Siwatishi ndugu zangu ndio hali halisi ilivyo, Leo majira ya saa tisa nimekutana na msafara wa dkt mwinyi mtoni mess sikujua anaenda wapi kumbe alikua ana pelekea pwani mchangani kufungua hiyo hotel, bilioni 132 imetupwa hapo, alafu mtu UNAJIITA una hela umewekeza 10m una hela una heleni ?
Habari zilizonifikia , zinasema mwana mitandao na mfanyabiashara Mariam Uswazi anashikiliwa na Jeshi la Polisi Kituo cha Kati (Central), huku wadeni wake wakifika kituoni hapo kufuatilia hatma ya pesa zao.
Pia soma:
~ Wanawake wa Tanzania msipoachana na upatu mtaendelea kumlaumu Mariam Uswazi...
Hilo ni jambo la kuchukulia kwa uzito. Mtu ambaye biashara yake inaanguka na anaona pesa ndiyo njia pekee ya kuiokoa anaweza kuwa chini ya msongo mkubwa wa kifedha na kihisia, na katika baadhi ya mazingira akafanya maamuzi hatari kama utapeli, wizi au vurugu.
Presha ya kifedha inaweza kumsukuma...
Utakuwa mzalendo kama
1. Hupendi watu wanaotaka katiba mpya
2. rushwa imejaa serikalini
3. Utekaji unajulikana waziwazi
4. Unateka watu wanaopiga uvunjaji wa sheria
5. Unaiba kura
Sasa huyu ni mzalendo na mpiga deal?
Mfanyabiashara mmoja kutoka Uganda ameomba msaada wa mamlaka za Kenya kufuatia madai kwamba hajalipwa fedha za mahindi aliyosambaza nchini karibu miaka mitatu iliyopita, licha ya bidhaa hizo kudaiwa kupokelewa na mnunuzi na malipo kufanyika.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kamaala Enterprises Limited...
N.B: Ninachozungumzia hapa ni biashara zetu wabongo. biashara zetu humtegemea sana mmiliki wake kiasi kwamba asipokuwepo hata mwezi 1 tu nazo huanza kudorora. ni tofauti na Wahindi au Waarabu, ambapo wanafamilia wote hushiriki, hivyo hata wanapostaafu biashara zinaendelea kuwatunza. kwetu tuna...
Hii inatufunza kuwa siasa yetu sasa imeingiliwa sana na wafanyabiashara na wanaohamasisha maandamano wanafanya hivyo ili kupoka madaraka kutoka kwa wazalendo wanaojali wananchi wa hali ya chini.
Nyerere-Hakua mfanyabiashara
Mwinyi-hakuwa mfanyabiashara
Mkapa-Hakuwa mfanyabiashara
Kikwete-Hakuwa...
Mkuu wa Mkoa wa Njombe Anthony Mtaka amesema ni muhimu Wafanyabiashara kuwa na maisha yanayoendana na kipatao chao .
Mtaka amesema hayo leo Julai 13, 2026 wakati akizungumza na Wakulima wa Parachichi watakaoenda nchini India kujifunza Soko la Parachichi India ambapo amesema wapo Wafanyabiashara...
Nimeona hii niilete kwenu
Kama unajijua wew ni mfanyabiashara unapokea malipo kupitia lipa namba ya VODACOM haupo sehem salama
Mm Leo nimepata mteja kutoka Moshi kanipa oda kalipia 60000 nikamfungia mzigo kamtuma mtu kuja kuuchukua baada ya kuuchukua karidisha muamala
Voda hawajanipa taarifa...
Eneo la wazi la Biafra Kinondoni limebeba kumbukumbu na historia ya makuzi ya watu wengi kwa miongo kadhaa. Wengi wetu tumelikuta kama sehemu ya michezo, mikutano ya kijamii na hata sehemu iliyounganisha jamii ya Kinondoni kwa namna tofauti tofauti. Ndiyo maana eneo hilo halikuwa tu ardhi ya...
Anonymous
Thread
biafra pamegwa
ccm
kinondoni
mfanyabiashara
showroom
uwanja wa biafra
Hawa Jamaa ni wapumbavu sana!!
Kwao Kuua si kitu chochote Tena.
Kuweni Makini , Kwasasa Kuna Mauaji yanafanyika na yataendelea kufanyika ni MIILI AU MAUAJI HAYO YATATENGENEZEWA MAZINGIRA YA KUHUSISHA NA 'USHIRIKINA" !!.
Baada ya Kutafakari kwa kina, na kupitia rejea kadhaa kadhaa za Wauaji...
Ndugu zangu Watanzania ,
Habari ndio hiyo ya kuwa Mfanyabiashara Fred Ngajiro (Vunjabei) ameibuka kinara katika kura za maoni za kumtafuta mrithi wa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Isimani, Lukuvi, huku akiongoza katika kata nyingi zilizopigwa kura.
Kwa mujibu wa matokeo ya awali, Vunjabei...
Inasadikiwa aliibiwa ng'ombe zake huko Muleba. Akaenda kwenye mmoja ya minada ya kuuza ng'ombe na akaziona baadhi ya ng'ombe zake.
Ilikuwa siku kama chache kipindi cha sikukuu ya Iddi.
Alipoziona ng'ombe zake pale mnadani akaanza kufyatua risasi juu ili kuwatawanya wananchi. Risasi...
Abdilah Musa alimaaruf kama Banjoo alitikisa Arusha kwa ubabe wake na ujuzi wa kuishika na kuitumia bereta kwa ufanisi wa hali ya juu sana.
Alikuwa mwizi wa madini na magari na mbabe haswa.
Soma Jambazi Sugu "BANJOO" larudi uraiani
Aliwahi kwenda magereza kwa vipindi tofauti lakini kesi yake...
DP World, kampuni ya kimataifa ya usafirishaji na usimamizi wa mizigo inayomilikiwa na Falme za Kiarabu (UAE), imemwondoa Sultan Ahmed bin Sulayem katika nafasi ya mwenyekiti na mtendaji mkuu kufuatia uchunguzi mkali kuhusu urafiki wake na marehemu Jeffrey Epstein.
Kampuni hiyo Ijumaa ilimteua...
Mfanyabiashara uliyeamua kuendesha biashara yako kwa kuzingatia misingi ya kisheria ili kufanikisha ukuaji endelevu bila vikwazo, kuanzia sasa usijitese. Wasiliana na kampuni yetu yenye wataalamu waliobobea na wenye uzoefu wa kutosha katika Sheria na mifumo ya kodi.
Kumbuka kuwa kuanzia tarehe...
Mfanyabiashara uliyeamua kuendesha biashara yako kwa kuzingatia misingi ya kisheria ili kufanikisha ukuaji endelevu bila vikwazo, kuanzia sasa usijitese. Wasiliana na kampuni yetu yenye wataalamu waliobobea na wenye uzoefu wa kutosha katika Sheria na mifumo ya kodi.
Kumbuka kuwa kuanzia tarehe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.