malaika

Malaika Arora is an Indian actress, dancer, model, VJ, and television presenter. She is most famous for her dancing in the songs Chaiyya Chaiyya (1998), Gur Naalo Ishq Mitha (1998), Maahi Ve (2002), Kaal Dhamaal (2005) and Munni Badnaam Hui (2010). She turned into a film producer in 2008, with her former husband, Arbaaz Khan. Their company Arbaaz Khan Productions has released films like Dabangg (2010) and Dabangg 2 (2012).

View More On Wikipedia.org
  1. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Hivi yesu alipaa paaje je aliota mbawa kama malaika au alipaa Kwa aina Gani?

    Naomba kuwasilisha swali hili kutoka kwenye Manispaa ya kichwa changu. Ili uweze kupaa lazima uwe na mbawa (mabawa) kama ndege mfano halisi ni malaika Wana mabawa. Hata hii ndege ya abiria Ina muundo wa ndege viumbe sasa yesu yeye alipaa paaje (Kwa aina ipi) ? Maana biblia haijasema kuhusu...
  2. a sinner saved by Christ

    JamiiForums Tanzania Malaika wanatulinda bila sisi kuwaona, binafsi nimeona malaika wakinilinda mara kadhaa na kuniepusha na mauti ya ajali barabarani

    Yani ile ajali ya barabarani ya pikipiki ilinirusha juu baada ya kufunga breki ya pikipiki ghafla ili kukwepa kugonga gari za mbele na ya pembeni baada ya gari ya mbele yangu kufunga breki gafla tukiwa kwenye mwendo.Gari iliyokuwa nyuma yangu ikanipushi pikipiki yangu kushoto ilipelekea kukosa...
  3. C-C Daily Stories

    JamiiForums Tanzania Malaika wa Mungu katika fikira zako na unavyo hisi ndivyo ILIVYO

    Tazama.
  4. Stroke

    JamiiForums Tanzania Niliwahi kuguswa na malaika begani kunishtua hatari

    Niliwahi kuguswa na malaika begani kunishtua hatari
  5. O

    JamiiForums Tanzania Je, Muhammad alikutana na malaika au shetani?

    Katika simulizi hii, inaelezwa kuwa Muhammad alipata tukio la kiroho ambalo baadhi ya watu wanalichukulia kwa mtazamo tofauti. Inasemekana kuwa awali, aliwahi kuhisi kwamba ndoto alizokuwa nazo huenda zilikuwa na asili ya kutatanisha au isiyoeleweka. Kwa mujibu wa simulizi lililonukuliwa...
  6. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Japo Rais Wetu Sio Malaika, ni Binadamu, Anaruhusiwa Kukosea Vikosa Vidogovidogo vya Kuteleza Ulimi, Tusimfanyie Nongwa, Tumvumilie, ila Vinapozidi..!

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la Leo. Kufuatia Ibara ya 46 ya katiba yetu kuwa na kipengele cha kinga yaq Rais wa Tanzania, hawezi kushitakiwa mahakamani kwa kosa lolote, hivyo kuna watu wanadhani mtu akiwa rais wa nchi, anabadilika anakuwa ni malaika na hivyo hawezi...
  7. MK254

    JamiiForums Tanzania Malaika wa kwenye uislamu humlaani mwanamke usiku kucha akimnyima mumewe unyumba

    Ni kama hawa malaika hukaa mkao wa kusubiri kutazama show, ila sasa mke akigoma kumfuata mume kitandani, wanamlaani huyo mwanamke usiku kucha.... Sio maneno yangu ila andiko hili hapa.... sahih al-bukhari 3237 Allah's Messenger (ﷺ) said, "If a husband calls his wife to his bed (i.e. to have...
  8. C-C Daily Stories

    JamiiForums Tanzania Je, MALAIKA anaweza kuwa Mungu kwa mujibu wa Civilian Coin au kiumbe gani kiwe Mungu

    Nimepitia kipeperushi Cha Bw. Civilian Coin-mtoto wa Kisandu Kama anavyojiita yeye anathibitisha kuwa Malaika ndio Mungu.
  9. Prof Phraoh AI

    JamiiForums Tanzania Kwanini waislamu wanamuita malaika mtoa roho "Azrael/Israeli ?

    Wakati huohuo kumekua na migogoro ya mara kwa mara tangu zamani kati ya nchi ya Israel na mataifa ya kiarabu na kiislamu ( Arab-Israel conficts ) Kwanini kwenye mapokeo ya kiislam kuna malaika Israel mtoa roho ?
  10. H

    JamiiForums Tanzania Kama Mohammad Mwenyewe Alisema Kuwa Alitokewa na Shetani au Jini Pangoni, Kwa Nini Watu Wengine Walimlazimisha Aamini Alikutana na Malaika?

    Simulizi la awali la Muhammad kwa mkewe lilikiwa kwamba alipokuwa pangoni Hira, alitokewa na kiumbe wa ajabu ambaye aliamini alikuwa shetani au jini, huyo kiumbe alimwambia asome, akasema yeye hajui kusoma, yule kiumbe akaanza kumbana na kumwachia, akirudia tena na tena, akimlazimisha asome, na...
  11. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania JamiiForums kuna wanawake wazuri sana, nimeshawahi kukutana na Wana JF warembo kuliko malaika, wazuri kuliko hela♥️😍

    It was not a date, just a few minutes meeting. Mara ghafla anatokea msichana , mdada, mzuri hadi naogopa, huyu ni jini au ni malaika? Otea alikuwa ni nani kati ya hawa? Miss Natafuta, Nakubusu , Evelyn Salt Jemima Mrembo, au @mamdenyi? Hapo hujakutana na FaizaFoxy, mtu mwenye maruhani wake...
  12. Msanii

    JamiiForums Tanzania Samia, kwenye haya mauaji ya halaiki hauchomoki. Hata uvae mbawa za malaika hutoki

    Majibu ya kebehi unayowapa wananchi wanaolilia wapendwa wao uliowaua kabla na baada ya Oktoba 29 2025 yapo recorded na yanatafsirika. WHO ARE YOU anakuja after YOU Unajibebisha kwa mabalozi ukidhani ni matopolo kama Johari. Umeramba garasa bibie. Wewe na wenzako akiwemo huyo boss wako...
  13. Lamomy

    JamiiForums Tanzania Nikita nakutafuta wewe malaika uliyetumwa kwangu siku ya maandamano

    Hello guys! Asanteni wote mlioniulizia kwa nia njema ya kutaka kujua kama nipo mzima. Ni upendo mkubwa mmenionyesha familia yangu 😭 Pongezi kwa wote mliotoka na kurudi salama, kwa ndugu zetu mliopoteza maisha ROHO ZENU ZIPUMZIKE MAHALI PEMA.🕊️ Nyie ni mashujaa wetu 💪🫡 Tanzania haitowasahau...
  14. Msanii

    JamiiForums Tanzania Ukisoma Ibara hizi za Katiba, utagundua Polisi Tanzania wamegeuka malaika watoa roho kwa baraka za mtawala mkuu

    12.-(1) Binadamu wote huzaliwa huru, na wote ni sawa. (2) Kila mtu anastahili heshima ya kutambuliwa na kuthaminiwa utu wake. 13.-(1) Watu wote ni sawa mbele ya sheria, na wanayo haki, bila ya ubaguzi wowote, kulindwa na kupata haki sawa mbele ya sheria. (2) Ni marufuku kwa sheria yoyote...
  15. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Mke mkubwa wa Muhammad ndo alisema huyo siyo Jin ni Malaika Jin-bril

    Kuna riwaya za kale kabisa (hasa katika Sirah ya Ibn Ishaq, ambayo ndiyo wasifu wa kwanza wa Mtume Muhammad (s.a.w)) zinazoonyesha kuwa mara ya kwanza alipopokea wahyi, alihisi kana kwamba amepatwa na jinni au jambo la ajabu lisilo la kawaida. Alikutana na Jin Mfano wa simulizi: Katika Sirah...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Hata ashushwe Malaika kuja kuwaongoza Watanzania Bado Watapiga Makelele na kutaka awafanyiage miujiza ya kuwawekea Mabomba ya asali na Maziwa Midomoni

    Ndugu zangu Watanzania, Watanzania hawaeleweki wanataka nini siku zote, Watanzania hawaelewi wanahitaji nini Maishani Mwao. watanzania hawana shukurani wala kuridhika wala kutosheka wala kusema asante kwa juhudi zako . Wao kila kitu kwao ni kibaya. Leo watataka hiki lakini kesho ukiwapa...
  17. Damaso

    JamiiForums Tanzania Malaika wa Kifo: Hadithi ya Kutisha ya Muuguzi Genene Jones

    Katika wodi ya watoto wachanga kwenye hospitali ya Texas, muuguzi mmoja alionekana mwenye tabasamu pana, uchangamfu kubwa, huruma na kujali isivyo kawaida. Alikuwa karibu na kila mtoto aliyelia, alihakikisha kila kitu kipo sawa, na mara nyingi alionekana kumfariji mzazi kwa tabasamu la matumaini...
  18. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Je Wajua Kuna Aina Mbili za Malaika na Shetani?. Kuna Malaika na Shetani wa Mbinguni ambao ni Pepo na Malaika na Shetani wa Duniani ambao ni Watu?.

    Wanabodi Je wajua kuna aina mbili za Malaika na Shetani?. Kuna Malaika wa Mbinguni ambao ni pepo na kuna malaika wa duniani ambao ni watu ni binadamu, na kuna ma shetani wa motoni ambao ni mapepo na kuna mashetani wa duniani ambao ni watu ni binadamu kabisa lakini ni ma shetani!. Malaika wa...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE nimekuwa nikiyasema tokea Kitambo mkawa mnanipuuza Malaika Mimi. Na bado mtakoma

    Fukuzeni Murtaza Mangungu, Salim Abdallah Mhene 'Try Again', Abbas Mratibu wa Timu, Mtani wangu wa Kihaya Meneja Rweymamu, Mtani wangu wa Kiha na Rafiki yangu Kocha Msaidizi Matola na badilisheni Dereva wa Basi la Simba SC halafu kuanzia sasa achaneni na huyo Mganga wa Kienyeji ambaye ni mwana...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Katika vitabu vya dini, sijawahi kusikia shetani anabadilika na kuwa malaika, ila malaika wanabadilka na kuwa mashetani

    Haya ndiyo ya Polepole. Huyu alitesa sana watu wakati wa Magufuli. Leo anataka tuamini kuwa shetani amebadilika kuwa malaika, Awadanganywe wenzake CCM!
Back
Top Bottom