uchafu sana huu
hakikisha hauingii mkenge wa UTI sugu, hivi unajua UTI sugu inaweza kuathiri mpaka Figo au maini.. wale wadudu wasipopata tiba nzuri wanapanda Kwa kibofu Cha mkojo wanaenda tumboni kuathiri organs zingine
wanaathiri mpaka mimba, mimba inaweza kuaribiwa na UTI sugu so kuwa...
TL;DR (Kwa ufupi): Wito kwa Mange Kimambi kuwa makini na vyanzo vyake vya habari kwani CCM wanatumia mbinu ya "Diversion" na masalia ya wasaliti wa ndani ya CHADEMA (aina ya kina Yericko) kuvujisha habari za uongo (mafamba) kuhusu migogoro ya kufikirika ili kusambaratisha wanamageuzi, kama...
Mlinzi wa John Heche,take care,narudia yake care usidhanie unalinda jokeri
Yeye jukwaani ananyumba akiwa anaongea wewe umesimama pahala pamoja tu,
Take care kiapo chake ni either ufe au afe.
Hivi Tundu Lissu wakati wa kupigwa risasi kwa Nini hakuwa na ulinzi ilihali alikuwa mnadhim mkuu wa...
Kumekuwa na trend ya watu tunaoweza kusema ni content creators ambao wapo nje ya nchi wanatoa post/content mbali mbali kuhusiana na maisha ya ughaibuni.
Wengi wanazungumza umuhimu wa kujaribu fursa kwenye nchi zilizoendelea zaidi mfano wa nchi za ulimwengu wa Kwanza!
Binafsi nilikuwa Mpenzi wa...
Betting Codes
Mkamaria anasuka mkeka wake kisha anashare betting codes za mkeka huo, mfano 72HD82. Wateja wengine hawahitaji kusuka mkeka kutoka mwanzo; wanachagua tu code, na mkeka unajisuka moja kwa moja. Ukiweka dau, mkamaria hupata sehemu ya asilimia fulani, mfano 4%. Kwa mfano, ikiwa watu...
boti
code
hivyo
kabla
kamari
kampuni
kichwa
kujiunga
kumbuka
kupitia
kuwamakini
lazima
links
maarufu
makampuni
makini
mikeka
mitandaoni
mkeka
mmoja
moja
pesa
referral
tahadhari
upande
wakubwa
wao
wengi
zao
Tazama picha za Jose wa Kitaa na Jose huyo huyo ndani ya vizimba vya mahakama Iringa .
Ndoto za kusaka utajiri zitaishia jela kwa kijana Joseph aliyemkatakata mtoto wake na kusagasaga mifupa yake na kuiweka kwenye tenki la maji machafu.
Picha za Jose hazina hatia kabisa, anaonekana alikuwa...
CCM haitaki kubadilika kulingana na nyakati, Kassimu Majaliwa nyota yake haijafifia hata iweje bado inang'ara sana hata km CCM na Samia mnajitaidi kuizima.
Mlinzi wake nimekuona umeanza kubweteka, take care man. umeilinda hazina ya nchi system soon itatoa majibu.
Yaliyotokea October 29 wanashindwa kufanya wajifiche vipi ili dunia wajue kuwa tanzania ni ya amani.
Heka heka za mkesha msipo kuwa makini mtajikuta kwenye Tume na kusema imechunguza sana.
Hapo vip!!
Mama Tibaijuka binafsi mimi sio mtu ambaye napenda sana kufuatiliaaga mambo yako wala kukufahamu sana ila leo nashangaa nimeota ndoto juu yako.
Nimeota like kama umetengenezewa kesi na watu wasio kupenda na nikesi ya uwongo,ila nikawa nimesikia watu pembeni wakisema kwenye hiyo kesi...
UVCCM kimekuwa kikundi hatari sana ndicho kinacho tekeleza operation nyingi za utekaji kikishirikiana na task force.
Kikundi cha utekaji kikimtaka mtu huwasiliana na UVCCM wa eneo husika, kwa sababu UVCCM ndio wanaowajua viongozi wa upinzani walio mikoani, wengine ni marafiki zao wa karibu...
Habari wana JF.
Siku imekucha na makucha yake.
Kama ilivyo saivi hali si shwari kabsa, roho za watanganyika zinawindwa kila sehemu, si Kijiji, mnjini wala mitandaoni hali ni mbaya mno.
Kwa mantiki hiyo naomba niwape tahadhari hasa wale ambao tunapaza sauti zetu kwa njia ya maandishi na...
Wakuu, siku hizi imekuwa kama fashion — mwisho wa mwezi watu fulani wanajitokeza ghafla kukutafuta, si kwa sababu wanakukumbuka, bali wanatafuta namna ya kukuomba hela kwa ujanja.
Utagundua mtu anakutumia DM au WhatsApp baada ya miezi kadhaa bila mawasiliano, mazungumzo yanaanza kwa “bro...
Kucha zako, nywele , nguo yako ya ndani ni vitu muhimu sana usitope hovyo katika ulimwengu wa kichawi vitu hivyo vinakuwakirisha wewe mwenyewe kama ukitokea mubaya wako amevipata basi wewe umeangamia .
Unalalamika huzai kila siku mimba zinashuka kumbe nguo yako ya ndani ilichukuliwa na wabaya...
Machawa wanaweza kuchukulia simple, lakini tuwakumbushe ata Gadaff, Hussein Mubarak,Bashar al Hasad, Idd Amin walichukulia mambo simple.
Huyu bwana mdogo Nassoro Katuga, tunamjua in and out toka yupo sekondari Arusha, Hadi anaunga Certificate ya law mpaka degree ya law pale Mzumbe University...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.