mikutano ya ccm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Desierto

    JamiiForums Tanzania Kuna watu mpaka leo hawajui kwanini wanaohudhuria mikutano ya CCM huenda na mabegi mgongoni

    Niwasanue au niwaache tu. Dunia ina siri ila hii ya kwao tushaisanukia😁 yaani wanatoka na begi la nguo za kijani wakifika wanabadilisha mkutano ukiisha wanazivua na kuficha kwa mabegi.
  2. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya Mikutano ya CCM na CHADEMA kwa sasa

    Mikutano ya Chadema imejaaa watu wa rika zote, vijana akina mama na wazeee wenye bashasha na wanaotaka madiliko. Mikutano ya CCM imejaza akina mama wazee. WanaChadema wanatoa hoja za msingi wakipinga ufusadi, utekaji na upendeleo wa kisiasa wanaouoata wanaCCM wachache na familia zao. WanaCCM...
  3. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Wiki moja tu ya mikutano ya CCM wamechanganyikiwa na kupata mfadhaiko wa kisiasa.

    Chadema wawe makinini sana kila wanapoenda kufanya mikutano. Maana imeonekana wanaCCM wamechanganyikwa na sasa hawapati usingizi. Ulinzi uimarishwe maana kama wameanza kukata watu mapanga msishangae wakachoma magari ya Chadema kama kule Chato. Kama wiki moja tu wamechanganyikiwq hivi je...
  4. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ziara ya Dkt. Emmanuel Nchimbi: Kero ya Mikutano ya CCM Mkoa wa Kilimanjaro

    CCM inakutana na changamoto kubwa katika kukusanya wanachama kwenye mikutano bila kuzingatia muda wa watu. Kwa mfano, Dr. Emmanuel Nchimbi alipokuwa katika ziara ya mkoa wa Kilimanjaro, wanachama wa CCM walipata tangazo kuwa atawasili Jimbo la Hai saa 2 kamili asubuhi. Hata hivyo, wanachama...
  5. S

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Sugu amesifia mikutano ya CCM na kwamba CHADEMA walifanya wrong move

    Wakuu ni kweli kuwa huu ujumbe umechapishwa na Sugu?
  6. Subira the princess

    JamiiForums Tanzania Sababu kwanini mikutano ya CCM imejaa watu nyomi

    Wasalaam. CCM wakiamua jambo lao hufanya kila linalowezekana ili kulifanikisha Siri ya nyomi la CCM kila mkoa ni kwamba wanasafiri na watu wao kwenye jumla ya mabasi 20 na kisha wakifika mkoa husika huwapata watu wenye dhiki kali na njaa na muwapa buku 5 kila mmoja na kuwasafirisha kwa maroli...
  7. D

    JamiiForums Tanzania KERO GE2025 Rais Samia ni mgombea kama wengine. Watumishi na wanafunzi si mali ya CCM. TUGHE kemeeni barua za vitisho za waajiri juu ya wasiohudhuria kampeni CCM

    Hivi TUGHE hamzioni barua za vitisho toka kwa waajiri kuwalazimisha watumishi na wanafunzi kuhudhuria mikutano ya kampeni ya mgombea wa CCM? Barua za waajiri zinawataka watumishi kuhudhuria mikutano hiyo na mahudhurio kuchukuliwa uwanjani. Hii ni kinyume na utaratibu. TUGHE kama shirikisho...
  8. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Jionee tofauti kati ya Mikutano ya CCM na ya CHADEMA iliyofanyika eneo moja la Kariakoo

    Mungu fundi sana! Polisi wakiendelea kutumiwa vibaya na CCM ambao wanawanyonya na kuwafanya waishi maisha magumu leo wamezuia Mkutano wa Chadema uliopaswa kufanyika pale Kariakoo Angalia picha hapa chini👇 Cha kufurahisha zaidi Polisi hawahawa wamekuwa wanawaruhusu CCM kufanya Mikutano eneo...
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hashim Rungwe: Tukienda kwenye mikutano ya CCM wanatupa hela, tunazichukua na tutaendelea kuzichukua

    Hashim Rungwe ambaye ni Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA) akihojiwa na Edwin Odemba anasema: “Kila tukienda kwenye mikutano ya vyama vya Siasa CCM inachukua pesa za wananchi inatulipa ili ionekane nchi hii kuna demokrasia, hakuna dawa hosptalini ila pesa za kutulipa wanapata na...
  10. F

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mikutano ya CCM inayoendelea kufanyika kwenye stendi za mabasi ni kinyume na taratibu. Tusigeuze stendi za mabasi kuwa viwanja vya mikutano ya siasa

    Kumezuka mtindo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kufanya mikutano ya hadhara kwenye stendi za mikoa za mabasi. Leo katibu mkuu wa CCM ndugu Emmanuel Nchimbi ameongoza mkutano wa hadhara katika stendi ya mabasi mjini Babati mkoani Manyara. Jumatano tarehe 5 CCM wamepanga kufanya mkutano wa hadhara...
  11. Execute

    JamiiForums Tanzania Mtu mwenye akili timamu anawezaje kwenda kwenye mikutano ya CCM huku nyumbani ana mgawo wa umeme?

    Je, hao watu ni masikini sana kiasi kwamba hawajaunganisha umeme majumbani kwao au ni nini? Kwasababu mtu mwenye akili timamu hawezi kwenda kushabikia mikutano ya watu waliofeli.
  12. R

    JamiiForums Tanzania Waliopewa kazi ya kupiga picha za Mikutano ya CCM kwanini wanapiga watoto(wanafunzi) picha badala ya watu wazima?

    Picha wanazopost wanaosimamia mitandao ya kijamii ya CCM zimejaa sura za wanafunza tena baadhi ya wanafunzi wakiwa na uniform siku za shule; Mfano picha za Mtwara na leo picha za Tanga zimejaa suraza wanafunzi. Kwanini wasiwapige picha watu wazima? Fanyeni maboresho vinginevyo tafuteni wapiga...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Mikutano ya CCM watu huuliza atakuwepo msanii gani. Mikutano ya CHADEMA watu huuliza kama Tundu Lissu atakuwepo

    Huo ndio Ukweli japo ni mchungu Mikutano ya CHADEMA inajaza Watu bila ya uwepo wa Msanii Maarufu yoyote Wananchi hujitokeza kwa wingi kumsikiliza Msema kweli Tundu Antipas Lisu na siyo kuona maigizo Tukubali tu kuna maeneo CHADEMA wako vizuri hasa ya " Mvuto" Jumatano iwe Njema kwako, amen!
Back
Top Bottom