historia

Canal História, currently branded as História, is a Portuguese basic cable and satellite television channel that features history documentaries most of which are produced by History USA and Portuguese and Spanish historic productions, owned by the joint venture known as The History Channel Iberia, between A&E Networks and AMC Networks International Iberia. More recently, it started broadcast some reality television series. Initially it was a single Iberian channel founded by Multicanal (currently AMC Networks International Iberia) with feeds in Portuguese and Spanish. It was created in March 1999 and it split into different channels on 21 March 2012.Some Portuguese historic productions airing in Canal História include Foz Côa about Coa Valley Prehistoric Rock Art, O Tratado de Tordesilhas about the Treaty of Tordesillas, Marquês de Pombal concerning Marquis of Pombal, Portugal e a NATO (Portugal and NATO) and A História Do Azulejo (History of Azulejo).

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Historia Viongozi hasara Tanzania: Kikwete na ndugu zake, Samia na ndugu zake, Kabudi, Chenge, Jadi Chade

    Historia Viongozi hasara Tanzania: Kikwete na ndugu zake, Samia na ndugu zake hawa ni vilaza Kabudi, Chenge, Jadi Chade hawa wana akili lakini matumbo yamewafikisha hapo
  2. R

    JamiiForums Tanzania Ansbert Nguro: Hakuna wa kuifuta historia ya Mbowe CHADEMA

    Mwandishi mkongwe wa habari nchini Tanzania, Ansbert Ngurumo, amesema Freeman Aikaeli Mbowe amekuwa akikabiliwa na kampeni ya kumchafua inayotoka hata ndani ya chama alichokijenga na kukiongoza kwa zaidi ya miongo mitatu. Ngurumo amesema ukosoaji kwa mwanasiasa ni jambo la kawaida, lakini kile...
  3. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania COP12 Dar Es Salaam: Tanzania Yaweka Historia

    Watu mbalimbali wakiwasili kwenye ukumbi wa mikutano wa JNICC jijini Dar es salaam kwa ajili kuhudhuria mkutano wa COP12 ambao Tanzania imeweka rekodi ya kuhost kwa mara ya kwanza.
  4. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania MPIGA PICHA BEVIN THIPA MSOWOYA ALIVYOHIFADHI HISTORIA YA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA

    Picha ya kwanza ni Bwana Bevin Thipa Msowoya mpiga picha bingwa na maarufu akiwa na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Msowoya alikuwa na studio yake Magomeni ikijulikana kama Africa Photo Center. Picha hizo hapo juu ni picha alizopiga katika tawi maarufu la TANU aliloanzisha Ali Msham nyumbani...
  5. Chakaza

    JamiiForums Tanzania Kosa Kubwa Kupata Kufanywa na Serikali Yetu Katika Historia ya Nchi Hii ni Kutokuionyesha KESI YA LISSU LIVE KWA SASA

    Kama nchi bila kujali yapi yatakuwa Matokeo ya mwisho, yaani Hukumu kwa kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu kutokuionyesha na kuweka kumbukumbu ya documentary ya video. Hakika hii ilikuwa daresay la Aina yake katika mifumo yetu ya sheria na mienendo ya uendeshaji ambayo ingeingia katika historia kwa...
  6. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Picha nzito ya historia ya evolution ya mtu mweupe. Sisi bado tupo na maswali ya namna ya kufanya zindiko zuri la utumbo wa samaki ili kupata wateja.

    Kuanza kujilinda kwa farasi na mapaga hadi kujilinda na Northrop B-2 Spirit na satelite angani. Kuna mtu aliwahi kusema "uhuru wenyewe una miaka 50 tu, tuvumiliane" , 😁😁 no bro, you are just dumb The Worst Marcostilone mcTobby
  7. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz Aweka Historia Zambia, Amkosha Mwanamuziki Ayra Starr wa Nigeria

    Mwanamuziki nguli wa muziki wa Afro-pop na Bongo Fleva kutoka Tanzania, Diamond Platnumz (Chibu Dangote), ameweka historia nyingine kubwa kwenye sekta ya burudani nchini Zambia baada ya kutoa shoo ya kukata na shoka iliyowashangaza maelfu ya mashabiki waliojitokeza katika jiji la Lusaka. Shoo...
  8. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Haitawezekana Kuifuta Historia ya Uhuru wa Tanganyika kwa Kupenyeza Historia Mbadala

    https://youtu.be/W9d6zalruoU?si=sbNzB0Ty7a_EjWri
  9. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Bifu la Tabora Boys na Mirambo lisivyofutika kwenye historia

    Ukilitaja jina Tabora Boys, kwa mtu aliyewahi kusoma Tanzania ya zamani, huwezi kuwa umetaja shule kama shule nyingine, umetaja historia, umetaja nidhamu, umetaja viongozi, umetaja akili za darasani, michezo, gwaride na zile hadithi ambazo kila kizazi cha wanafunzi huwa nacho, huku baadhi...
  10. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Siasa za kimtandao (Oligarchy/ Plutocracy): Historia inayojirudia Tanzania

    Kulingana na Jeffrey Winter (2011) katika kitabu chake cha siasa za kimtandao(Oligarchy) anasema " Mfumo wa siasa za kimtandao unajengwa na mtandao wa wasomi wa kiuchumi wanaotumia ukwasi wao kulinda mali zao na kushawishi maamuzi ya Serikali. Maelezo hayo yaliyotolewa na Jeffrey yanatupa...
  11. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Historia na safari ya utumishi wa Generali Jacob John Mkunda

    Jenerali Jacob John Mkunda alizaliwa tarehe 2 Aprili mwaka 1968 katika Kijiji cha Chakwale, Wilaya ya Kilosa, Mkoa wa Morogoro. Alipata elimu ya msingi katika Shule ya Msingi Kwaru iliyopo Wilaya ya Mbulu, Mkoa wa Manyara, Mwaka 1979 hadi 1985. Akajiunga na Elimu ya Sekondari katika Shule ya...
  12. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania HISTORIA YA KATIBA YA TANZANIA

  13. bless on

    JamiiForums Tanzania Tamthilia ya spartacus: Vita, Usaliti & Ukweli wa Historia

    Kama kuna tamthilia iliyowahi kuchanganya ukatili wa vita, usaliti wa kisiasa, na maonyesho ya hatari ya arena za Rumi, basi ni Spartacus. Simulizi hii inaelezea historia ya kweli ya mtumwa na gladiator kutoka Thrace aliyetekwa na kuuzwa ili kuwaburudisha matajiri wa Dola ya Warumi mnamo miaka...
  14. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Priscilla Kashakuwa Mswahili Wabongo Mtakoma; Aweka Historia Usiku wa Hina wa Zuchu, Akicheza Kibao Kata

    Mrembo Priscilla, ambaye pia ni mke wa mwanamuziki maarufu nchini Juma Jux, ameonekana akicheza Kibao Kata. Tukio hilo lilijiri kwenye sherehe ya Usiku wa Hina iliyoandaliwa na msanii Zuchu, sherehe iliyokusanya safu ndefu ya wasanii, staa na watu maarufu wa tasnia ya burudani nchini Tanzania...
  15. Yoda

    JamiiForums Tanzania Waislamu wanaosema Ukristo sio dini huwa wana maana gani?

    Huwa nikiwasikia Waislamu wanaosema Ukristo sio dini naona kama wamechanganyikiwa au wenye hitilafu kwenye kichwa na hawaelewei maana ya dini. Dini duniani ziko kati ya 4,000 mpaka 10,000.
  16. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Leo historia kubwa inakwenda kuandikwa

    Jarida maarufu la France Football linakwenda kutangaza rasmi orodha ya wachezaji 30 wanaowania tuzo ya Ballon d'Or ya mwaka 2026. Mwaka huu unatajwa kuwa wa kipekee zaidi kihistoria, kwani Kombe la Dunia la FIFA 2026 limekuwa kipimo kikuu cha uteuzi huu kuliko hata michuano ya UEFA Champions...
  17. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu historia itamkumbuka mshindi tu, haijalishi alifanya vigisu kiasi gani kukushinda au kukudidimiza wewe, kwa hio jitahidi usife kikondoo

    Muachie mark awe anaikumbuka. Wanyanyasaji wa ndani huwa wana invest sana nje ili ku-modify heshima yao. Ila wewe mnyanyaswaji utaonekana boya na mdhaifu.
  18. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania FT: Brazil U-20 4-1 Tanzania U-20 | FIFA U-20 WOMEN’S WORLD CUP | Stadion Miejski, Bielsko Biała, Poland | 10:00 Jioni

    Safari ya timu ya Taifa ya Tanzania ya wanawake chini ya miaka 20, Tanzanite Queens, katika mashindano ya FIFA U-20 Women’s World Cup Poland 2026 inaanza leo, Septemba 5, 2026, kwa kukutana na Brazil katika mchezo wa Kundi B. Mchezo huo unaweka historia kwa Tanzania, kwani Tanzanite Queens...
  19. britanicca

    JamiiForums Tanzania Agizo la Siri kwa Uhamiaji, wapewa amri kila MTANZANIA anayeingia nchini achunguzwe historia yake ya machapisho mtandaoni

    Kwanza ni upotezaji wa Muda, Pili Magufuli alijaribu akafeli, tatu Tanzania si wajinga wako anonymous! Wanaweza sumbua watu maarufu na wamiliki wa Platform kadhaa lakin si mtu simple Hii wanasema ianze September 4/ 2026 Britanicca
  20. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Usifungwe na historia yako

    Hakuna kitu watesi wanakipenda kama historia. Utahukumiwa kwa maamuzi na maisha uliyoishi jana. Utatiwa unyonge kwa historia yako mwenyewe uamini kuwa maisha ya jana hayabadiliki na ukishakosea ndio basi. Watesi huamini nyakati haziwabadilishi watu. Ulivyokuwa nyakati hizo ndivyo utakavyoendelea...
Back
Top Bottom