ney wa mitego

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mto Songwe

    Ney wa Mitego kawatolea ngoma ''Kataa ndoa''

    Huyu Ney naye ni team kataa ndoa ? Au ametumia tu kazi ya sanaa kufikisha ujumbe wake ? Sikiliza ngoma lake hili la bachela
  2. T

    Msiba wa Lowassa: Ney wa Mitego imekuaje hajarudi jukwaani kuimba na wenzake?

    Poleni kwa msiba. Naangalia shughuli ya msiba wa Lowassa, katika hizi nyimbo. Kundi ambalo Ney yupo liianza kuimba mara ya kwanza, ilipofika kipande cha Ney na yeye akiwepo wimbo ukasto-pishwa wakatoka Jukwaani. Wamekuja mara ya pili kipande chake kimepigwa ila Ney wa mitego hayupo jukwaani...
  3. K

    Kauli za Ney wa Mitego ni ngumu kuliko za sifa boniventure. Sifa anaonewa. Aachiwe haraka

    Kauli za ney wa mitego ni ngumu kuliko za sifa. Sifa boniventure anaonewa. Aachiwe haraka. Hivi hiki kiwimbo Cha sifa kina maneno mazito Kama nyimbo ya amkeni ya ney? Kama sio why ney yupo nje na sifa yupo ndani? Tuachane na Hilo, twende kwa Lissu, Hivi kwa maneno ya lisu ukiyalinganisha na...
  4. B

    Ney wa Mitego asitelekezwe. Ndugu wapambanaji kulikoni?

    Huyu ndugu tulikuwa naye kwenye mapambano. Asitelekezwe. CHADEMA kama chama kilicho dhamiria kuikomboa nchi hii kinapaswa kuwa na sera ya wazi kuwahusu wahanga wake. Kuwa na mfuko kwa ajili ya wahanga kutatoa majibu ya maswali muhimu yanayowasibu wapambanaji kama huyu. Kulikoni hata masuala...
  5. Erythrocyte

    Ney wa Mitego afunguliwa kesi ya Uchochezi , Apata dhamana

    Msanii wa Hiphop nchini Tanzania , Ney wa Mitego , amefunguliwa kesi ya Uchochezi , kutokana na Wimbo wake Mkali unaoitwa 'AMKENI' . Awali kulikuwa na taarifa kwamba Msanii huyo ameitwa Polisi kituo cha kati , DSM kwa ajili ya Mahojiano Bado haijafahamika Masharti ya dhamana aliyopewa wala...
  6. Leak

    Msanii Nay wa Mitego ahojiwa na Polisi na kufunguliwa kesi ya Uchochezi

    Msanii Nay wa Mitego anahojiwa na jeshi la polisi Dar es Salaam kutokana na wimbo wake “AMKENI” Bado najiuliza ni nani anamshauri Rais kutumia hii style kukabiliana na wote ambao hawamsifii? Rais ni kweli umechangua njia hii? Kweli njia nii utaiweza? Utakamata na kuhoji wa ngapi? Rais mbona...
  7. Mapensho star

    Haileti picha nzuri kwa CHADEMA kutomtumia msanii Ney wa Mitego kwenye mikutano yenu

    Nimesikitishwa na kitendo cha BASATA kumzuia msanii Ney wa Mitego kuandaa show huko Njombe hii sio mara ya kwanza na naona kuna kila dalili Ney wa Mitego akazuiliwa kualikwa kwenye matamasha yote ya muziki yanayofanyika nchini tayari kazi zake hazichezwi kwenye vituo vya habari Kama kijana...
  8. ChoiceVariable

    Ney wa Mitego aanza kulialia kwa kuzuiwa kufanya show, akafanye show kwenye mikutano ya CHADEMA

    Kwa kuwa yeye ni mwamba na amechagua kushindana na Serikali basi aache kulia Lia Bali ale My Take Namshauri Bwana Nay awe anapiga Show zake Kwa kutumia majukwaa ya chadomo atakuja kunishukuru. https://www.instagram.com/p/CwvGRWYKxqk/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng== Ney wa mitego amewataka Baraza la...
  9. K

    Nay wa Mitego na Ukweli mchungu dhidi ya serikali ya Rais Samia na CCM yao

    Msanii huyu huenda akatekwa ama akafanyiwa figisu kubwa, ukweli daima amekua sauti ya walalahoi kwa muda mrefu, hata enzi za Magufuli hakufunga mdomo, alipaza sauti. Ney wa Mitego, amerudi tena na ukweli mchungu, mtegee sikio kwa dakika 5 ameongea mengi ambayo hakuna kiongozi atafurahia maana...
  10. L

    Kiukweli hiki ndiyo kimefanya Ney wa Mitego na Harmonize waonekane wameuharibu wimbo wa Kontawa "Champion"

    Wimbo wa champion at first time niliuona kwenye status ya rafiki yangu, maneno yake yalinivutia hasa pale anaposema "tumeishi na watu wanaoamini kuwa bahati bahati zote alipangiwa Bukuku" enewei kila neno aliloimba Kontawa linavutia. Wengi waliskiliza kipande cha Kontawa ila walipofika sehemu...
  11. ACT Wazalendo

    Macheyeki: BASATA iifungulie Mara Moja Wimbo wa Ney wa Mitego

    JUZI Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA,) ilivitaka vyombo vya Habari vya kielektronic hususan redio Tv na mitandao ya kijamii kutoutumia wimbo wa msanii wa Kizazi Kipya Emanuel Elibariki(Ney wa Mitego) walioutaja kwa jina la Tozo, wakieleza kuwa wamepokea taarifa kutoka baraza la Sanaa la...
  12. Frumence M Kyauke

    Ney wa Mitego awacheka wasanii wanaopewa magari na lebo

    Kutoka kwenye insta story ya Rapa Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ ameandika; “Yani kujifanyaga mnawapa magari ooh label kubwa alau mkishindwana mna wapokonya magari yenyewe tena wasanii kwa wasanii. “Ndio mjifunze wasanii wapenda magari ya bure wakati mna vipaji na wakati mkikomaa mnaweza...
  13. LIKUD

    Hizi ndio hesabu za Ney wa Mitego kwenye wimbo wake mpya uitwao " Baba"

    Kwa maoni yangu wimbo wa " Baba" by Ney wa Mitego ni " commercial" Na sio wimbo wa kisiasa kama watu wengi wanavyo weza kuutafsiri Msanii Ney wa Mitego amemtumia Hayati Magufuli kama " point of contact" kufikisha ujumbe wenye lengo la kupush agenda yake ktk biashara ya muziki wake Lengo Hasa...
  14. Nas Jr

    Ney wa Mitego na harakati

    Nisiwachoshe. Sikilizeni alichoimba Ney wa Mitego. Nafikiri ndio msanii pekee aliyeonyesha kutetea anayoamini kwa muda wote. Unaweza ongeza lolote kuhusu Ney kama unalo.
  15. OKW BOBAN SUNZU

    Ney wa Mitego: Rais wa Kitaa, tozo, katiba nk

    Hii ndio kazi ya msanii. Inasikitisha media zetu hazipigi wimbo huu makini kabisa wenye sifa zote. Hongera sana Ney
  16. Dejane

    New song: Rais wa kitaa wa Ney wa mitego

    Ney wa mitego kajitahidi sana hii nyimbo ina ujumbe mzuri kaongelea habari za tozo,wabunge 19,katiba mpya ,hizi ndio nyimbo sasa sio kila saa mapenzi tu wakati nchi ina matatizo kibao. Nimeipenda sana twendeni youtube sasa.
  17. kigogo warioba

    Ney wa Mitego kaja na Rais wa kitaa

    Nay ameamua kusema kile ambao wasanii wetu wengi wanakiogopa Kweli ney ni rais wa kitaa.. Nimependa mistari iliopo kwenye wimbo huu na ni mzuri kusikiliza Big up kwake Mara nyingi hua yupo upande wa wananchi!
  18. LIKUD

    Ujumbe tata wa Ney wa Mitego kwa Fred Vunjabei

    "Naomba Mumkumbushe Fred kua walikuwepo wauza nguo kama yeye walikuwa na hela kuliko yeye, walikuwa washamba wa mademu wa mjini kama yeye na wakafilisika na hawapo tena, so na yeye kwa ushamba huo huo wa mademu tutamsahau ni muda tu...
  19. Erythrocyte

    Ney wa Mitego apata ajali

    Msanii mwenye msimamo na asiyeyumba Ney wa Mitego amepata ajali ya boda boda wakati akiwahi kwenye kipindi cha Friday night live cha EA TV , amelazwa hospitali ya Kairuki Tutafanya uchunguzi huru kujua kama ni hujuma au ni ajali ya kawaida
Back
Top Bottom