya...
  16. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Heche anapeleka wapi hela anazotafuna? Nyumba anayojenga haiendani na hela zinazotajwa kutafunwa

    Hii nyumba inatajwa ni ya kisasa ila kwangu mimi ni nyumba ya kawaida sana inayopaswa kujengwa na kijana aliyeanza ajira. Hii nyumba imenikumbusha last born wetu alijenga yake inayofanania. Pia kama hii nyumba ingekuwa inajengwa kwenye prime areas za nchi hii ingeongeza uzito kwenye hoja. Hii...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Wito kwa watanzania: Tumchangie hela Heche kama malipo ya kutunyooshea mafisadi na majambazi yaliyoua watanganyika wenzetu

    Ndugu watanzania, husikeni na kichwa cha habari. Kazi iliyotukuka ya makamu mwenyekiti wa chama pendwa CHADEMA, inahitaji kuungwa mkono na kila mzalendo yoyote popote alipo. Ni wakati sasa kuwaonyesha hawa watesi, wauwaji, wafiraji, watekaji na waporaji wa mali za watanganyika kuwa tunaitambua...
  18. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Huu picha ina maana kubwa sana kiroho, ama kweli hela ngumu

    Upindeeeee
  19. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara Ubungo wachangishwa hela ya ulizi wa maandamano 7 7

  20. venchwa

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wanaume wanaogopa kuwapa wanawake hela? Wapeni hela nao wawape

    Zama za kusubirishana Gizani kusubiri reply zimepitwa na wakati! Sasa we Endelea kutongoza unadhani utafanikiwa bila Pesa ! Kwa sasa kupata mwanamke 1. Kuwa na Pesa 2. Cheo 3. Kipaji 4. Muongo muongo kwa ahadi Hivi hivi hupati kitu! Nyakati hizo zimepitwa Sasa ni nipe nikupe Nimegundua...
Back
Top Bottom