hela

  1. BOB LUSE

    JamiiForums Tanzania Usiweke Hela benki zisizokuingizia chochote, Weka Hela zako kwenye masoko ya Hisa au fungua miradi

    Kawaida ya Waajiriwa wengi, kuweka Akiba, Saving account kwenye benki zetu, kwaajili ya usalama. Account hizo kuna ledger fee unalipa, huingizi chochote. Nikushauri, wekeza kwenye masoko ya Hisa, akiba yako itaongezeka Kila mwezi, Kwa riba utakayokuwa unalipwa. Usipate hasara, kusubiri mpaka...
  2. Mjanja M1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sitafuti hela kwaajili ya Mwanamke

    Huu msemo wenu wa "tafuteni hela wanaume ili mmiliki pisi kali" hua nauona ni msemo wa kijinga tu, binafsi naipambania pesa kwaajili ya maisha yangu mimi na si ya malaya, mnasujudu ngono sana ndiomaana mnatumia pesa kupata penzi, acheni ufala vijana wenzangu tafuteni hela kwaajili ya maisha yenu...
  3. Kiplayer

    JamiiForums Tanzania Tafuta hela ni msemo usioendana na wanaoutumia

    Wengi wanaopenda kusema hii kauli ya TAFUTA HELA ni mafukara wazuri tu na ndio maana kuna muda naiona miyeyusho.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tupeni hela zetu tukafie mbele

    Inasikitisha wastaafu kutoa kauli kama hizi
  5. OCCID Dominik

    JamiiForums Tanzania KERO Hela ya malipo ya transcript imelipwa lakini bado NACTE hawataki kuitoa

    Wakuu habari ya muda..mdogo wangu amehitimu ualimu miaka minne nyuma sasa punde baada ya kuhitimu huwa wanapewa mapema ACADEMIC CERTIFICATES kuliko vyeti vingine..kwa hiyo alifanikiwa kuipata mapema tuu sasa Kimbembe ikawa kupata TRANSCRIPT. Pesa ilishalipwa katika control number husika na sms...
  6. BOB LUSE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume, usihangaike kutafuta wanawake, tafuta Hela, hao watakuja wenyewe!

    Unatumia muda na Hela kidogo ulizo Nazo kusaka wadada,mpaka unasafiri Mbali kufuata demu! Unachoma mafuta unazunguka Mkoa Mzima/ wilaya/ kitongoji kisa demu! Elewa kuwa umepoteza muelekeo na nimtumwa wa mapenzi,mhanga wa kupenda Kuliko pitiliza. Unahitaji Maombi uokolewe. Wewe ni cheap and...
  7. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya na Waganda wanapiga hela sana Somalia. Tupeane mchongo, mnawezaje hiyo nchi?

    Wakenya walio Somalia wanatuma wastani $500,000 kwa siku, noma sana yaani mlifikaje huko na mnavumiliaje hayo mabomu, nchi yenye misuko suko ya kidini. ========= Somalia has emerged as a new source of remittances for Kenya and Uganda, accounting for $180 million and $21.9 million respectively...
  8. Chief Kumbyambya

    JamiiForums Tanzania Wazee nahisi kuna mtu amenicheza, nikipata hela hazikai

    Yani kabla ya mwisho wa mwezi nakuwa na mipango mingi sana tena ya maana mnoo. ila ukifika tu huo mwisho wa mwezi hela inavyopukutika sasa, hata sielewi. Mitungi jamani mitungi jamani mitungiiiiiiiiiiiii aaaaagh. Nakukuta tu balance niliyobaku nayo inatia huruma hapo ndo akili zinarudi hela...
  9. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Nina kipaji cha kuchoma hela niamishiwe wizara ya fedha.

    Mimi hata ukinipa million 5 sasa hivi siwezi kujibania lazima ipigwe kiberiti kazi ya Hela sio kuwekwa chumbani au kuhifadhiwa.. Unajenga nini lijumba kubwa wakati una mwili mdogo we huoni wazungu hata vitanda vyao vidogo.. Nipelekwe BOT pale nikachome hela nitakuwa mwaminifu sitatoka na pesa...
  10. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Hela sio ya kusolve matatizo peke yake

    Huwa nashangaa mtu anapata pesa anabaki na mawazo mengi kichwani yaani in short anaitesa pesa yake anaipa changamoto pesa yake kazi yake inakuwa ni kutatua tu matatizo mara ya wagonjwa mara ya madeni. Sikatai kutumia pesa kwenye shida ila usijisahau babu kula kidogo sheikh kula kuku au safari...
  11. MKATA KIU

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ujanja mpya umeibuka wa kutapeli wanawake hela kwa kutumia dating page za Instagram

    Uzi umefutwa maana unaharibu biashara za watu.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa Vodacom wameniibia hela yangu msaada tafadhali

    Mimi ni wakala wa voda na mitandao mingine pia kwa kutuma na kutoa hela Leo nipo ofisini kuangalia kamisheni yangu nikakuta zaidi ya 50 elfu imekatwa Moja kwa moja nikawasiliana na huduma kwa wateja kitengo cha mawakala nikawaambia mbona mmepunguza kamisheni yangu. Wakaniambia wasiliana na...
  13. Kasiano Muyenzi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume ambaye hana pesa asioe

    Nimeona wanaume wengi kwenye mitandao ya kijamii wakilalamika jinsi wanawake wa siku hizi wanavyopenda pesa, ukiwachunguza hao walalamikaji utagundua hawana hela Ila wanatamani kuoa. Hivi umewahi kuchunguza - ni katika tamaduni gani mwanaume asiye na kitu alipewa mke? Kwa maoni yangu binafsi...
  14. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Taja mashine/chombo ambacho unaweza kuwa unakikodisha na kikakupatia hela

    Kwenye upande wa ufundi unaweza ukawa na vitu vifuatavyo mafundi wakaja kukodisha wakafanyie kazi kwa maana mafundi wengi tu nawajua wana ujuzi ila hawana vifaa. TOOLBOX SET GRANDER MACHINE ZA KUPAKA RANGI MACHINE ZA KUCHOMELEA HAMER DRILL MASHINE YA KUFYATUA MATOFALI MATOROLI MASHINE YA...
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo hela zilivyopigwa kwenye Bohari ya Madawa

    Hii ni kwa Mujibu wa CAG "Nilibaini kuwa Bohari Kuu ya Dawa ilinunua mashine 10 za kuondoa maumivu, ukakamavu na mkazo wa misuli (Diathermy) kwa bei ya shilingi milioni 136.7 na kuacha kununua vifaa hivi kwa mzabuni aliyebainika kuwa na bei ndogo wakati wa ushindani ya shilingi milioni 103.2...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Hii ndio bajeti ambayo haikosagi hela toka Serikalini

  17. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kuna watu huwa wana enjoy zaidi ile hali ya wao kujulikana wameishiwa hela

    Kuna Wale Watu wa kujichanganya na watu wa namna zote wenye hela na wasio nazo, wanywa bia na wanywa gongo huwa wananifurahisha sana pale wanapopata hela yaani moyo hautulii mpaka hela iishe. Na kati ya maskini na matajiri nimejifunza wanaoongoza Kwa dharau ni maskini hawahawa wanywa gongo...
  18. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Mwanamama billionea ahukumiwa kunyongwa kwa kosa la utakatishaji hela $44 billion

    Anaitwa truong my Lan umri ni miaka 67 Tajiri wa ki Vietnam amepatikana na hatua ya kutakatisha hela kwenye Bank moja kubwa Kwa zaidi ya miaka 11.ila nimeshindwa kujua hasa alifanya fraud kivipi Kwa maana hiyo hela aliichukua kama mikopo. Kesi hio Ilikuwa ni kubwa sana kiasi kwamba ilihusisha...
  19. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Kama unahisi Mchumba wako (Demu) anataka kukuomba hela na wewe huna, tengeneza ugomvi

    kama huna hela ya kumpa wife wako / demu wako siku kama za sikukuu au siku yeyote au ukiona nywele zake zinakaribia kufumuka na wewe machale yanakushika unaenda kuombwa hela , halafu mfukoni hakueleweki ushauri wangu kwako wa kijasusi tengeneza ugomvi alafu jifanye umenuna ili sikuzipite 😀😀😀
  20. MK254

    JamiiForums Tanzania Thamani ya hela ya Iran yaanguka 30% zaidi, inazidiki kudondoka

    Yaani Iran haiponi, inapigwa kote.... Iranian rial collapses, 'loses 30% of value' - reports Government attempts at distracting the public with threats against Israel do not go unnoticed, as small demonstrations and online comments return focus to harsh conditions Yesterday, a sharp crash in...
Back
Top Bottom