wachache

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Uaminifu wa Wachaga kwenye upinzani unashuka, viongozi wachache wanaponza kabila zima kuonekana kujali maslahi tu, hawana msimamo wala uzalendo.

    Katika matukio mengi yanayoendelea kwenye siasa za upinzani kuanzia uchaguzi wa Chadema, kuhamia Chauma, Mbowe kuonekana alikuwa muigizaji, tetesi za Lema haivi chungu kimoja na Heche, n.k. nimeona maoni mengi ambayo yanawapoint na kuwachafua wachaga, kwajili ya matendo ya wachache. Watu...
  2. X

    JamiiForums Tanzania Kariakoo inatufundisha somo moja: Bila Mchina bidhaa nyingi za kisasa zingekuwa za wachache

    Ukitaka kujua mchango wa China kwenye maisha ya Mtanzania wa kawaida, usianzie Beijing, anzia Kariakoo Leo mtu mwenye budget ya kawaida anaweza kuingia dukani na kutoka na bidhaa ambayo miaka kadhaa iliyopita angeiona kama luxury 1. FRIDGE Samsung/LG zikiwa na features za kisasa zinaweza...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Makosa ya baadhi ya Askari wa Usalama Barabarani (trafiki) wasio na weledi yaliyowahi kusababisha maafa

    Ukosefu wa weledi katika kutekeleza majukumu ya kusimamia usalama barabarani yaliyowahi kuleta majanga: Mamlaka za usalama barabarani zipo chini ya kikosi cha usalama barabarani (Trafiki) Pamoja na kupewa mamlaka hayo makubwa kusimamia vyombo vyote, yapo makosa ya wazi kabisa ambayo hufanywa...
  4. BOB LUSE

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wachache sana Wana Conviction,wengi siasa ni kutaka vyeo na kuganga njaa!

    Ukiuliza Wanasias wengi,Vyama vyote, Kipi unakisimamia Moyoni Mwako? Jambo gani umeweza kulisimamia kama Mwanasiasa katika Maisha yako bila kuyumba utakosa majibu! Ukisikia wanasiasa wanaongea vitu kinyume,lakini vinavyobeba Maslahi yao! Ili waonekane Machawa wapate teuzi. Wanayosema...
  5. Vien

    JamiiForums Tanzania Watu wengi hushangaa kwanini wanawake wengi hupendelea kugombania wanaume wachache, huku wanaume wengi wakibaki bila chaguo

    Katika mjadala wa mahusiano, kuna jambo ambalo watu wengi huliona lakini hulikwepa kulizungumzia kwa kina. Mara nyingi utakuta kundi kubwa la wanawake linavutiwa na wanaume wachache wenye hadhi fulani, mafanikio fulani au maisha yaliyojengeka, huku wanaume wengi wengine wakibaki nje ya mzunguko...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Katibu Mkuu watu ni wachache, maana yake hujafanya mobilization?

    Ndugu zangu Watanzania, Hayo ni Maneno ya Lissu Akilalamika na kumlalamikia Katibu Mkuu wake John Mnyika kuwa watu waliojitokeza ni wachache sana na kwamba inaonyesha hajafanya Hamasa ya kutosha ili watu waende kwa wingi kusikiliza kesi. Lissu ni lazima afahamu kuwa watu wana kazi zao na...
  7. haszu

    JamiiForums Tanzania Wadada wazuri ni wengi ila wakaka wazuri tupo wachache sana

    Ni rahisi sana kukutana na wadada wazuri hata 20 kwenye trip moja ya daladala ila wakaka ma handsome tuko wachache sana kwa kweli. hii inamaanisha sisi ni badhaa adimu ndio maana wadada wanatugombea sana na wakitupata wanakua na wasiwasi mwingi mana wanajua wataibiwa. Wanaume wengi ni average...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ndoto ya harusi ya kila introvert,

    Hii ndio ndoto ya introvert hata kama ni bilionea Na hawa bado ni wengi kwa baadhi yao 😂 sh
  9. A

    JamiiForums Tanzania RESOLVED KERO Law School of Tanzania ilitangaza kukamata wachache kwa udanganyifu wa mitihani, why wanafunzi wote turudie mitihani?

    Mimi ni mmoja wa wanafunzi wa Chuo cha Sheria Tanzania (Law School of Tanzania), naomba kupaza sauti kuhusu uamuzi wa chuo kutangaza kuwa wanafunzi wote wa Kundi la 42 pamoja na Kundi la 40 waliokuwa kwenye marudio (Supplementary) warudie tena mtihani wa Written Practical Assessment (WPA)...
  10. Fbn

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania ina wananchi wazuri kupenda nchi yao ila imefanywa kuwa nyumba za watu wachache kuwa nchi yao

    Sio kwa ubaya ila mada hapa JF zinaangiwa mpaka kuna wataalamu wa lugha wanajitokeza kutafuta kiswahili ni sahihi jambo linaro sema ukweli. Kuna mikoa ambayo inapatikana gesi na mpaka sasa wanajeshi wapo wamejazana. Leo pale dodoma kuna uranium ya kutosha mshapeleka urusi. Kuna makahaa ya...
  11. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Ibara 14 ya katiba inampa kila mtu kuishi iweje watu wachache ndani ya nchi wanaivunja katiba...

    Nashangaa taifa lililosheheni taasisi nyingi za kuilinda katiba lakini wanaibuka watu ,kikundi cha watu wanaivunja hiyo katiba na taasisi zipo za kuitetea katiba . Kama katiba imeshindwa kumlinda raia kuna haja kuwa na katiba . Katiba yetu imechakaa kama shati lililopauka lenye virakaviraka...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Chalamila: Rais angesema kila mtu arudishiwe kodi yake aliyolipa nina uhakika ambao wangerudishiwa ni wachache

    Huyu Chalamila hajui hata namna kodi zinavyokusanywa yeye anadhani kodi ni ile inayolipwa direct tu, debe tupu --- Chalamila amesema kuwa wanaosema miradi inajengwa kwa kodi zetu watambue kuwa kodi peke yake haiwezi kujenga ila inahitaji akili ya Rais katika kutafuta funds na anadai aliwahi...
  13. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Mimi nakubali walikufa 500 siku je ni wachache hama wengi? Je waliuwa ili waingie ikulu? Au walikuwa wanazuia watu batili wasiingie ikulu?

    Hahahahahhhhhh hicho ni kilio sio kicheko, je walikufa ni wachache au wengi? Nauliza je walikuwa wanawapinga wakina naninwasiingie ikulu?je uliepinga uliua 500 watu wajiskiaje?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Pamoja na tofauti zetu, ikitokea Trump kasema anakuja Tz kufanya alichofanya Venezuela au Iran watanzania wengi tutaungana kumpinga

    Tunaweza kuwa na tofauti zetu lakini kuna mstari ukivukwa lazima utauona umoja wa watanzania hata wanaotofautiana Trump akithubutu kutuletea mambo yake aliyofanya Vendezuela na sasa Iran, atajutia uamuzi huo maana sio kwa aibu atayopata. Tanzania, Tanzania! Nakupenda kwa moyo wote Nchi yangu...
  15. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Kiukweli kauli ya Thabiti Kombo sio kauli nzuri kamwe anasema vurugu ilikuwa ndogo ukifananisha za mataifa mengine Africa how ?

    Kiukweli kauli ya thabiti kombo sio kauli nzuri kamwe anasema vurugu ilikuwa ndogo ukifananisha za mataifa mengine Africa how ? Kubabake kyabakari ntaliaamwe.
  16. M

    JamiiForums Tanzania Miaka inaenda na ninazidi kuona umuhimu wa kuwa na ndugu, nimebaki na marafiki wachache sana watu waliobaki ni ndugu

    Zamani nilikuwa na marafiki wengi, lakini kwa sasa nina rafiki mmoja wa karibu sana. Wengine waliopo ni watu wa kushirikiana nao kazini au mtaani, ni mahusiano ya kijamii yanayosaidia kubadilishana mawazo na kuondoa upweke, lakini si ya kina sana. Katika maisha yangu ya zaidi ya miaka 30...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Warioba kuwa Iddi Amin aliua Watanzania wachache kuliko serikali ya Samia; Jeshi lijitazame sana

    Nimemsikiliza Mheshimiwa Warioba, amesema kuwa vijana wetu waliouawa na Iddi Amin ni wachache kuliko watanzania waliouawa na utawala wa samia kwa kutumia majeshi yetu. Taarifa ya jambo hili imenitafakarisha sana, kunihuzunisha sana na kushangazwa sana kuona kuwa majeshi yetu yanaweza kufanya...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Thomas Sankara: Rasilimali za nchi zinapaswa kuwanufaisha wananchi wote, si kuwatajirisha wachache

    Thomas Sankara, kiongozi wa mapinduzi na Rais wa Burkina Faso kutoka 1983 hadi 1987, alitoa kauli hii kama sehemu ya maono yake ya taifa linalojitegemea na lenye usawa. Serikali yake ilitekeleza sera nyingi zinazolenga kupambana na ufisadi, kukuza ustawi wa jamii, na kuhakikisha kuwa...
  19. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya Umma: Harmonize ashusha video yake huko Youtube baada ya raia kususia kuitazama na kuambulia viewers wachache

    Harmonize tarehe 29 alipandisha ngoma mpya YouTube, badae ameona aifute kutokana Viewers kuwa chini ya 5k since then mpaka jana. Wananchi especially Gen Z wameona sio tu show zao hata kuwasapoti kwenye platform mbalimbali ni kitu hakitakiwi kwasasa, Wananchi wameamua kuwapuuza the so called...
  20. Common Folk

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Waratibu wa maandamano wanatoka nje, wachache wa ndani ni kwa sababu ya njaa na kukosa uzalendo

Back
Top Bottom