michango

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO DAWASA waomba michango kukarabati bomba Pugu Mwakanga

    Naomba nitoe kero kuhusu huduma ya maji katika maeneo ya Pugu Mwakanga. Bomba kubwa la DAWASA linalosambaza maji kwa wateja limeharibika kutokana na kuchakaa. Taarifa zilitolewa kwa DAWASA, na wahusika walifika eneo la tukio na kujionea hali halisi. Hata hivyo, cha kushangaza, badala ya...
  2. figganigga

    JamiiForums Tanzania Kwani Korona imerudi? Samia ahutubia Bunge la IPU Arusha kwa njia ya Video🤣🤣

    Samia Suluhu Hassan ameutaka Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), kuimarisha nafasi ya mabunge katika kushughulikia changamoto za dunia, akisema mvutano wa kisiasa na kijiografia, migogoro na kutokuwa na uhakika kiuchumi vinazidi kuhitaji ushirikiano wa kimataifa. Ujumbe huo wa Samia ameutoa usiku...
  3. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania As soon as possible Chadema itaanza rasmi kupitisha bakuli la michango ya pesa kutoka kwa wadau mbalimbali wa siasa Tanzania.

    Nimeona ni muhimu sana kuwajulisha na kuwaandaa kisaikolojia, ili wakati muafaka ukifika msione kama ni surprise. Chama hakina pesa kwa sasa na sio siri tena, chama kinapitia ukata mkali wa pesa za matumizi ya kawaida ya kuendesha chama kwa kiwango kibaya sana, na mchango wako wa hali na mali...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tumefukuzwa kazi UDART, tumeenda PSSSF michango yetu mingi haijaingizwa wakati tulikuwa tunakatwa

    Sisi Wafanyakazi 36 tuliokuwa waajiriwa wa Kampuni ya Mabasi Yaendayo Haraka (UDART) baada ya kuachishwa kazi kwa kile wanachodai kulikosekana uwajibikaji, tumegundua kuwa kuna changamoto ya michango yetu ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (PSSSF) kutoingizwa kama inavyotakiwa licha ya kwamba...
  5. cocastic

    JamiiForums Tanzania Diva aomba michango kwa waja, ili alipe kodi ya nyumba

    Mdada maarufu, mwana mitandao na mtangazaji Diva the Bawse, aomba waja wamchangie pesa ili aweze kulipa kodi ya nyumba anayoishi, baada ya mmiliki wa nyumba hiyo kuja kumfanyia tukio la udhalilishaji kwa kuchelewa malipo. Huyu bidada si alisema ana bwana ake mzungu? Wala hana shida ndogo ndogo...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kero ya michango tunayokumbana nayo Wazazi wa Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Mbagala Kuu

    Kero yangu inahusu shule ya sekondari Mbagala Kuu iliyopo Manispaa ya Temeke. Kila mara shule hii imekuwa ikiwataka wazazi kuchangia fedha kwa ajili ya mitihani ya majaribio. Kwa mfano, wazazi tulichangishwa Shilingi 2,000 kwa ajili ya Mock Kidato cha pili, na sasa tumeombwa tena kuchangia...
  7. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Tusisumbuane kuhusu michango ya harusi imekuwa kero this is too much

  8. tpaul

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Shayo: Michango ya harusi ni ushamba; usitoe mchango wowote

    Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha wala kuwachelewesha. Watanzania tumezoea kuchangiana wakati wa shida na raha na utamaduni huu tumedumu nao tangu enzi za mababu zetu hadi sasa. Pamoja na ukarimu uliopo miongoni mwa watanzania, eti mchungaji huyu hapa chini anapinga kabisa mambo...
  9. O

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya kuwa na Sheria inayoongoza michango kwa shughuli za vyama vya Siasa inchini.

    Ninatoa pendekezo la Serikali kuandaa Muswada wa Sheria ya kusimamia michango ya shughuli za Vyam vya Siasa nchini ili kuzuia watu au makundi ya watu wasio na maadili kuhusika kwenye michango ya shughuli za vyama kwani kwa sasa kumejitokeza tabia ya watu wanaojiita wanaharakati kuchangia au...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Kuna Uwezekano Mkubwa Viongozi wa CHADEMA Wakiongozwa na Heche Walishazitafuna pesa za Michango na kuanza kuhaha kufidia . Ndio Maana wakasogeza mbele

    Ndugu zangu Watanzania, Kama kuna watu wahatari na balaa linapokuja suala la pesa basi ni Viongozi wa CHADEMA. Kama kuna watu unatakiwa uwaweke mbali na pesa ama harufu ya pesa basi ni viongozi wa CHADEMA. Kama kuna watu unapaswa kutokuweka Imani yako linapokuja suala la pesa na harufu ya pesa...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu wa Shule ya Msingi DOVYA iliyopo Mbagala Chamazi wamezidi kwa michango

    Kuna kitu kinachokera sana hapa Shule ya Msingi Dovya, iliyopo Mbagala Chamazi. Walimu wanatoza wanafunzi kila Jumatano kiasi cha Sh 1,200 kwa ajili ya mtihani, hata kama siku hiyo hakutakuwa na ratiba ya masomo shuleni. Wanalazimika kufanya mtihani siku ya nyuma yake ili kiasi hicho kiweze...
  12. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2010 bajaj ziliuzwa 4m-6m leo zinancheza 10m+. Michango ya harusi ilikuwa 20k -30k, leo zinacheza 80k-120k. Ardhi 20x20 ilikuwa 1m-2m, leo 4m+

    Miaka 16 iliopita What will happen miaka 15 ijayo. Ukijiangalia wewe hapo miaka mitano iliopita upo vile vile , upo stuck katika matrix ya kipato cha kupanda kati kati na chini (chini ndio usual suspect wako) huku gharama zikienda juu zaidi. Ili upate cha juu lazima uwe na bahati ya kucheza...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Responded Itigi DC: Wazazi watatu ndiyo hawajatoa michango ya chakula Shule ya Msingi Mitundu B ila Watoto wao wanapewa chakula

    Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kuandika kuwa baadhi ya Wanafunzi wa Darasa la Saba katika shule ya Msingi Mitundu B katika Halmashauri ya Itigi DC wanasoma hadi usiku bila kula, hali inayoweza kuahiri afya na uelewa wao, ufafanuzi umetolewa. Afisa Habari wa Halmashauri ya Wilaya ya Itigi...
  14. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Shida hapa michango imeshapigwa

  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Moyo Medicare, Arusha hawajawasilisha michango yangu ya NSSF kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa

    Nimewahi kufanya kazi katika Taasisi ya Moyo Medicare, Arusha, na niliacha kazi zaidi ya mwaka mmoja uliopita. Hata hivyo, hadi sasa Taasisi hiyo haijawasilisha michango yangu ya NSSF, licha ya kuwa makato yalifanyika wakati nilipokuwa kazini. Nimejitahidi mara kadhaa kuwasiliana na uongozi wa...
  16. C

    JamiiForums Tanzania Kwa tunapoelekea Tutakua Tunasalia ndani

    I hope mko poa wakuu. Hivi ni hili kanisa letu au yote ya kilokole michango ni mingi yaani hawaangalii unaingiza sh ngapi ni michango tu ata ukitoa ulichonacho unaambiwa ni kidogo mara sijui unamubia Mungu mara wewe ni kaidi. Mungu atanisamehe kwenye haya maamuzi. Kuna; -Mchango wa ujenzi...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Nataka kujua kuhusu update ya michango ya CHADEMA

    Naona kimya kimetawala kuhusu update ya michango ya baraza kuu la chadema. Je lengo limetimia au vipi? Kama lengo limetimia mbona hamuwaambii watu waache kuchangia?
  18. PROFOUND NOTION

    JamiiForums Tanzania Hii michango ya harusi laki moja mnayoweka kwenye kadi tena bila option ya kuchagua ya size yako tutaonana wabaya aisee

    MLianza na 20, 30, ikaja 50, ikaja 80, sasa hivi 100k Laki moja imekuwa sasa kama trend. Tena hamjali hata hali ya mtu kisa tu ni rafiki au ndugu Hivi haya yootee ya nini, jamani, Si mchukuane mpelekane nyumbani hivyo hivyo kwani lazima mrushe watu roho mjini humu na matarumbeta?
  19. Mikhail Tal

    JamiiForums Tanzania Nilikuwa sekta binafsi nimehamia serikalini, kuna namna naweza nikapewa michango yangu iliyopo NSSF?

    Wakuu salamu. Nilikuwa mwajiriwa wa sekta binafsi ambapo michango yangu ilikuwa ikienda NSSF, sasa nikafanikiwa kuhama huko mwaka 2023 nakuhamia serikalini ambapo mfuko wangun kwa sasa ni PSSSF. Lakini kule NSSF nina michango yangu, hivi nauliza kuna namna naweza nikapewa hiyo michango huko...
  20. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Michango ni mizuri kwenye makundi yetu ila hii tabia ya kuweka mkeka kwa kila jambo sijui kama ni sahihi

    Jamani huu ni mtazamo wangu tu. Mimi napenda sana magroup ya classmates sana sana na ya kazini pia nayapenda uzuri ya kazini hawana tabia kama ya classmate wako sawa tu..haya ma-group yanatupa nafasi ya kuwasiliana, kubadilishana mawazo sometimes kunyapia nyapia baadhi ya mademu ma crash...
Back
Top Bottom