Habari wana jamii.
Kuna taarifa imepostiwa mtandaoni ikieleza kukamatwa kwa wezi (wahalifu) ambao wanafanya kazi ya kuchakachua mitungi ya gesi za kupikia (LPG) jijini Dar-es-salaam.
Taarifa hiyo inadai kuwa watu hao huwa wanafanya kazi ya kupunguza kilo za gesi kutoka kwenye mitungi iliyojaa...
Kuna mambo yakitokea duniani basi moja kwa moja fahamu kuwa upo ndani ya bara la Afrika na kuna upuuzi ukitokea Afrika basi fahamu tu upo Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Nadhani mahakama za kwetu Tanzania ndio zinaongoza kwa kutoa maamuzi kichwa kichwa sana, vitivo vya sheria ndani ya chuo...
Ni muhimu kwa wananchi na waTanzania wote kujitenga na matukio au magenge ya kihalifu, lakini pia kujiepusha kabisa katika kukiuka sheria za nchi na vitendo vya uvunjifu wa amani.
Ni vizuri kutii sheria bila shuruti na kuishi na watu vizuri na kwa upendo na amani. Hii itasaidia sana kila moja...
Siku hizi Anakamatwa Mtu ,lkn unashindwa kujua, Amekamatwa au Ametekwa!.
Ametekwa na Jeshi la Polisi ? Ametekwa na Usàlama? Ametekwa na Wahalifu ?.
Nmekua Mstari mbele nikikemea Tabia hii ya Polisi, Tabia ya Kihuni , Tabia hii inaacha mashimo ya Kiulinzi na Usalama !.
Wahalifu , Walipa Visasi...
Mawasiliano ya mtandao wa WhatsApp yalitumika kutuma mamia ya mamilioni ya euro kwa fedha taslimu duniani kote, yakichangia uhalifu uliopangwa na ugaidi bila kumbukumbu ya karatasi, imetolewa na uchunguzi uliofanywa na watangazaji barani Ulaya.
Mawasilinao ya kundi la watu 532, lililoitwa...
Wakazi wa Rongo wameonywa kuwa waangalifu baada ya mwanamume aliyefahamika kama Jeff Omondi kukamatwa kwa madai ya kujifanya afisa wa polisi kwa kuvaa sare za polisi na kuwalaghai wananchi.
Kwa mujibu wa polisi, mshukiwa anadaiwa kutumia sare hizo kujitambulisha kama afisa wa usalama ili kupata...
Tokea kushika kijiti cha nchi na mpaka kuleta mauwaji October 29 2025.
Ni ngumu muhalifu kuwanyooshea vidole wahalifu wenzake.
Kwa mambo yanayoendelea haki jaribu kujifanya ana mtumbua basi wakubari siri zao zitakuwa kama zile za marehemu polepole alivyofanya.
Ni ngumu kwa raisi kuwa mkali...
Sio watu wote wanaokuja kutalii katika nchi zetu za Afrika ni watalii wengine ni wahalifu kutoka katika nchi zao , wanakimbia msara waliofanya walikotoka . Sehemu kama Zanzibar wanafika watu wa kila aina Majambazi, Drug dealers, makahaba . Tatizo letu watu weusi tunawaamini sana wazungu kwa urahisi
Kukamatwa kwa watekaji watanzania na meli ya madawa ya kulevya ni wazi Tanzania imeingia kwenye list ya nchi yenye wahalifu wa kimataifa.
Haya ndio malipo ya Serikali haramu mnategemea nini ?
Watekaji hawa huko kenya wanakamtwa tu nje ya nchi na sio kwenye shamba la bibi huku hawakamatwi vipi...
22 February 2026
Jalisco, Mexico
Baada ya kutumia miaka mingi kukwepa mamlaka duniani kote, kiongozi mwenye nguvu wa genge la wahalifu wa Mexico aliuawa wakati wa operesheni ya kijeshi, maafisa wa Mexico walitangaza Jumapili, Februari 22. 2026
https://m.youtube.com/watch?v=FBCVF2cG9c0
Nemesio...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza Iimewakamata na kuwatia mbaroni watuhumiwa 12 wanaodaiwa kuwa wahalifu, wakiwa wamejificha kwenye mapango yaliyomo Mkoani humo, huku wakidaiwa kuwa na vifurushi vya bangi.
Akizungumza wakati wa doria hiyo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, DCP Wilbrod Mutafungwa...
Hati ya kukamata ikishatolewa na ICC intepol wanamamlaka ya kukamata.
Kama alivyokamatwa Rodrigo Durtete aliyekuwa Rais wa uphilipino kwa makosa dhidi ya uhai wa binadamu. Ndivyo hivyo wahalifu wengine watakamatwa na Interpol.
Rodrigo Durtete mpaka sasa yupo the Hague ananyea ndoo.
https://youtu.be/yh3FB26VcNc?si=Aa33IMGEMgn_8AW0
👉Baadhi wameshakamatwa, kutekwa na kuuawa Ili kuficha ushahidi (Taifa likiwa bado linaomboleza na kuzika ndugu zao waliouawa kati ya 29/10 na 5/11/2025, nyuma ya pazia Samia akiwa anaendelea kuteka na kuua kwa Siri at the same time akijidai...
Maridhiano na kina Mange, Mwamakula, Maria, Sativa, Bagonza na wahalifu wengine ni kupoteza muda. Serikali ikamate wote waliohusika na huu uhalifu uliosababisha vifo na kuwafikisha mahakamani. Serikali isipoteze muda kujadiliana na wahalifu. Mtu aliyechoma vituo vya mabasi ya mwendokasi...
Hamjambo!
Pamoja na Polepole kubwa muasi katika genge analolituhumu kwa uhalifu na uharamu. Na simuamini Sana lakini anayoyaongea yanauzito na ukakasi Mkubwa.
Kusema CCM ni majizi ya Kura huku chama hicho ndio kinaunda serikali ni kujaribu kueleza kuwa Tanzania serikali yake ni matokeo ya...
Akizungumza leo Agosti 21, 2025 katika mkutano wa wadau wa sekta ya habari na utangazaji kanda ya mashariki kuelekea uchaguzi mkuu 2025 Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania, DCP David Misime amesema watu wanaoshambulia na kulikatisha tamaa Jeshi la Polisi ndio wahalifu.
Kwasasa Chadema imebaki kuwa Chaka la wahuni na genga la kupanga na kuratibu mipango ya kihalifu. Hivyo yatupasa tujiepushe na genge hili kwani unaweza kujikuta unaingizwa kwenye matatizo buree halafu ndugu zako wataabike.
Tujitenge na hili genge la kihalifu kwa usalama wetu.
Wasalaam,
Ukisikiliza matamshi ya viongozi wa CCM wa sasa wengi utagundua kuwa hawa sio viongozi bali ni genge la wahalifu maana matamshi yao ni kuua na kupoteza watu kisa uchaguzi!
====
Maneno haya yalitolewa na aliyekuwa Mwenyekiti wa Mwenyekiti wa Umoja wa vijana CCM (UVCCM) Kheri James...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.