Watumishi wa ajira mpya katika Wilaya ya Momba, Mkoa wa Songwe, tunaomba msaada kuhusu malipo ya fedha za kujikimu ambazo hadi sasa hatujapokea.
Tulielezwa kuwa fedha hizo tayari zilikuwa zimewasili, lakini hadi sasa mwezi unaelekea kuisha bila kupokea malipo wala kupewa taarifa yoyote rasmi...
Anonymous
Thread
ajira
ajira mpya
hela
kujikimu
mkoa
momba
mpya
songwe
wilaya
wilaya ya momba
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, amewavunja watu mbavu wakati akielezea kuhusu umuhimu wa mipango miji katika mkutano wake na watendaji wa mitaa, kata na wenyeviti wa serikali za mitaa uliofanyika katika Ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), Posta jijini Dar es...
Ukiwa na hela, ukiona watu wamejazana kwenye mahoteli wanakula bata unasema Uchumi unapiga hatua, watu wana pesa. Ukiwa huna hela unasema Hawa raia wanatoa wapi hela wakati hali ni mbaya hivi?
Ukiwa na hela, mafuta yakipanda bei unasema Hii ni hali ya soko la dunia Ukiwa huna hela unakuwa na...
Kuna malalamiko makubwa kutoka kwetu sisi mawakala wa huduma za miamala ya fedha. Kampuni za mitandao ya simu zimekuwa zikifanya maamuzi yanayotugusa bila kutoa maelezo ya kutosha wala kuwashirikisha mawakala.
Kwa muda sasa tumekuwa tukikatwa sehemu ya fedha zetu wakati wa malipo ya kamisheni...
Anonymous
Thread
fedha
hela
huduma
huduma za fedha
kilio
mamlaka
mawakala
media
tanzania
tigo
uwakala
watanzania
wote
Pongezi kwa kila mwenye kupata riziki halali. Ukiweza kutega mifereji ya kupata shilingi kadhaa, kwa jasho lako (au hata kwa kusaidiwa)...wewe sio MTU wa mchezo mchezo..heeeko👍🏾!
Wazazi na wanafunzi tunalalamikia tabia ya baadhi ya walimu wa Shule za Msingi Gmhasa iliyopo Ilala, Dar es Salaam kuwashinikiza watoto kuhudhuria shule siku za mwisho wa wiki (Jumamosi), pamoja na kuchangishwa fedha za mitihani.
Inadaiwa kuwa baadhi ya mitihani hulipiwa, jambo ambalo linaibua...
Anonymous
Thread
hela
ilala
mitihani
msingi
shule
shule za msingi
walimu
watoto
Ni either mimi hesabu za Kihasibu sijui au Hawa jamaa waheshimiwe!
Makala inaniambia kampuni la Marekani Apple, wenye iPhone, Mac, na iPads zao, wana net-worthy ya zaidi ya US$4.5 trillion tunavyoongea.
Hapo hapo budget yetu kwa mwaka ni US$24 billion.
Kwahiyo ukigawa hapo si kwamba Apple...
1. Nimezikuta hizi stori mahali fulani, yaani mwanamke
hatakiwi kujua chochote kuhusu mali zako
2 .Ukizeeka atakuacha hapo nyumbani aende kuishi Kwa watoto wake
3. Ukifikisha miaka hamsini usijihangaishe kujenga kama ulishajenga Nyumba Moja yatosha. Hifadhi fedha yako benki harafu uwe...
Yaan tuna rasilimali za kila aina ccm wanajenga vibarabara kwa mikopo na misaada wanataka tupongeze hivi kwa rasilimali tulizonazo hii nchi inasababu ya kujenga vibarabara uchwara kwa mikopo, tz ni ya kupewa msaada wa madawati, vyoo kweli....😪 ccm walishagawana kila kitu wakishirikiana na...
Tunaomba utupazie sauti walimu Ajira mpya Halmashauri ya Bariadi DC mkoa wa Simiyu tupewe hela zetu za kujikimu.
Tumekuwa tukipeleka taharifa kwa uongozi wetu na majibu tunayopewa ni aidha hela zetu wamezitumia kulipa madeni ya likizo au hela zetu hazijatoka serikali kuu, wakati huo watumishi...
Kwema binaadamu wenzangu mliomo humu?
Jamani kuna huyu mwanamke naweza sema ni mchumba wangu tuna kama miaka miwili toka tumefahamiana.
Tumepitia stages tofauti tofauti, kugombana, kupotezeana, kuumizana, kuenjoy na kununiana kama ilivo kawaida mambo ya mahusiano.
Huyu mwanamke ni aina ya...
1. Mwenyekiti anaomba pesa washonaji ili awapangie Hela ya kushona magunia ya vitunguu. Kila jumamosi washonaji Kila Mmoja anatoa 5,000 (wapo zaidi ya 100) kwa mwenyekiti wa soko la vitunguu. Zaidi ya laki 5 anachukua mwenyekiti na kundi lake
2. Washushaji wa vitunguu kwenye magari nao...
Habari .
Kwanini wabunge watanzania wanachangia hoja pasipo kuwa wafuatiliaji wa mambo.
Leo nimeona mbunge mmoja anaongea kuhusiana na hela ya kumuona Daktari (consultation fees)
Hii ni fedha muongozo wake ulipitishwa bungeni na wabunge wakakubali.
Kingine hela ya kumuona Daktari haingii...
Shida kubwa inaanzia hapo, Pesa ya matunzo anaitaka ihudumie lifestyle yake ya mawigi, abaya, vifurushi vya data, n.k. anajiona hastahili kufanya kazi wewe ndie uwe unamtimizia kila kitu kwa mgongo wa matunzo ya mtoto.
Pili ni kukukomoa, hapendi kukuona ulivyo move on na una familia yako...
WALIMU Ajira za mwaka Jana (2025) mwanzoni na wa (2026) januari Bado HATUJAPEWA HELA yetu ya KUJIKIMU Na Idara husika hazisemi chochote wakati wenzetu halimashauri zingine wamepewa tayari.
Walimu tulioajiriwa mwaka Jana ngazi ya Sekondari tulipewa Hela ya kujikimu nusu (Laki Nne) mwaka huu na hatujui nyingine tunamaliziwa lini.
Lakini pia kwa Wale walio ajiriwa mwaka huu (January 2026 ) hawajapewa Bado na haijulikani wanapewa lini.
Anonymous
Thread
ajira
ajira mpya
hela
jana
kujikimu
mpwapwa
mpya
mwaka
mwaka huu
mwaka jana
mwezi
ngazi
pesa
pesa ya kujikimu
sekondari
walimu
wilaya
Watumishi wa Halmashauri ya Itilima (Walimu) hatujalipwa hela ya likizo ya nauli ya Desemba 2025
Mimi ni Mtumishi wa Umma kutoka Halmashauri ya Itilima, kero yangu ni kwamba hatujalipwa hela ya likizo ya nauli ya Desemba 2025 mpaka leo hii Mei 2026, kitu ambacho kinashangaza kwasababu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.